@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp mimi natokea inchi ya Burundi iyi kazi ya Da-wAA Inatakiwa uwe nasubra Matayo 10:16 yesu anasema kuwe na busara kama nyoka na Kuweni wa pole kama Uwa jihadhalini nawaAdamu munaowafikisheni maneno ya Mungu watakufungeni hawo watakupigeni hawo watakuwekeni magelezani hawo lakini atakae vumiliya paka mwisho uyo ndiye atakae okoka
MashaAllah Allah awalipe kilakheri Ameen. Mola Alipotueleza kwamba Ameturidhia Uislamu kuwa ni Diyn yetu na kwamba haitakubaliwa imani nyengine yoyote basi hapo sote twahitajika kufuata njia sahihi za Qur-aan na Sunnah bila ya kuterereka.
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp mimi natokeya inchi ya Burundi iyi kazi ya Da-wAA Inatakiwa uwe nasubra sana yesu anasema Matayo 10:16 Kuweni na busara kama nyoka na Kuweni wa pole kama Uwa Jihadhalini nawaAdamu munaowafikisheni maneno ya Mungu watakufungeni hawo watakupigeni hawo watakuwekeni magelezani hawo lakini atakae vumiliya paka mwisho uyo ndiye atakae okoka
Mashekh wetu Allah awazidishie awalinde na maadui nimependa sana mkiona watu wengi na makelele ondokeni kabisa nashauri km vp kwenye wiki mgetembea mara tatu daawa mitaani
Asalamu alaykumu, Mimi Nina maoni tu kwa wale ambao itakuwa wanakuwa wapizani sana kwenye mijadala muwaalike sehemu malumu ili na sisi tunaosikiliza tupate kuwasikia zaidi na wao wapate kujua ukweli zaidi kuliko kuwakimbia kabisa.
Wakristo huamini sana Yesu kuliko Mungu Mwenyewe hapo ndipo hukosea, Maana hio miujiza yote ni kwa ajili ya Mungu Mwenyewe...Allah awalainishie moyo wakuelewa, Maana mpaka miujiza ya mtume walikataa
Huyo Dada alietoa andiko la neno la hapo mwanzo kulikuwako neno mpe 17:3 yohana linasema na uzima wamilele ndiyo uhuu wakujue wewe mungu wapekee na Yesu uliemtuma
@@masterantojbeatz7884 ,wewe endelea kukaa uko maana hauko kwenye hii miadhara kujifunza bali uko kwa shabiki, ukitaka kujifunza bali utaelewa maana ukiristo haujisimamii wala kujitetea, na ikiwa ukiristo ni dini nataka uniambie hau ujibu swali hili 👉👉👉👉UKIRISTO UMETOKANA NA JINA LA KIRISTO, JE, WALIOKUWEPO KABLA YA YESU KRISTO KUZALIWA WALIJIITA WAKINA NANI? hiyo bibilia yenu pia inasema hivi👉👉BAADA YA MWAKA MZIMA KUKUSANYIKA WANAFUNZI WALIITWA WAKIRISTO KWANZA HAPO ANTOKYA, NA HILO NI JINA LAKUPANGA TU WALILOLITUMIA WAPAGANI 👈👈👈👈sasa tuambie hapo vipi, tena hiyo ni baada ya miaka mingi yesu kuondoka duniani, alafu neno KANISA maana yake ni MKUTANO, na bibilia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu,vitabu vya MUNGU ni vitabu vinne tu na bibilia haipo lakini Paulo alitaka kupoteza watu na alipiga mafundisho yote ya yesu
MashAllah dadangu Allah azidi kukupa afya njema, wachana na sarakasi mara yesu mungu, mara yesu ni nabii,mara yesu ni mwana wa mungu, mara yesu ni mkate, yesu kwenye msikiti wao kanisani, wamejitungia mambo ya ajabu na ndio yesu alisema 👉watu hao UNIHESHIMU KWA MIDOMO LAKINI MATENDO YAO YAKO MBALI NA MIMI 👈👈wanawageza manabii wa MUNGU kuwa miungu na kuwafanya wana wa MUNGU ambapo hiyo ni kufru kubwa, yesu alisema watu wangu wamekua kondoo na wachungaji wao wamewapoteza, pia yesu alisema 👉👉👉SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA IZRAEL, 👈👈👈yesu alipoulizwa na wanafunzi wake ni hipi sheria yakwanza?yesu akajibu hivi👉👉YAKWANZA NDIO HII,WAKUJUE WEWE MUNGU WAPEKEE WAKWELI NA YESU KRISTO ULIEMTUMA 👈yesu alipo ondoka duniani Paulo aliingia kwenye masnagogi akawauwa watu na baada ya hapo akawashartisha kukufuru, akawaambia waseme yesu ni mwana wa MUNGU na hata ikafika atua kuwaambia waseme yesu ni mungu, na ndio huyo aliekuuliza pia imani yake anasema yesu ni mungu!!!!Na yesu yuko na ukoo, sijui ADAM aliekuwepo katika hii dunia bila baba wala mama atamuitaje
Mitume na manabii wote wa mungu wameabud kwa kusujudu nope andiko kwa nini hauswali kwa kusujudu kama mitume na manabii wote wa mungu acha umbumbu kasome vitabu Ili ujue sio unafata mkumbo wa kupelekwa pelekwa kama lingombe acha ujinga kasome mwenyewe na wewe ujue
Mana kasema mmungu neno kaumba dunia na neno pia kaumba yesu na vingine sio akisema neno ndio yy mungu neno awe yy neno no kama binadam anavyo amrisha kwa maneno mfano chukua ni amri na mungu anamrisha kitu kifanyike ni yy anamrisha sio yy neno kama kumbumba yesu bila baba ni miujiza kwa mmungu kuamrisha
Huyo Dada ameelewa vizuri sana but nishetani huyo ndugu zangu muwe Na subra ndugu zangu nasiku wakagusa mtu ndio watajua vizuri kama SS Na watu waamani natukibadilika niwatu wabaya hawana lolote hao ni wafuasi wa shetani kazi yao nikupoteza wenzano ALLAH BARIIK always
Sheikh Yussuf kama huyo dada alosema kuhusu neno mpe mfano wa gari; mwanzo kulikuwa na gari, gari ikapelekwa kwa fundi nalo gari ni fundi. Je gari ni ???
Mh kazi ngumu sana ila kazeni masheh zangu mana hawa watu wanahitaji elimu ya kutosha kabisa mana hawataki hata kusikiliza maandiko yao wenyewe kwenye biblia
Hawa ndugu zetu wakristo wanafurahisha, eti yesu mungu kwasababu kazaliwa bila ya baba, mi nahisi bora waseme Adam hakuwa na baba wala mama au eve (hawa) na yeye hakuwa na baba na mama mbona hawasemi pia ni waungu
""Maashaallah mashekh wetu kazi ngumu ya kutangaza dini ya Allah.. Allah awalipe kheri inshaallah.
Amin sote
Amen tunazisubiri sana hizi video
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Marshall mung atawalipa kuelimisha wanadamu
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp mimi natokea inchi ya Burundi iyi kazi ya Da-wAA Inatakiwa uwe nasubra Matayo 10:16 yesu anasema kuwe na busara kama nyoka na Kuweni wa pole kama Uwa jihadhalini nawaAdamu munaowafikisheni maneno ya Mungu watakufungeni hawo watakupigeni hawo watakuwekeni magelezani hawo lakini atakae vumiliya paka mwisho uyo ndiye atakae okoka
MashaAllah MashaAllah MashaAllah sio mchezo wanacho kifanya Mashekhe wetu
Masha Allah, kazi nzuri, Allah awalipe kheir hapa duniani na kesho akhera
Amin sote
Waa mbona unatumia Bible so mtumie quorun na Tena unasema sabato iko sawa
Maashaallaah mungu awaongoze mashekhe wetu wapenguvu nasubra
Amin sote
Allah.Awanusuru mashekhe wetu....Pasta mungu Amuongoze
Amin sote
MashaAllah Allah awalipe kilakheri Ameen.
Mola Alipotueleza kwamba Ameturidhia Uislamu kuwa ni Diyn yetu na kwamba haitakubaliwa imani nyengine yoyote basi hapo sote twahitajika kufuata njia sahihi za Qur-aan na Sunnah bila ya kuterereka.
Amin sote
Mungu akubarikini sana,walimu wetu kaz nzuri mungu atawalipa ishaalwah
Amin sote
Hawajielewi hawo mwenye kuelewa ata-Fwa t a tunawaombea sana mashekhe wetu mungu awaongoze inshaallaah
Amin sote
Mashaallah
Sheikh Yusuph and Seikh Said
I'm from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Allah(s.w.a) wazidishie kila lenye neema inshaallah
Amin sote
MashaAllah mungu awazidishie hikma na ilmu zaidi.. muzidi kuelimisha watu waingie kwa dini ya Allah
Amin sote
Asante njia ya Allah ma sheikh's nawapenda sana Allah alipe asante
Amin sote
MAA SHAA ALLAH KAZI MZURI ALLAH AWAJAALIE MINAL FAIZIN FII DUNIA WAL AKHERA,PAMOJA NA SISI SOTE WA FWASI WA MTUME MUHAMMAD S.A.W.
Amin sote
Mashaallah kaz nzr sn mungu atakulipen kheri ishawah
Amin sote
Allah awalipe kila la kheri hapa duniani na ahera Kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Amin sote
Shukran,Alxamdulillah kwa dini yetu ya uisilimu. Allah atuongoze
Amin sote
Mnafanya kazzi, ngumu, Sanna ndugu zangu manshaalah, mungu Atawa lipeni
Manshaalah, mashehe, wetu kazi ngumu sana Mungu Ata walipeni.
Amin sote
May Allah grant you Jannah
Amin sote
Sheikh napenda sana kazi yako na M/Mungu akulipe kwa hilo, sio sie mashehe wetu wanapingana wao kwa wao wanakera kweli
Amin sote
Wahadhili wa kenya nimewapenda sana wakutangaza Dini ya Allah sijuwi jinsi ya kusema kazi Mnaifanya ningumu Allah ndie awalipe
Amin sote
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp mimi natokeya inchi ya Burundi iyi kazi ya Da-wAA Inatakiwa uwe nasubra sana yesu anasema Matayo 10:16 Kuweni na busara kama nyoka na Kuweni wa pole kama Uwa Jihadhalini nawaAdamu munaowafikisheni maneno ya Mungu watakufungeni hawo watakupigeni hawo watakuwekeni magelezani hawo lakini atakae vumiliya paka mwisho uyo ndiye atakae okoka
Mungu akulinde na shar na hasad
Amin sote
Kazi yanu yataka subra sana mashekh wetu Allah awajaze kheri
Amin sote
Masha Allah tabaraka Allah Rahman,kazi mwaifanya kweli kweli,Allah awalipe humu duniani na peponi kwa ujila mwema.
Amin sote
Wataamini tu... Fanyeni kazi ya Allah ma sheikh wetu
Mashaa Allah... ALLAH mtukufu awajalie kila la kher kwa kazi nzuri mnayoifanya
Atakae elewa aelewe ambae hataelewa mungu amuongoze
Amin sote
Mashallah Allah awabarik shekh Muhammed Allah akubarik kwa jibu ulomjibu Huho Jamaa
Amin
Allah wape subra hawa mashekhe wetu uwatie na moyo wakutangaza kitabu chako
Amin sote
Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh Inshaallah kaz ngumu sana munayoifanya
Amin sote
Mashekh wetu Allah awazidishie awalinde na maadui nimependa sana mkiona watu wengi na makelele ondokeni kabisa nashauri km vp kwenye wiki mgetembea mara tatu daawa mitaani
Asalamu alaykumu, Mimi Nina maoni tu kwa wale ambao itakuwa wanakuwa wapizani sana kwenye mijadala muwaalike sehemu malumu ili na sisi tunaosikiliza tupate kuwasikia zaidi na wao wapate kujua ukweli zaidi kuliko kuwakimbia kabisa.
Amin sote
Mashaallah Allah awajaalie kila la kher katk kuisambaz dini ya haki (uislamu) aminn
Amin sote
Uyo mama wa mwisho nimshindani Mungu amuongoze katika njia
Inshaallah
Mashaallah, Allah yu pamoja nanyi
Amin sote
MashAllah namuona sheikh mohamed hapo .unifikishie salamu pia
Naam yupo, Salamu zitamufikia
Mashaaa allah ustaad Yusuf Allah akupei kheri
Amin sote
Wabishi sana hayajielewi duuu yataka subra sana
Mungu atujalie mwisho mwema waislam inshallah
Amin sote
Shk Yussuf.Hapo tanataka MHADHARA MKUBWA SANA.
Inshaa-Allah
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp kweli maana nimegundua wengi ni zero kabisaa!
Ya rabii mungu awape subra mashk wetu kwa kazi zito
Amin sote
Allah awajaze imani katika kazi mnayo ifanya
Amin sote
Shukran kwa dawaa.
Mashaallah mungu awape afya njema na awaondolee mazito katika kazi nzito munayo ifanya mungu awape umrimrefu na awaondeshee maradhi
Amin sote
Amin
Maashaallah nafurahi uislam ukienea zaidi
Hakika mnafanya kazi ngumu mungu atawalipeni inshaallah
Amin sote
Kazi mzuri ndugu zetu mungu awabriki na wape nguvu na afya mzidi kusambaza dini yetu ya Amani
Amin sote
Masha alah sheikh yetu ubarikiwe
Amin sote
Allha awabari hata cc tunafaidika saana
Dah alhamdulillah, yani hapa nimejifunza...
MashaAllah.uislam.unakufanyamtu.kutembeaKifuaMbele.kujiamin..hakunashaka
Allah akuifdhi wewe na said
Amin sote
Mashaallah jazzakallah ustadh yusuf very beutifull, Loudly and clear message, Alhamdulillah .
Amin sote
Mashaallah masheikh wetu Allah Awape heri
Amin sote
Mashaallah ALLAH BARIIK always
Amin sote
Mashallah ustadh Allah akupe maisha marefu upate kufikisha ujumbe wa mungu
Amin sote
Wakristo huamini sana Yesu kuliko Mungu Mwenyewe hapo ndipo hukosea, Maana hio miujiza yote ni kwa ajili ya Mungu Mwenyewe...Allah awalainishie moyo wakuelewa, Maana mpaka miujiza ya mtume walikataa
AaminaYaarabi
Allah awalipe Kheiri nyingi sana bila hesabu
Amin sote
Mashaallaah shukran jazakum llaah kheir dawa mpaka kima
Amin sote
Manshaallah mung atawalipa mnafanya kazi nzito nawafuatiliy nikiwa🇧🇮
Amin sote
Mmmh, ALLAH awalinde na awape subra kupitisha Da'awa maana naona ibilisi ametawala😳😳😳🇰🇪
Amin sote
Allah wajaliee khr inshallah
Amin sote
Mashallah mashekhe wetu Allah wape khr nafy njema
Masha Allah Allah ibarik
Amin sote
Huyo Dada alietoa andiko la neno la hapo mwanzo kulikuwako neno mpe 17:3 yohana linasema na uzima wamilele ndiyo uhuu wakujue wewe mungu wapekee na Yesu uliemtuma
Kwakweli nikazi Allah awalipekherii
Amin sote
Allah akbaru yusufu + saidi + mhamadi nawapenda kwaajiri ya Allah * Allah awalipe kilalakher
Amin sote
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp naitwa hamidu haruna kutoka Tanzania sheikh yusufu nakupenda kwa ajiri ya Allah
Mashallah. Pia mimi nilihama kwa sababu ukristo aijisimamishi
Allah azidi kukuongoza lov
@@masterantojbeatz7884 ,wewe endelea kukaa uko maana hauko kwenye hii miadhara kujifunza bali uko kwa shabiki, ukitaka kujifunza bali utaelewa maana ukiristo haujisimamii wala kujitetea, na ikiwa ukiristo ni dini nataka uniambie hau ujibu swali hili 👉👉👉👉UKIRISTO UMETOKANA NA JINA LA KIRISTO, JE, WALIOKUWEPO KABLA YA YESU KRISTO KUZALIWA WALIJIITA WAKINA NANI? hiyo bibilia yenu pia inasema hivi👉👉BAADA YA MWAKA MZIMA KUKUSANYIKA WANAFUNZI WALIITWA WAKIRISTO KWANZA HAPO ANTOKYA, NA HILO NI JINA LAKUPANGA TU WALILOLITUMIA WAPAGANI 👈👈👈👈sasa tuambie hapo vipi, tena hiyo ni baada ya miaka mingi yesu kuondoka duniani, alafu neno KANISA maana yake ni MKUTANO, na bibilia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu,vitabu vya MUNGU ni vitabu vinne tu na bibilia haipo lakini Paulo alitaka kupoteza watu na alipiga mafundisho yote ya yesu
MashAllah dadangu Allah azidi kukupa afya njema, wachana na sarakasi mara yesu mungu, mara yesu ni nabii,mara yesu ni mwana wa mungu, mara yesu ni mkate, yesu kwenye msikiti wao kanisani, wamejitungia mambo ya ajabu na ndio yesu alisema 👉watu hao UNIHESHIMU KWA MIDOMO LAKINI MATENDO YAO YAKO MBALI NA MIMI 👈👈wanawageza manabii wa MUNGU kuwa miungu na kuwafanya wana wa MUNGU ambapo hiyo ni kufru kubwa, yesu alisema watu wangu wamekua kondoo na wachungaji wao wamewapoteza, pia yesu alisema 👉👉👉SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA IZRAEL, 👈👈👈yesu alipoulizwa na wanafunzi wake ni hipi sheria yakwanza?yesu akajibu hivi👉👉YAKWANZA NDIO HII,WAKUJUE WEWE MUNGU WAPEKEE WAKWELI NA YESU KRISTO ULIEMTUMA 👈yesu alipo ondoka duniani Paulo aliingia kwenye masnagogi akawauwa watu na baada ya hapo akawashartisha kukufuru, akawaambia waseme yesu ni mwana wa MUNGU na hata ikafika atua kuwaambia waseme yesu ni mungu, na ndio huyo aliekuuliza pia imani yake anasema yesu ni mungu!!!!Na yesu yuko na ukoo, sijui ADAM aliekuwepo katika hii dunia bila baba wala mama atamuitaje
hukuelewa.
@@fatumamwalimu5765 👏👏👏👏👏🏽❤👍
Allah azidi kuwapa subra.
Amin sote
Masheh mnakazi sana.
Maashallah,but huyu mama mwisho tumuombeeni coz yeye ndie mpinga kristo kwa sababu ana pinga maandiko
Allah Akbar
Eeeh Allah wasaidie wa2 hawa jmn ili waokoke hapa dunian na kesho akhera
Amin
Jazakumu Llaahu khairan
Amin sote
Subhanallah
Mitume na manabii wote wa mungu wameabud kwa kusujudu nope andiko kwa nini hauswali kwa kusujudu kama mitume na manabii wote wa mungu acha umbumbu kasome vitabu Ili ujue sio unafata mkumbo wa kupelekwa pelekwa kama lingombe acha ujinga kasome mwenyewe na wewe ujue
Yani siku ya kiama watu watajuta Sana AllahuAkbar
SubhanaAllah
Masha Allah
Nimefuatilia sana hii channel yenu na nawashukuru sana waalimu.
Tangu nislimu napata raha sana kwa uislamu
Alhamudulillah
MAA SHA ALLAH
Hawa mapastor wanakubali haki akislimu kanisa yote insha Allah
MashaAllah
Patakiwa hikima kubwa sana
Hho is african mother where she came from where is the familly root who is the Sfrican fother en in which decade they live by which porpperse.
Hawasom kazi kuwadanganya kuimba
Mashaalh,
🤠🤠🤠🤠🤠..shetani yupo kaziniiiiiii🤠🤠🤠🤠.......naye anataka kuwabeba watu wa kutosha kwenda nao jehanam🤠
Muhimu unafatilia Basi majuto yake utayaona karibuni.. Maana hautakua na ya kujitetea kwa sababu ujumbe umekufikiaa vzr saana
Mashaallah Allah
Mana kasema mmungu neno kaumba dunia na neno pia kaumba yesu na vingine sio akisema neno ndio yy mungu neno awe yy neno no kama binadam anavyo amrisha kwa maneno mfano chukua ni amri na mungu anamrisha kitu kifanyike ni yy anamrisha sio yy neno kama kumbumba yesu bila baba ni miujiza kwa mmungu kuamrisha
Huyo Dada ameelewa vizuri sana but nishetani huyo ndugu zangu muwe Na subra ndugu zangu nasiku wakagusa mtu ndio watajua vizuri kama SS Na watu waamani natukibadilika niwatu wabaya hawana lolote hao ni wafuasi wa shetani kazi yao nikupoteza wenzano ALLAH BARIIK always
MASHALLAH
YESU NI MUNGU NA tena. Ndio mwanzo na mwisho
Yohana 3:16,na MWANA ni Nani kama yesu diye MUNGU na diye mwanzo na mwisho(mathayo 27:45 anaye Lia musalabani ninani?)
Acha umbumbu mungu mungu gan anaekunya mavi kama wewe kuwa na akili
Astaghafiliru.llah
ukiwa muislamu kuwa hivyo ukiwa mkristo kuwa hivyo basi inatosha tusizalauliane
Mathayo 7:13
Wakristo wanatiya hasira
Nimempenda huyo mama wa githurai huyo nywele za red. Shda wengne wavivu hawataki kujisumbua kusoma.ukisoma huwa raha sana huwa rahisi kuelewa
May Allah guide this people
Amin
Allah awajalie umri mrefu masheikh wetu na awafanyie wepesi 🙏🙏🙏 let's all Subscribe plz to get more update
Amin sote
Yesu atakuja syria
lazima mkristo avae msalaba????
Mashallah
Sheikh Yussuf kama huyo dada alosema kuhusu neno mpe mfano wa gari; mwanzo kulikuwa na gari, gari ikapelekwa kwa fundi nalo gari ni fundi. Je gari ni ???
Watu Kama wanatakiwa wasomeshe
yusufu si msomar ni msomali
ukisema msomar niile Nail
Ile msumali means nail. Msomali mtu kutoka somalia
Mh kazi ngumu sana ila kazeni masheh zangu mana hawa watu wanahitaji elimu ya kutosha kabisa mana hawataki hata kusikiliza maandiko yao wenyewe kwenye biblia
Hawa ndugu zetu wakristo wanafurahisha, eti yesu mungu kwasababu kazaliwa bila ya baba, mi nahisi bora waseme Adam hakuwa na baba wala mama au eve (hawa) na yeye hakuwa na baba na mama mbona hawasemi pia ni waungu
TatizoWamelishwaSumu.toka.wadogo