#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025
- The Chanzo inakuletea mdahalo maalum wa wagombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya BAVICHA. Hii ni fursa ya kipekee kwa wagombea kujinadi, kueleza dira zao, na kujibu maswali muhimu yanayohusu mustakabali wa vijana katika siasa ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Usikose kuungana nasi katika mjadala huu wa wazi na wa kidemokrasia! Karibu sana.
#BAVICHA #Uchaguzi2025 #TheChanzoUnaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.