Bajuni boy una sauti nzuri sana.ungejaribu kuimba sauti ya zamani .inge kupendeza sana .kama sauti ya mtato .maulidi na wangi .na kupa pongera kwa sauti yako.mashaAllah.lakini usidajau kusali mana duniya yataka na akhara yataka.mabruk .shukuru mungu kukupa sauti nzuri sana maashaAllah
Amzidishie nini bro? Amzidishie uovu ? Kuna na hesabu kwa Allwah ya kheri hatushangiliani lkn ya shari twapigiana makofi na qiyama hakiko mbali la muhimu atubu aache hii kazi.
All the way from Sri lanka. Man this song is Amazing 2023...
My bajun friend made me fall inlove with this song 🎶.nice song
2021 sichoki bado kuisikiliza hii nyimbo yani ipo🆒 kabisa MashaAllah bro endelea kuleta vitu👍
I love my ancle so somach❤🥰😲😊
Hii ninasu yake naipenda kuliko maelezo Mashaallah
❤❤❤😍😍😍😍💥😚from Nairobi. Rly like this song
Mashalla...nime penda nyimbo yako..akupendea na wewe mpenda....ukweli yako jongo hapendi mtungi.
Bajuni boy una sauti nzuri sana.ungejaribu kuimba sauti ya zamani .inge kupendeza sana .kama sauti ya mtato .maulidi na wangi .na kupa pongera kwa sauti yako.mashaAllah.lakini usidajau kusali mana duniya yataka na akhara yataka.mabruk .shukuru mungu kukupa sauti nzuri sana maashaAllah
We truly love u and u can do it
Thnks inshallah ntajitahidi
Good luck
Hapo chacha akupe Dae mpende
💃💃💃
Hongera sana hapo gonga ndipo
😘🤩💞nacheza zangu2 hapa nikiwa oman wallah wimbo pambeee wazanzibar tujuwane hapa😊💞
Kizare has invigorated the Swahili or Bajuni songs with a renewed vigor and sumptuous taste! Congratulations for the creative work.
akuizae.muize
@@fatumamoham500p😊😊😊0pp😊 2:05 😊
Piga keleee kwa kizareee akeeee weeeeeweeee❣️🔥
Amaizing kizare
Ma shaa Allah napenda nyimbo zako form Zanzibar tz ❤
Hapo umenena kweli kabisa🤩🖐
Mashaallah mungu akuzidishie broo
Masha'Allah 🥰 Hatarii mambo hayo akupendae mpende ❤
Mashaallah bro imewezaaa
Well done..keep the fire burning bajun boy
Mashalla munge akupe kila la heri...nime penda sana.
Mashallah mashallah mwanangu
Heri kuzia nyuma kuliko kuzia mbee 🤣 Jongoo hapandi ntungi
Bajuni for life, Hongera sana u r very talented Masha Allah. Love ur songs
Sawadka akuidhao muidhe ufanye marahamu hio meinichuwa sana 👍
I am in love with this song jamani...damn much 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
It’s really beautiful 😍 kwa kutaka kuigiza utayaharibu mengi….
Wapiiii kizareee weuweeee uko juu 👌
Uko vizur kaka wimbo pambe
Asanta mwana wa mjomba nimekubali hapo all the way from somalia. 🇸🇴🇰🇪wabajuni hoyeeee!!!
Hoyeeee bajuni
Hoyeeeeee!🤩
Hooyeeeee
Hoyeee
Hoyeeeeee🔥🔥🔥❤❤❤
Jamani akupendae mpende love you my husband💃💃💃💃🇰🇪👌
Alaaa
mungu atupe mawazo duniyani insha Allah }
Oh i love this song
Jamani😂😂😘
Akupendae Mpende umpe Maneno tamu ..aaha 🙌😊
Hongera! Bajuni hoyee💪💪💪💪
Hoyeeeee
unanikumbusha ndugu zangu wa Lamu..BIG UP nduyangu
U take me back home wallahy....big love💋
Kizare hoyeeeee wapi kelele kwa wabajuni weuweeeeee😙😙😙😙😙😙😙😙😙
Love you from Georgia 🇬🇪 United States 🇺🇸
Hongera una jua sana
I Really love his voice
Me too
Come to perform in the United States 🇺🇸 talent to the performance apply for your talent plz
I’m from the United States 🇺🇸 too
You have release my strees thank you 😂
Kizare hoooooooyeeeeee
Top kabisa💥💥
Nipenda sana❤🥰😘😘
Mashallah classic one , u r the best ever
Listening from Saudi Arabia ma sha Allah beautiful song 🌹
Kz akuidhae muidhe umfanye marehemu Miss u nakusubir kw hamu
Ukoju👌👌👌👌💋💋💋💋💋
Born 2 be star kizare
Nakupenda Abdallah wangu😘
NAkupenda Rished wangu
Mashaallah kizare umeweza brooo
Hongera sana....nimeipenda sana hii nyimbo
Hongera bro tunasubiri mpiya zako usinyamae saaana
BEAUTIFUL SONG! CLASSIC! I love it.
Mashaallah 😍😍
Hii iliweza❤❤❤
Who ever dislikes this song he or she doesn't know the real music
🥰🥰🥰👌best wallhy,,,maneno adhwiiiim,,,,FATMA HUSSEIN airmax HAPA ❤❤lot of love uncle😘
Shukran
Maneno matamu kama asali
On fleek🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaallah 👍👍♥️♥️♥️😛😛😍😍
Mungu nakupenda umuri ameen. Maneno akweli cnt weit 2 c u dec ndani y floringi in shaa allah
Shukran inshallah
Afwan ameen
Ya salaaam ni zare kweli nnakubali mabruk Habibi
Sana kizareee weeeeeeweeeeeeeeez one love boy
Maneno kama asali bro hongera
Beautiful song beautiful rhythm 👍
mashallah kizare wa kwechu
In love with this 👊👊👊
kila la heri kizare mungu akuzidishie inshallah
Amzidishie nini bro?
Amzidishie uovu ?
Kuna na hesabu kwa Allwah ya kheri hatushangiliani lkn ya shari twapigiana makofi na qiyama hakiko mbali la muhimu atubu aache hii kazi.
Captain Docky my. Brother
My late father used to tell me. am bajun.from lamu.
Heee mamee😀
Mashaalah mungu akupe umri
Ahsantee hii pekee musmari ya zege moyoni
Usijigeuze mende ukajikausa damu👌
MashaAllah ngekutuza 💯
I like this and namunikome
am waiting 4 yu my cousin say she will call yu on her wedding day cant wait 2 meet yu
Nyimbo classic mashallah.....
Kabisaa kizare hujakoseya bro
Akupendae mpende ❤️❤️❤️❤️
Aa kijana wetu wa kibajuni tafadhali tia mashairi ya wabajuni washikane ......
Asante kizare maneno makali nduyangu umenimalidha nchumee maamee 👍
MashaAllah sauti yanitoa roho
Soft and soul soothing
Wwwooooww mate sensational 👏 👌
Mashallah uko juuu bajuni
Mbona watutesa bro niko Saudi Arabia mpakaa ulinfanya na miss home mombasa hongera
Tobaaaaaa
Uko yuu👌
Mwacha mila ni mtumwa nice
Mashaallah 🖤💜💜💞
I love this song mashallah nice mashallah
Mwenechu huo nshindo wa hilo gona tu utatua tu usikize hiyo nyimbo hadi mwisho.
Masha alah bro ali neva Dora
Inanikosha sana
Mashalla ❤❤❤❤
Unani kumbusha zamani za kale siku za harusi tukisherekea kwa raha zetu sii kama siku hizi, endelea kupanda ngazi
MashaAllah 👌uko juuu sanaaa
Mashaallah 😘😘
Nduyangu nyonda kibao
Uko juu kizare
Tanivua kizare