Mheshimiwa MAKONDA hongera sana na Shukran nyingi sana kwa Mama yetu Raisi Samia Suluhu kwa kujuteuwa. Makonda mimi Sina chama ila kwa haya unayo fanya umenigusa sana . MHESHIMIWA MAKONDA YOU ARE GENIUS ! USIOGOPE KUSEMA UKWELI NA USIWE JASIRI KUDANGANYA 👏👏👏💪💪💪
Tumempoteza magufur tumelia na kuomba mungu atupatie mtu atakae simama kujitoa sadaka tunazani ni nani kama sio huyu hapo ni mdogo je tukimpa zamana atatuambia hadi samaki waliopo baharini hongera sana
Kuna watu kwaajili ya kutimiza utu wao ni wanafki sana ivi mtu akiwa na tabia mbaya akaamua kubadilika nakufanya mambo mazuri kwanini asipongezwe ukwe hiki kinachoendelea na huyu jamaa ni kitu chamaana sana hongera sana chifu makonda fanya fika huku kusini yani masasi hadi lupaso ujionee watu walivyokwama na hakuna pakulilia
The next president mungu akulinde makonda
Natoa pole kwa Mama Mtoto na asante kwa msaada wa kutoka kwa Wananchi na asante kwa Chama cha CCM ❤ Mungu awabariki na awaongezee
Pole sana makonda kwa ajali mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu
Makonda uwe makini na izo skafu wanazokuvalisha wabaya wako pembeni yako❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mwombeeni Sana kwa mungu awe kusudi la watanzania
Mheshimiwa MAKONDA hongera sana na Shukran nyingi sana kwa Mama yetu Raisi Samia Suluhu kwa kujuteuwa. Makonda mimi Sina chama ila kwa haya unayo fanya umenigusa sana . MHESHIMIWA MAKONDA YOU ARE GENIUS ! USIOGOPE KUSEMA UKWELI NA USIWE JASIRI KUDANGANYA 👏👏👏💪💪💪
Mama Samia ongeza nguvu- mpatie kazi Sabaya akusaidie ktk ziara hizi wakishirikiana na Makonda. kero za wanachi Sabaya pia anaweza mama
Tumempoteza magufur tumelia na kuomba mungu atupatie mtu atakae simama kujitoa sadaka tunazani ni nani kama sio huyu hapo ni mdogo je tukimpa zamana atatuambia hadi samaki waliopo baharini hongera sana
PlaeD of makonda
Super Mheshimiwa Makonda unasaida Wanyonge hongera sana ❤ kwa kazi nzuri Mungu ni mkubwa akuongezee nguvu
Ukweli, Makonda unaeleweka. Mungu akutangulie.
Nimefurahi Sana kumsikia Mwenezi Makonda akihubiri HAKI. Neno geni Sana HAKI Kwa Watendaji serikalini.
Tukuombee KWa mungu kwakweri nikikumbuka yaliompata magufuri sipati picha
Makonda anahekima ya juu sana katika kuhoji na kung’ata vzr kama pitbull
Safi sana tunakuombea sana
Kulajua
Duu mtoto ana lawitiwa du.
Kuna watu kwaajili ya kutimiza utu wao ni wanafki sana ivi mtu akiwa na tabia mbaya akaamua kubadilika nakufanya mambo mazuri kwanini asipongezwe ukwe hiki kinachoendelea na huyu jamaa ni kitu chamaana sana hongera sana chifu makonda fanya fika huku kusini yani masasi hadi lupaso ujionee watu walivyokwama na hakuna pakulilia
Huyu jamaa km namuelewa sasa
MH RAIS LINDA JEMBE LAKO! ASIVISHWE SKAF PLS NI HATARI SSSSSSANA KWAKE!!
Ukiwajulia wananchi Raha sana. unaenda nao jinsi walivyo. Ukija na yako hata yawe ya maana utawatesa Tu kwa kuwa hawatakueewa
Mmmm ukisema una mtihani kuna wenzio wana makubwa hayasemeki
Ni hatari endelea kutetea wayonge
😂😂😂
Saizi wapole wanatafta kula tu
MTAELEWA TU
PIGA KAZI MAKONDA