Ahmed Darwesh Mwenyezi Mungu alifanye kaburi lako kua bustani kati ya mabustani aliyoyanawirisha makaburi ya waja wema na roho yako iwe katika pepo yake Allah, Amiin Thumma Amiin
Eeh bwanae,huyu Mrisho Ni sayari nyingine,maneno yake ni mziki masikioni,na ufundi wake wa kusuka silabi,kuzaa neno..maneno kuzaa mishorororo...mtiririko wa busara zake unaishangaza dunia.Heko Mrisho,heko mheshimiwa.
Mjifunze kwanza, mjifunze na elimu, muwe watu taalamu, Halali na haramu, muweze kupambanua, Kwasababu, Elimu kitu kizuri, kuwa nayo ni fahari, sababu humshauri mtu la kutumia, Maisha bila elimu, hayafai mwanadamu, Sababu mambo magumu, mengi sana mbele, Milango wazi huwa adimu, kwa wasiye na elimu, Kwa mwenye nalo vigumu, hujifungua yenyewe. ~ Abdalla Mwasimba
Amezoea hivyo na anapenda kua hivyo hata kwenye videos za nyimbo zake uwa ana-shoot akiwa bila viatu. Yeye hata aende ulaya bado ataenda bila kuvaa viatu
jamani htaa mimi ni mdau sana wa kiswahili na nina uwezo mkubwa wa kutunga mashairi. mpk nimeamua nianzishe blog yang ya mashair, ,,naomben mtembelee blog yang www.mashairiyasafina.blogspot.com, nahtaj uxauri, lkn pia nlikua naxaur tujarb kutafta mashair ya sasa yaliyo na matukio ya sasa, tuungane kukuza kiswahili chetu
Mrisho mpoto yr my best Swahili guru wanimarixa xana meeting u is ma dream
Ahmed Darwesh Mwenyezi Mungu alifanye kaburi lako kua bustani kati ya mabustani aliyoyanawirisha makaburi ya waja wema na roho yako iwe katika pepo yake Allah, Amiin Thumma Amiin
Wakereketwa❤️❤️❤️❤️
Saluti nawapigia wakuu Wa.lugha tukufu
Mrisho mpoto heshima kwako
Mimi napenda sana
Kiswahili kitukuzwe , Mola akubarike Ustadh Walla.
Mola akujalie guru Ustadh Wallah bin wallah
MashaAllah 2020
Ahsante kwa Wallah Bin Wallah. Kiswahili Kitukuzwe.
AHMED DHARWESH TALENT AT ITS BEST. INNALILAHI WAINARAJIUN
Nimefurahi kipita kiasi kuona tendo hili kuhusu lugha yetu adhimu ya kiswahili. Kiswahili kitukuzwe vilivyo.
Eeh bwanae,huyu Mrisho Ni sayari nyingine,maneno yake ni mziki masikioni,na ufundi wake wa kusuka silabi,kuzaa neno..maneno kuzaa mishorororo...mtiririko wa busara zake unaishangaza dunia.Heko Mrisho,heko mheshimiwa.
Mjifunze kwanza, mjifunze na elimu, muwe watu taalamu,
Halali na haramu, muweze kupambanua,
Kwasababu,
Elimu kitu kizuri, kuwa nayo ni fahari, sababu humshauri mtu la kutumia,
Maisha bila elimu, hayafai mwanadamu,
Sababu mambo magumu, mengi sana mbele,
Milango wazi huwa adimu, kwa wasiye na elimu,
Kwa mwenye nalo vigumu, hujifungua yenyewe.
~ Abdalla Mwasimba
Ayub bakari nauona
VIDEO HII NI KUMBUKUMBU NZURI SANA ZA TUZO ZA WASTA NA MAGWIJI WETU WA LUGHA. MWENYEZI AWAREHEMU MAJAGINA WETU WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI.
na mashairi yangu yamelenga nyanja zote yanaelimisha lakini uelimishaji huo uko katika muundo wa mashairi
huyu ndugu antembea mguu bichi
Amezoea hivyo na anapenda kua hivyo hata kwenye videos za nyimbo zake uwa ana-shoot akiwa bila viatu. Yeye hata aende ulaya bado ataenda bila kuvaa viatu
i saw someone i know at 24:14 😂😂😂😂
Kwa ufasaha na nasaha za busara.