HOUSE GIRL EP 11 || SEASON 2 || Love Story💕💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 814

  • @MagdalenaMashauri
    @MagdalenaMashauri 2 หลายเดือนก่อน +23

    Kibendu muhun ila ana akili kichwan 😊😊😊nmempenda bure... Baraka za mzaz ni muhimu kuliko vitu vyote dunian

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 2 หลายเดือนก่อน +38

    Zatiti na tasha tayar wako kwnye msafara wao wa mapenz....mungu awaongoze..lakin mamake tasha ndio changamoto ya kikwel....atamkana zatiti mbele ya sania...huzuni na simanzi...😢😢😢

  • @sophiapretty3690
    @sophiapretty3690 2 หลายเดือนก่อน +14

    Furaha yangu imerudi nilipomuona zatiti akitabasamu...Allah awajalie urafiki wenu udumu na pamoja na hayo naona noa inapiga hodi💃💃

  • @افااقع
    @افااقع 2 หลายเดือนก่อน +24

    Kwakweli mimi nimefurahi wakati nimemuona zatiti anafuraha nani amefurahi kama mimi❤❤❤❤🎉🎉 yani nawapenda🇰🇪🇰🇪

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤😍😍😍🥰🥰

  • @FelisterEnock
    @FelisterEnock 2 หลายเดือนก่อน +20

    Jaman sare yakijorayaharusi ya tasha na zatiti inabidi tujipange kiwe pambeee 🤟👌👌👌🤗

  • @fatumaalisaid3352
    @fatumaalisaid3352 2 หลายเดือนก่อน +27

    Wakwanza kutoka saudia,,team strong,,,,acheni mjengo njoeni k2 tiyari uku❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda

    • @DoreenWanyonyi-x8y
      @DoreenWanyonyi-x8y 2 หลายเดือนก่อน

      Waiguru atupate 😂😂😂lakini tuko

    • @MoureenmohWabwire
      @MoureenmohWabwire 2 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa Riyadh KSA ❤

  • @AminaSuleiman-sr4oo
    @AminaSuleiman-sr4oo 2 หลายเดือนก่อน +58

    Oyoo wakwanza Leo nawapenda San na naomba like jap 10 two jaman

  • @FarajaEliakim
    @FarajaEliakim 2 หลายเดือนก่อน +54

    Oyooo favorite movie❤
    Zatiti akitabasam najikuta nimetabasam

    • @halimahonello-rt4np
      @halimahonello-rt4np 2 หลายเดือนก่อน +4

      zatiti mzuri bwana😘

    • @FarajaEliakim
      @FarajaEliakim 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@halimahonello-rt4np kwakweli na ukweli usemwe tu 🥰

    • @Saumu-gy5tc
      @Saumu-gy5tc 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa hakika

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 2 หลายเดือนก่อน +91

    Hapa kuna ndoa ambayo watu tunategemea kuiona ya mr tasha vs zatiti pigakelel kama unapenda itokeeeeeee hiyo ndoa ili apate mimba chiko aone aibu pam1 na dad ake ciko

    • @SAUDAALI-n6o
      @SAUDAALI-n6o 2 หลายเดือนก่อน +1

      mm natamani sana zatiti aolewe na Mr tasha

    • @daudimutuku1410
      @daudimutuku1410 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉❤inshallah

    • @FatmaSaid-py8hr
      @FatmaSaid-py8hr 2 หลายเดือนก่อน

      itatokea inshaAllah zatiti atakuwa Mrs Tasha🥳🥳🥳🥳🥳

    • @SAUDAALI-n6o
      @SAUDAALI-n6o 2 หลายเดือนก่อน

      hata mm natamani sana zatiti aolewe na Mr tasha

    • @RaphaelSteven-o5n
      @RaphaelSteven-o5n 2 หลายเดือนก่อน

      Nataman zatit aolew na tasha❤ 🎉8:50

  • @rosebosibori1196
    @rosebosibori1196 2 หลายเดือนก่อน +24

    Jamani leo nataka watazania nipea like hata mia mwezenu hapa tutoka keny

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nimefurahi kuona zatiti akitabasamu nakupenda sana dadangu zatiti 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 2 หลายเดือนก่อน +16

    Oyooooooo leo nimekuwa wakwanza kwenye movie ambayo imetamba sana mtandaon yenye ujumbe mzito

  • @Franciscah-ks5zq
    @Franciscah-ks5zq 2 หลายเดือนก่อน +430

    Wenye tunaomba zatiti aolewe na mr. Tasha na apate mimba tuko wapi ?tujuane na likes kutoka kenya

    • @UmmiGanja
      @UmmiGanja 2 หลายเดือนก่อน +8

      ✋✋✋

    • @ZamzamMusa-ve5tc
      @ZamzamMusa-ve5tc 2 หลายเดือนก่อน +9

      @@Franciscah-ks5zq tuko apa tayari ashapewa biscuit ya kutuliza roho

    • @mwajumasimai2165
      @mwajumasimai2165 2 หลายเดือนก่อน +4

      Uhakika

    • @annetchemsto7127
      @annetchemsto7127 2 หลายเดือนก่อน +5

      Na uli mtu wakutafutia Kai nyumba anakaa mwenzangu kutoka nyamira😊

    • @lopetoetaan6204
      @lopetoetaan6204 2 หลายเดือนก่อน +7

      Niko hapa siyo kwa likes nimekuja na comment pia kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lizelizabeth6467
    @lizelizabeth6467 2 หลายเดือนก่อน +26

    Who else was cutting onions 😢 when Candy was asking her mother forgiveness?? No one is like mother.

  • @jumannerajabu5288
    @jumannerajabu5288 2 หลายเดือนก่อน +123

    Jamani wangapi wamependezwa kukutana Tasha na zatiti

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 2 หลายเดือนก่อน +16

    Ole wako Sonia Mr Tasha kashajishindia Zatiti 😂😂good job busaliti tv 👍👍👍

  • @hashimvilla7089
    @hashimvilla7089 2 หลายเดือนก่อน +29

    Hahaha Mr kilamba kama unamkubal gonga like

  • @JgJf-z4s
    @JgJf-z4s 2 หลายเดือนก่อน +46

    Najua mme kimbilia kucomment kwa sababu ya vocha me nimechelewa ila nimefika mnipe like to nawapenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤❤

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 2 หลายเดือนก่อน +90

    Atimaye leo nimekuwa wakwanza like zangu plz💓🙏

  • @EuniceOscar-cv3bp
    @EuniceOscar-cv3bp 2 หลายเดือนก่อน +18

    Leo nimekuwa wa 302 nipen like 3

  • @AnnaMengo
    @AnnaMengo 2 หลายเดือนก่อน +18

    Mmmmh ivi me ni wangapi jaman😢😢😢😢

  • @fideliafaida1247
    @fideliafaida1247 2 หลายเดือนก่อน +17

    Wangap tumesmile n zatiti😊😊😊😊

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 2 หลายเดือนก่อน +5

    Akuna kitu kizuri kama mtu anaekupq faraja kama unakubali maneno matamu ya Tasha weka like

  • @Jobless-045
    @Jobless-045 2 หลายเดือนก่อน +20

    Jameni mm Leo kwanza ,,,wanao mpenda Zatiti like tujuane ❤❤

  • @AsmaJuma-rd9xl
    @AsmaJuma-rd9xl 2 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani ❤ wale tulositisha kazi kwa ajili ya house grill tujuane🎉🎉

  • @WardaSalumu-xl8dz
    @WardaSalumu-xl8dz 2 หลายเดือนก่อน +92

    Kila siku nakuwa wamwisho tu nipen like ata 10 wadau

    • @kahindikatana
      @kahindikatana 2 หลายเดือนก่อน +1

      👍👍

    • @ndarowamchongotz
      @ndarowamchongotz 2 หลายเดือนก่อน

      Inapedeza zatt aolewe na Ms tashaa

    • @amisjafar-pd4tg
      @amisjafar-pd4tg 2 หลายเดือนก่อน

      kend abadili rabda atafanikiwa

  • @hussenichambila4899
    @hussenichambila4899 2 หลายเดือนก่อน +25

    Kumbe kibendu anakuwa na mawazo mazul wanaomkubali gonga like😂😂

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 หลายเดือนก่อน +21

    Jaman kpande cha leo cha zatiti na Mr Tasha, kiko pw had raha ,daaah au bas tu

  • @AishaSharif-p9h
    @AishaSharif-p9h 2 หลายเดือนก่อน +10

    Jaman Zatiti na Tashaa💪💪

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂alafu Hawa wa pumbavu wawili mtu na mke wake yani kilamba na mke wake Wana nipaburudani sana 😂😂😂😂❤❤❤❤❤nawapenda sana nkiwa Kenya 🇰🇪

    • @Farthun
      @Farthun 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kabsa pumbavu mwenzangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanachekesha ajabu

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 2 หลายเดือนก่อน

      @@Farthun 😀😀😀

    • @getujackson5346
      @getujackson5346 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli wananogesha move

  • @syliviaSoyita
    @syliviaSoyita 2 หลายเดือนก่อน +4

    Furaha inaniua baada ya zatiti na mr tasha kuwa marafiki yaani nimejihisi kama ni mimi niwatakia urafiki wa kudumu❤❤🎉

  • @IlhamShaban-vq3kx
    @IlhamShaban-vq3kx 2 หลายเดือนก่อน +53

    Ubaya ubwela naomben like🎉❤

    • @princessmbilinyi808
      @princessmbilinyi808 2 หลายเดือนก่อน +2

    • @Lonamkopi
      @Lonamkopi 2 หลายเดือนก่อน

      Weee huogopi 😂😂

    • @LevinaMassawe
      @LevinaMassawe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ubaya ubwelaaaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @HatungimanaDidas
    @HatungimanaDidas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow I like the way mr Tasha's acting I'm grateful for him❤😮🎉

  • @HdYusuph
    @HdYusuph 2 หลายเดือนก่อน +13

    Wana busat woyeeeeee❤❤

  • @MeshackKatindasa
    @MeshackKatindasa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza big up kwa mr Tasha

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bibi safi San nimependa hyoo bibi zuuu ❤❤ upo vizur San Malika una jambao ww muche bibi azuwe b harusi ndani ww kiramba mchuzi upingaje hap ww uwogopiiii wap msr Tasha n dada yetu kipenz zatiti upo vizur sana wallah zatiti jisikiye raha umepata bonge la bwana chiko utamjutia zatiti San zatiti saf San kumsau bwenge chiko imeshaaa hyoo zatiti jiamini my upo vizur ❤❤❤❤❤

  • @fatmasaid4806
    @fatmasaid4806 2 หลายเดือนก่อน +12

    Tupo na kibendu na candy

  • @MaryamM-ht4ir
    @MaryamM-ht4ir 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mm nasbry san ndowa y zatiti n Mr tash km n ww unasbry gonga like

  • @BINTmohammed-fu9gp
    @BINTmohammed-fu9gp 2 หลายเดือนก่อน +8

    kila mtu yuwasema niwakwanza....kojoeni mulale😂😂

    • @violangaira
      @violangaira 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂usivunje mbavu

  • @glorysimon4021
    @glorysimon4021 2 หลายเดือนก่อน +3

    😅😅😅tunasubiri Sasa ndoaa ya zatiti na mr tashaaa mweeeeeeeee🎉🎉🎉

  • @HappyJumwa-h9e
    @HappyJumwa-h9e 2 หลายเดือนก่อน +2

    congracts candy kwq kuomba msamaha hatimaye mambo yko yataenda sawaaa❤❤❤

  • @REHEMANCHALIKA
    @REHEMANCHALIKA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye party ya msamaha kwa kendy nmejpata nalia japo n movie 😢😢😢ameharibikiwa na kila ktu ndo ywasamehewa jaman radhi s nzur hongeren busat tv

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooo jaman hatimae naon tabasam la zatit

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 2 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani naona Mimi sasa SHIDA atamiliki nyumba Yake jmn km uta amini ilo gonga apa like

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @DamarisMoraa-e8s
    @DamarisMoraa-e8s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Design nmefurahia Leo angalau yatima wa mapenzi zatiti amecheka😂😂

  • @NasheheAbdalla
    @NasheheAbdalla 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amina pia mm naona zatiti ataolewa na Mr tasha

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +1

      🥰🥰

  • @RehemaMtweve
    @RehemaMtweve 2 หลายเดือนก่อน +20

    Hii move kwakweli inatufundisha mengi lkn tuache kuomb like kwan zinakaz gani😊😮

  • @MinaBuguf
    @MinaBuguf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi izo like venye mnaomba mnalibwa wezetu tumewachoke jaman

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 2 หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤❤𝐍𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐚 𝐳𝐚𝐭𝐢𝐭𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨 𝐜𝐡𝐞𝐤𝐚 𝐣𝐦𝐧❤❤❤

  • @Mamygumbo
    @Mamygumbo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Woooow naona mambo yanajipa sasa kwa zatiti na mr tasha ❤❤❤❤I love housegirl I love busati tv 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aya mm wa mwisho kabisa nipen like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stellaayiera8038
    @stellaayiera8038 2 หลายเดือนก่อน +1

    Harusi ya Mr Tasha na zatiti tunayo hatuna!!🎉

  • @SalhaHamad-mc6jj
    @SalhaHamad-mc6jj 2 หลายเดือนก่อน +7

    Itanoga zaidi zatiti kuolewa na tasha

  • @twinkledestar4277
    @twinkledestar4277 2 หลายเดือนก่อน +14

    Team strong oyeeeeeh ❤❤❤

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Walai nimefirahi sana vile nimeona mr tasha na zatiti wamekuwa marafiki hdi zatiti amerudi normal ❤❤❤❤nimefirahi sana

  • @simoncheto5516
    @simoncheto5516 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tasha kaka apo umefika kwenyewe😂😂❤❤

  • @NURUMWADUME-wq7ye
    @NURUMWADUME-wq7ye 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mr Tasha n zatiti lzma wafunge ndoa 😂❤❤❤❤ nipeni like n mmi

  • @RoseNjoka_23
    @RoseNjoka_23 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nyie zatiti ni mzuri sana 😊

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 หลายเดือนก่อน +1

    Atimae leo candy kasamehewa na mamake haya tulia mwaya baraka za mamake zifanye kazi.❤❤❤❤

  • @FraidSamata
    @FraidSamata 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman zatiti ni mremboo Jaman, kwani ameolewa? Busati naomba namba ya za titi kama yupo single please ❤🎉

  • @JbmtekaMteka-u3h
    @JbmtekaMteka-u3h 2 หลายเดือนก่อน +6

    Naombeni like hata 2 japo nimechelewa

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

    • @BenedictoErnest
      @BenedictoErnest 2 หลายเดือนก่อน

      😮😅😮❤❤❤

  • @AnithaSteven
    @AnithaSteven 2 หลายเดือนก่อน +37

    Wanao penda mr tasha na zatiti wafunge ndoa acha like

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zatiti uko mrembo mamaa,umependezana na Mr Tasha.Kai nawe na zuu harusi tunayoooo🎉❤🎉🎉🎉

  • @KhairatSaateni
    @KhairatSaateni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumb zatiti akichk ni mremb ivo mashaallah❤❤❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
    @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana mnavyowahiii

  • @AdijaRumonge
    @AdijaRumonge 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamni wa kwanza naombeni like Leo vipenzi

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow kazi nzur snaa nawapenda nyte waigizaji n mashabiki maupendo kibao asei❤❤

  • @MaryianKea
    @MaryianKea 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona raha endapo zatiti na tasha wataoana❤❤🎉🎉

  • @SameripatriciopauloPatri-pv5kg
    @SameripatriciopauloPatri-pv5kg 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wa Kwanza naomba like jmn

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan maisha ya kilamba ukwaju na mkewe km maisha yangu na mume wangu yaani nainjoi kwa sasa napambana oman ila tunapendana sana

  • @MwanamvuaNassoro
    @MwanamvuaNassoro 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nyie uku kumewaka chisa na masozi yaan hadi raha ,busati ni utamu juu ya utamu ,team strong au wale tunao acha kazi za waarabu tuangalie house girl tujuane jaman😂😂😂

  • @MauriciokandidoMauricio
    @MauriciokandidoMauricio หลายเดือนก่อน +1

    MIMI NAMPENDA SANA MR: KILAMBA

  • @genz1stqualityfilmproducti140
    @genz1stqualityfilmproducti140 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wallahi wapi kelele kwa house girl ni pambe mashallah namuona zatiti kajishindia mume mwenye faraja mr tasha …wanendana sana 🎉🎉😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 หลายเดือนก่อน +1

    House girl ni kama wimbo wa yanga bingwa ya mjeshiii kila kona balaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉bombo clat

  • @NajmahBebbsy-uw5iz
    @NajmahBebbsy-uw5iz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuomba like tuuh kutoa ushaur aaah 😊😊😊

  • @sushmita-p1v
    @sushmita-p1v 2 หลายเดือนก่อน +3

    wapumbavu wenzangu🙌🏻 wasio mpenda kilamba na mkewake gonga like apa ❤🎉🤭🥴🥴

  • @DamarisomwengaKemunto
    @DamarisomwengaKemunto 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanza like tanokwa Zuri jamani

  • @GidionMaiden
    @GidionMaiden 2 หลายเดือนก่อน

    Amina naomba mungu atende jamn kw zatiti na tasha

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Mr Tasha kiukweli wameendana na zatiti❤❤❤❤❤

  • @hawaali8371
    @hawaali8371 2 หลายเดือนก่อน

    Wawoo, Natamani Isiishe . Burudani Na Mafunzo Telle

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 2 หลายเดือนก่อน

    Hamboi Wal hamkeri
    ,Love so much ❤❤❤❤❤

  • @mesamesa3698
    @mesamesa3698 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda zatiti❤

  • @MahenzomMramba
    @MahenzomMramba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sania ana jifanya mwema ila sio mwema 😂 ila hawa mpumbavu mwenzangu wananifurahisha Sana nawapenda yani bure mwengine ni kibendu pia nampenda ata kama ndugu zako ni wabaya lakini ina tupasa tuwakuli mimi naangalia kutoka Kenya jamani❤❤❤

  • @AAl-r1s
    @AAl-r1s 2 หลายเดือนก่อน +10

    nice❤❤❤

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana zatiti sa hii ako na furaha sana 👍❤

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 หลายเดือนก่อน

    Waoo ❤❤❤❤ nimependa San unavyo tabasam naona leo.pia nitakula nishibe wallah Tena kumekucha Tena Kwa masuzii na madefuu mdagaji tu akiwa Kwa d yake chiko ana cm simu ww uwogopiiiiii

  • @LidyaKadogo
    @LidyaKadogo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nacheka na zatiti😂😂😂😂

  • @EshaAlii-hr1fn
    @EshaAlii-hr1fn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani naipenda sana hii mve

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza chiko mm😂😂

  • @genz1stqualityfilmproducti140
    @genz1stqualityfilmproducti140 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema kweli hii nimeipenda sababu narudiarudia mahaba ya zatiti na mr tasha

  • @agness8971
    @agness8971 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sn sania😂, huku ni mautamu to Tasha na zatiti❤❤❤❤, mnipe like 10 pls

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mmeuona urafiki kama mm nilivyoona au 💃💃💃💃

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu habagui hauchangui vyote Ni Mali yake.kend Leo ameokoka yesu Ni bwana Wacha tusubiri ya nayo kuja

  • @SubiraShaibu
    @SubiraShaibu 2 หลายเดือนก่อน

    wanao ipenda house girl tujuane Kwa like

  • @OliverSanga-jw7cd
    @OliverSanga-jw7cd 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeh jamn tasha wow naomb amuoe zatiti. An ukiwa ukiwa na mume kama tasha daaah dunia yote unaweza ukaiona dunia yako pekee ako, lakin tasha naomb haya matendo unayoonesh humu yake kwer kwenye uhalisia wako

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @EsterandresLivangala
    @EsterandresLivangala 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman Tasha ulikuwa wap mfarij zatiti

  • @vitorinoantonioali648
    @vitorinoantonioali648 2 หลายเดือนก่อน

    Mr Tasha umetisha na pamenoga sana

  • @PaulOjiambo-p1f
    @PaulOjiambo-p1f 2 หลายเดือนก่อน

    wow❤❤ safi sana naipenda🎉🎉🎉

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 2 หลายเดือนก่อน

    Bibi nakupend kwa msimamo🎉🎉