KUNA NGUVU lyrics _Chorus_ Kuna nguvu ndani ya Yesu Lina nguvu jina la Yesu Yasiyowezekana kwa mwanadamu Kwake Yesu yanawezekana Kuna nguvu ndani ya Yesu Lina nguvu jina la Yesu Yasiyowezekana kwa mwanadamu Kwake Yesu yanawezekana Nguvu za kuhamisha milima Zafanya njia pasipo na njia Ni jambo gani hilo gumu Kwako Kwake Yesu yote yawezekana (oh kuna nguvu) Alishinda kifo na mauti Msalabani kasema yote yamekwisha Damu yake pale msalabani Inaweza mambo yote Ndani yake tumekombolewa Ndani yake kweli tumepona Ndani yake tunapata furaha Ndani yake yote yawezekana (Oh kuna nguvu) Mpendwa mtumaini Yesu Imani yako ndani ya Yesu Maana kweli ndani yake Mambo yote yawezekana (Oh kuna nguvu)
KUNA NGUVU lyrics by Ken Kisilu Chorus Kuna nguvu ndani ya Yesu lina nguvu jina la Yesu, Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwake Yesu yanawezekana x2 Stanza 1 Ooh kuna nguvu ndani ya Yesu lina nguvu jina la Yesu, yasiyowezekana kwa mwanadamu kwake Yesu yanawezekana. Nguvu za kuhamisha milima zafanya njia pasipo na njia, Ni jambo gani hilo gumu kwako kwake Yesu yote yawezekana. Chorus Stanza 2 Alishinda kifo na mauti msalabani kasema yote yamekwisha, Damu yake pale msalabani inaweza mambo yote. Ndani yake tumekombolewa ndani yake kweli tumepona, Ndani yake tunapata furaha ndani yake yote yawezekana. Chorus Stanza 3 Mpendwa mtumaini Yesu Imani yako ndani ya Yesu, Maana kweli ndani yake mambo yote yawezekana x2

KUNA NGUVU lyrics
_Chorus_
Kuna nguvu ndani ya Yesu
Lina nguvu jina la Yesu
Yasiyowezekana kwa mwanadamu
Kwake Yesu yanawezekana
Kuna nguvu ndani ya Yesu
Lina nguvu jina la Yesu
Yasiyowezekana kwa mwanadamu
Kwake Yesu yanawezekana
Nguvu za kuhamisha milima
Zafanya njia pasipo na njia
Ni jambo gani hilo gumu Kwako
Kwake Yesu yote yawezekana
(oh kuna nguvu)
Alishinda kifo na mauti
Msalabani kasema yote yamekwisha
Damu yake pale msalabani
Inaweza mambo yote
Ndani yake tumekombolewa
Ndani yake kweli tumepona
Ndani yake tunapata furaha
Ndani yake yote yawezekana
(Oh kuna nguvu)
Mpendwa mtumaini Yesu
Imani yako ndani ya Yesu
Maana kweli ndani yake
Mambo yote yawezekana
(Oh kuna nguvu)
wow. i love the song. its weonderful.
Glory to God 🙌, Asante sana bro
Great work pst KK it keeps getting better and 🔥🔥🔥kila time....more grace
Amina Amina
All glory to God 🙌, Asante sana my sis🙏
HALLELUUUJAH HALLELUUUJAH HALLELUUUJAH there power in name of JESUS
Amen hallelujah 🙌
Asante sana
Oh!yes kuna nguvu ndani ya Yesu
Kweli kabisa,
Asante sana 🙏
Powerful song there🔥🔥🔥
Nothing impossible with our God
Grace upon grace in your ministry through music sir
Amen & Amen
Indeed, all things are possible, thank you and God bless you Vio
Kuna nguvu ndani ya Yesu, Lina nguvu jina la Yesu, yasiyowezekana kwa mwanadamu kwake Yesu yanawezekana
Hallelujah 🙏🙌
Hakika Kuna nguvu ndani ya Yesu🙏 Powerful song.
Glory to God 🙌, Amina
Nashukuru sana
2 years down the line and am back obsessed with this hit. What a powerful piece!🙏🙏
Amen amen, we give God all the glory 🙌
Asante Liz
Powerful, Yes I believe Kuna nguvu ndani ya Yesu... More blessings bro Ken🙏
Amen amen
Glory to God 🙌
Asante sana bro
Nice song God bless you my brother 🙏🙏
Great music. There's power
Amen and all glory to God 🙌, Asante bro
We thank God for this powerful piece! There is power in the name of Jesus 🔥
Ameen, am much humbled and all glory to God 🙌, Asante sana sis
Sure. The name of Jesus is powerful and mighty. Hallelujah
Hallelujah Amen
Much humbled, Asante sana sis
Pst ken Asifiwe yesu wimbo yko Iko poah
God bless you man God
Utukufu kwa Mungu, asante sana na Mungu akubariki
Nimerudi hapa tena nibarikiwe. One of my favorite song Pastor Ken.
So humbled bro, asante sana 🙏
Hallelujah.Powerful song mtumishi.Indeed there is power in the name of Jesus.Thank you for this🥳.
Amen, glory to God 🙌, much humbled and asante sana Mtumishi dadangu
@@KenKisiluOfficial Amen Amen mtumishi.Karibu sana
Tuko hapa my pastor..huduma yako ni ya baraka . A song with a revelation and a declaration .Big up
Aminaaa, much humbled my brother 🙏🙌, Asante sana and God bless you
So powerful! More grace more power more annointing🙏🙏
Amen amen, all glory to God 🙌,
Asante sana Joyce🙏
Amen powerful song yote yawezn kwako yesu
Amen, all glory to God 🙌🙏
Powerful song indeed kuna nguvu ndani ya Yesu
Amen, utukufu kwa Mungu 🙌, asante sana Mirrie🙏
Indeed, there is power in the name of Jesus. Powerful song.
Ameeen, glory to God 🙌
Thanks alot hun🥰
Lovely song... very biblical
Amen, glory to God 🙌
🔥🔥🔥power in the name of Jesus💪
Hallelujah
Power that moves mountains and make a way where there seems to be no way!
Asante bro🙏
Powerful...more Grace man of God 🙏
Amen, am much humbled 🙏,
Thanks alot
Indeed there is power.More grace passy
Amen, power that moves mountains 🙌, much humbled and thanks mwiituasa 🙏
Hakika Kuna nguvu katika yesu
Halleluyia, sure
Asante sana🙏
Halleluyia, sure
Asante sana🙏
Amen to the blood that speaks for my destiny.
Amen, there is power in the blood of Jesus 🙌, glory to God and thank you 🙏
Kudos pastor.carry on with the ministry.
@@elijahmuindi1612 Amen, thank you sir🙏
Wow powerful blessed 🙏🙏🙏
Amen, glory to God 🙏🙌
True 👍 first time to here this song
Asante sana, Much humbled 🙏
Your songs touches me .......nice song brother
Amen, glory to God 🙌
Asante sana
Amen 🙏 pastor ken be blessed
Amen, Asante sana Lona🙏
Amen 🙏
This song for really has blessed my life
Wow, am greatly humbled. Asante sana🙏
The vocals🔥🔥, composition 👌
Glory to God 🙌, Asante sana Cecilia 🙏
Amen. Where do you fellowship?
@@ceciliajackson2045 Deliverance church Ruaka, along Limuru road
How do I get there? I'm in Githurai 44
@@ceciliajackson2045 you can use the bypass from gith 44
Keep it up.
Am humbled, Asante sana sir
Wooow amazing grace
Indeed! Amen
Glory to God 🙌, Asante Mtumishi
Beautiful
Amen amen, asante 🙏
Amen Amen
Amen amen🙏🙌
Powerful
Oh hallelujah, glory to God 🙌
Nice Composition
Wow, much humbled, thanks alot sis🙏
Amen
Amen 🙏
🔥 🔥 😇🙌
Asante, God bless you
Kindly post text lyrics for church projection. Thanks
KUNA NGUVU lyrics by Ken Kisilu
Chorus
Kuna nguvu ndani ya Yesu lina nguvu jina la Yesu,
Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwake Yesu yanawezekana x2
Stanza 1
Ooh kuna nguvu ndani ya Yesu lina nguvu jina la Yesu, yasiyowezekana kwa mwanadamu kwake Yesu yanawezekana.
Nguvu za kuhamisha milima zafanya njia pasipo na njia,
Ni jambo gani hilo gumu kwako kwake Yesu yote yawezekana.
Chorus
Stanza 2
Alishinda kifo na mauti msalabani kasema yote yamekwisha,
Damu yake pale msalabani inaweza mambo yote.
Ndani yake tumekombolewa ndani yake kweli tumepona,
Ndani yake tunapata furaha ndani yake yote yawezekana.
Chorus
Stanza 3
Mpendwa mtumaini Yesu Imani yako ndani ya Yesu,
Maana kweli ndani yake mambo yote yawezekana x2
Hi. Blessed and beautiful song.
Do you have text lyrics for it...for church worship service projection???