Kristo .hongereni Sana mnatuinjilisha Sana kwa nyimbo nzuri,Bwana Mungu awabariki katika utume wenu wa uimbaji,sauti yake Mungu yaenea nchi nzima kupitia nyimbo zenu .mbarikiwe Sana
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Kuimba nikusali mara mbili, hakika mmetutafakarisha Vyema Mungu akawabariki Nyote mdumu zaidi katika kumtumikia siku zote .❤❤❤
Hongereni sana sana. Mmeimba vizur mno.
Hongera saana
Waoooo wanakwaya mmenena sawasawsa
Kristo .hongereni Sana mnatuinjilisha Sana kwa nyimbo nzuri,Bwana Mungu awabariki katika utume wenu wa uimbaji,sauti yake Mungu yaenea nchi nzima kupitia nyimbo zenu .mbarikiwe Sana
Nyie watu mnajua kuimba asee,nasema tena hongereni
Mko vizuri mno!Mungu azidi kuwalinda kwenye utume huu
❤kazi nzuuur,ya kutafakarisha
Najivunia sana kusikiliza nyimbo za mungu pia hongereni sana
Wimbo ni mzuri sana uko kwenye merody ya catholic
Tumsifu Yesu Kristo..
Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri sana ambao kwakweli nimebarikiwa sana..
Mungu awabariki
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Kuimba nikusali mara mbili, hakika mmetutafakarisha Vyema Mungu akawabariki Nyote mdumu zaidi katika kumtumikia siku zote .❤❤❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri ,kuimba ni kusali mara mbili , ahsanteni kwa kututafakarisha Vyema.❤❤❤
Safi sana,wimbo mzur, Sauti zimepangwa vzr,nimewamiss sana viwawa wenzangu
Hongereni sana kazi nzuri
Hongereni wana Kristo Mfalme😘
Hongereni sana,nawapata nikiwa Italia
Kwaya ya Kristo Mfalme, parokia ya Kristo Mfalme kibaoni singida
Nice
Mic u by Tina munna