TCRA: Usipojisajili kwa kutumia VPN baada ya Oktoba 30, jela mwaka mmoja!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 158

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 ปีที่แล้ว +3

    Hawa viongozi Kuna vitu wanavitafuta naona Amani hawaitaki wanapenda Shari kabisa Sim zetu bando tunanunua kwa pesa zetu bado tunapangiwa mashariti nchi aitaki Amani

  • @starjay3052
    @starjay3052 ปีที่แล้ว +3

    tanzania 🇹🇿 sio nchi ya kuishi ila basi tu ndio mana young dee iliimba bongo bati mbaya

  • @chizcom4229
    @chizcom4229 ปีที่แล้ว +3

    China na technology yote ila VPN inafanya kazi.ccm mnawakati mgumu Sana

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 ปีที่แล้ว +2

    Mbona jera tutaenda wengi mammae

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental ปีที่แล้ว +4

    Kwel sim ninunue jaman na inipeleke jera

  • @alleninnocent2138
    @alleninnocent2138 ปีที่แล้ว +5

    Si kwamba hawajui kitu wanafanya,.. ukweli nikwamba nchi uwa zina tabia ya kudukuwa data za watu ili kujuwa wanaongea nini wanaongeleaje viongozi n wana mipango gani juu ya serikari so wanashindwa kudukuwa vizuri cz watu wanatumia VPN

  • @hassaniissa9444
    @hassaniissa9444 ปีที่แล้ว +14

    Ngoja nitumie mpaka tarehe 29 alafu nijifikilie kwenda jela tanzania OYEE

  • @lazaroclavery2353
    @lazaroclavery2353 ปีที่แล้ว

    Mtatufunga wengi sana😢😢😢😢!

  • @AllyNganganilla-bz2kk
    @AllyNganganilla-bz2kk ปีที่แล้ว +1

    Ningekuwa na uwezo wa kutamka neno "kufa"na mtu akafa kweli,bac tanganyika tungekuwa na uongozi wa muhula wa saba.

  • @mamy8220
    @mamy8220 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢 Diamond anawumwa hauongee anaomba msadaa kwa maombi lakini sioni tarifa 😢😢

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 ปีที่แล้ว +3

    Tuzingatie yanayosemwa na TCRA wao wanazingatia yakwetu. Ikiwezekana tutawadukua nawao mbona hizi selikali zabongo hovyo sana

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 ปีที่แล้ว +4

    Kl siku wananchi wanalia ma matapeli kw kutumia msg pamoja na kupigiwa simu hata ukienda kureport polis ni bure hawan njia ya kumpata mtu na ni vitu vya kufuatilia tu namb imeingea kutok sehem gan lkn wanashindw kujua cha kushangaza wanatutangazia kufungwa jela kisa kutumia VPN ina maan watatumia ujuzi kujua mtu km amewash VPN lkn kumfatilia tapeli hapna😢

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว +28

    Tutatumia vpn usiku wa manane Tafteni kazi za kufanya basi mbona mnatuonea mara nguo tusivae mara vpn daaah magufuri wetu Mungu akulaze mahara pema peponi towara maraika

    • @bholili255
      @bholili255 ปีที่แล้ว +2

      ​@GAMER36Rkwamba wewe ndo unaulewa sana jeeh jifunze ukimya itakusaidia

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 ปีที่แล้ว

      ​@GAMER36Rwewe pia ujielewi vpn sio ya machafu pekeyake. Kuna Whatsapp call imo na nyenginezo. Uwezi kuzungumza ukiwa na mtu inje ya inchi bila ya Vpn. Kwahiyo kabla uja mkosowa mwenzio unaitaji ufikirie kwanza.

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 ปีที่แล้ว

      ​@@bholili255ana anachoelewa fikra zake ni vpn kuangalia uchafu. VPN inaumuhim kwa mambo mengi ya maana. Haswa kwa calls za mitandao kama whatsapp imo na nyengineo. Wachana nae ajielewi.

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 ปีที่แล้ว

      Amini 🙏🏼😢

    • @BlessKikoti
      @BlessKikoti ปีที่แล้ว +3

      ​@GAMER36Rshida yako wewe unajua kutumia kwa uchafu tu

  • @makaroyakisasa7199
    @makaroyakisasa7199 ปีที่แล้ว +20

    Watajuaje kama natumia VPN wakati nikiiwasha location yangu haisomi bongo kifupi kwenye radar za bongo sisomeki 😂😂😂. Afu pia Ip Address yangu haipaswi kuingiliwa na mtu yoyote hii ni haki ya faragha, kama hamjui ni kwamba hao TCRA hawana ujanja wa kutambua mlipo mkiwa mmewasha VPN mpaka wawe na hiyo Ip Address 😂😂😂 sasa nyie jichanganyeni.

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 ปีที่แล้ว +2

      😂😂 nimekuelewa na sio rahisi kumtambuwa mtu au kujuwa kama anatumia au laaa. Sasa basi wenye simu lazma wawe makini coz najuwa watakapo mshika mtu kitu cha kwanza wataangalia simu kama ipo vpn... huku inje tuliko wameshindwa kumtabua mtu ila unapo simamishwa kitu cha kwanza Id na Simu. Sasa hapo....waiyone VPN😂😂😂😂

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว +3

      Uchaguzi huu niwamoto kwakweli tusali Sana Samia atatuuza

  • @shafiiwajad457
    @shafiiwajad457 ปีที่แล้ว +5

    Wizi wa mtandao tu mpaka leo wameshindwa kuuzuia wataweza VPN, mtu akiwasha VPN inasoma US huko au UK, wanataka tusubmit public IP zetu ili iwe rahisi kutrace tunafanya nn 😂😂😂
    Mshazuia na kufunga vitu kwenye internet acheni watu watumie VPN kwa uhuru kwanza ujua public ip ya mtanzania ya nn? Ni kinyume na sheria kuspy watanzania, ww kazi yako ni kufungia, sasa fungia watu wakitafuta namna nyingine ya kupata vilivyofungiwa fungia pia hiyo namna nyingine sio kuspy watu bhana

  • @PeterMkwambo
    @PeterMkwambo ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji upatikanaji wa habari bila kikwazo cha serikali.

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 ปีที่แล้ว +1

    wasitutishe tunatumia kam kawaida

  • @tipiem_tz
    @tipiem_tz ปีที่แล้ว +1

    mimi leo nimetumiwa meseji ya "ile hela tuma kwenye namba hii"

  • @salumsalum5712
    @salumsalum5712 ปีที่แล้ว +1

    Wengine tutaziwasha usiku wamanane

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว +1

    Hayo Magereza yatajaa na hayatatosha.Maana wafungwa watakuwa wengi sana.

  • @allymsangi
    @allymsangi ปีที่แล้ว +1

    Hawa TCRA wamekosa kazi sio 😂😂😂

  • @arriyamistamp4945
    @arriyamistamp4945 ปีที่แล้ว +1

    Watatutufunga wengi sana

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr ปีที่แล้ว +7

    Hao nao wasituchoshe,wangetumia nguvu hiyo kwenye usajili wa line kwanza watu wanasajili laini hata kumi kwa kitambulisho kimoja🤗 na wapo wameka palee kama zombi la kale walilolifufua wanasayansi 😅😅

  • @PeterMkwambo
    @PeterMkwambo ปีที่แล้ว

    Serikali isiyozuia uhuru wa mtandao haitufai.

  • @charlesstephen9668
    @charlesstephen9668 ปีที่แล้ว +2

    Yote hii ili tusitumie Mange kimambi app,uchafu wenu tutaujua tu hata mkabe hizo VPN

  • @PeterMkwambo
    @PeterMkwambo ปีที่แล้ว +1

    Hakuna sababu ya kuzuia teknolojia inayotusaidia kuwa salama mtandaoni.

  • @kimweliRobert
    @kimweliRobert ปีที่แล้ว

    Hii inakwenda kinyume na mwelekeo wa kidigitali na kufungua milango ya udukuzi.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +5

    VPN Ina umhimu gani Kwa mtanzania wameshindwa kusimamia mambo mhimu wanafatilia vitu vya ajabu

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 ปีที่แล้ว +1

    Upuuuzi huu

  • @Daladalamedia
    @Daladalamedia ปีที่แล้ว +5

    Wanakusanya DATA, wajue mnatumia VPN gani sana sana then waziblock kabisa na hizo VPN

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😅😅😅Ila tz bana 🤣🤣🤣🤣🤣tunawapenda bure, usiku mwema🤣🤣🤣🤣🤣

  • @PeterMkwambo
    @PeterMkwambo ปีที่แล้ว +1

    VPN inatusaidia kuepuka udukuzi usiohitajika na kutunza faragha yetu.

  • @hamzaawadhi7917
    @hamzaawadhi7917 ปีที่แล้ว

    Hawa TCRA wamekosa kazi yakufanya...tumechoka

  • @Chelseaboy_1905
    @Chelseaboy_1905 ปีที่แล้ว

    Wanangu wa pilau mnalalamika sana 😂😂😂

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 ปีที่แล้ว

    Naona hii bendela🇹🇿 wanataka iongezeke rangi zilizopo azipendezi

  • @lazaromshamu3521
    @lazaromshamu3521 ปีที่แล้ว

    Hizo jela mnazo lakini za kuwafunga watu wote hao😂😂😂

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 ปีที่แล้ว +3

    Internet ya Bure ime endaaaa hvyoooo😢

  • @IYEGU-p3n
    @IYEGU-p3n ปีที่แล้ว +2

    Wambieni tanesco UMEME huku unasumbus

  • @hallymahmohamed3516
    @hallymahmohamed3516 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 mange app 😂😂😂😂

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 ปีที่แล้ว +5

    Kwa maana hiyo unaweza tumia vpn kwa matumizi hali tu wengi utumia vpn kwa kupata internet tu

  • @bensonwissa5777
    @bensonwissa5777 ปีที่แล้ว +2

    Tumia VPN ndiomaana zimewekwa kwenye simu kubwa nchi zilizoendelea hutumia VPN au wife bure

  • @owend7077
    @owend7077 ปีที่แล้ว

    Twendeni

  • @kemmypius2035
    @kemmypius2035 ปีที่แล้ว

    Watu wa mange kimambi 😅😅😅

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 ปีที่แล้ว

    Bongo yangu hyo vitambulisho tuma hela kwenye namba hii ,tutawadhibiti bdo linaendelea mpaka leo ,sasa lipi litafanyika likakamilika ?kesho linaibuka lingine ,kesho tena linaibuka lingine kwanini tusifanye mambo tukajua tumefikia wapi kuliko kufanya kama tunavyofanya kisa tu kuna sheria zinawalinda akina fulani au kuna vifungu wanavijua akina fulani ,tuijenge inchi katika mfumo mzuri tutafika na itatusaidia kufikia malengo tuliyokusudia kwa vizaz vyote vilivyopo na vinavyokuja

  • @mjumbewakristo8677
    @mjumbewakristo8677 ปีที่แล้ว +2

    Hovyo

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 ปีที่แล้ว +1

    Khaa wengi wataenda jela.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu ปีที่แล้ว

    washamba tu waende shule kwanza wajue hata namna ya ku locate mtu alipo

  • @kimweliRobert
    @kimweliRobert ปีที่แล้ว

    Hatupaswi kuwa na vizuizi kwenye teknolojia inayosaidia mawasiliano na upatikanaji wa habari.

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq ปีที่แล้ว

    Nchii hii ni ya hovyoo sana looh !

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Mm natumia VPN sababu ya internet hii ya serikali sijailew mm

  • @blacknesaya744
    @blacknesaya744 ปีที่แล้ว

    Watanionea wapi mda huo Niko geto nacheza zangu pull

  • @maxiellmillians9pl278
    @maxiellmillians9pl278 ปีที่แล้ว +1

    Wanachekesha kbs yaan

  • @cattovan_tz228
    @cattovan_tz228 ปีที่แล้ว +5

    WANAKUWA KAMA SIO WASOMI BHANA, WAMEPANDISHA BANDO ALAFU WANATEGEMEA NINI SASA😁

    • @trejotech3974
      @trejotech3974 ปีที่แล้ว

      washushe bando

    • @alleninnocent2138
      @alleninnocent2138 ปีที่แล้ว

      Si kwamba hawajui kutu wanafanya,.. ukweli nikwamba nchi uwa zina tabia ya kudukuwa data za watu ili kujuwa wanaongea nini wanaongeleaje viongozi n wana mipango gani juu ya serikari so wanashindwa kudukuwa vizuri cz watu wanatumia VPN

  • @gerald5063
    @gerald5063 ปีที่แล้ว +2

    How about cracked VPN? @sky

  • @midundotechtz6843
    @midundotechtz6843 ปีที่แล้ว +1

    Hapa zimekiukwa haki za binadam

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว +3

    Ata sijaelewa 😂😂😂

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +4

    Hiyo wanafanya kwasababu ya CLOUB HOUSE 😂 Maana kule SAUTI YA WANANCHI imekuwa tishio 😂

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

      Kaka uchaguzi kaka Samia ameanza kukonda naskia

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      @@alexmalyango1405 🤭🤭🤭🤭 sijataja jina mimi nimesema clobhouse tu 🤭🤭🤭 Shauliyako mimi simo

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 ปีที่แล้ว

    Mangekimambi anamalizwa kisiasa Tanzania😅

  • @kimweliRobert
    @kimweliRobert ปีที่แล้ว

    Serikali inapaswa kuzingatia uhuru wa mtandao kama kichocheo cha maendeleo.

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 ปีที่แล้ว

    Hapa kila kitu ni cha mzungu wanaogomba ni TCRA

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +2

    Yamekuwa hayo jama.

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 ปีที่แล้ว +1

    hehee duhh hapa wanataka ku monitor wale wa Mange na wale wapingaji ..!! China yenyewe kwa u dictator wake hawazuuu VPN.. Na ndio maana Virtual ..!

  • @PeterMkwambo
    @PeterMkwambo ปีที่แล้ว

    Kupata huduma za mtandao bila kizuizi ni haki yetu ya msingi.

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt ปีที่แล้ว +3

    Najuta kuwa mtanzania,
    Bora ningezaliwa huko GAZA.

    • @dvjmiloow
      @dvjmiloow ปีที่แล้ว

      Acha upuuzi

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 ปีที่แล้ว

      Siuhame...au nyie ndio wale wa kuandamana mitandaoni🙄🙄🙄

    • @HassanHassan-si2rt
      @HassanHassan-si2rt ปีที่แล้ว +2

      @@magretangel5242
      Mm siandamani
      Mimi nasonga FRONT,
      hapa penyewe najiandaa niruke Palestine nikampige myahudi.

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 ปีที่แล้ว

      ​@@HassanHassan-si2rt😅😅😅😅😅

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂Yaan

  • @Qadablah
    @Qadablah 3 หลายเดือนก่อน

    Çhristianit church movement

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    Ila tcra tafuten kazi ya kufanya

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 ปีที่แล้ว

    VPN zenyewe tunatumiaga pisi zikila nauli🤣 ko wameona tunafaidi

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 wanawazimu

  • @حليمهح-ب4غ
    @حليمهح-ب4غ ปีที่แล้ว +1

    Hawana hakiri kwel

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 ปีที่แล้ว +2

    Kichefuchefu

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 ปีที่แล้ว

    Shamba la bibi kula usimbakishie baba 😅😅😅😅

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watu hawana kazi za kufanya shenzi nchi ime kuwa ya ovyo sana

  • @hamzaulanda4563
    @hamzaulanda4563 ปีที่แล้ว

    ha kwani ni mtandao wenu tanzania mukisha kuona uchaguzi ndo mnno yenu mnakuwa watu mkitaka kura tu muogopeni mungu nyinyi hakuna ane himili adhab ya Allah

  • @kimweliRobert
    @kimweliRobert ปีที่แล้ว

    Kuzuia VPN inakandamiza uhuru wa kujieleza na kushirikishana habari.

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 ปีที่แล้ว +1

    Wameona vita vyingi DUNIANI mavi yamebana

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

    Huu uchaguzi niwamoto naskia samia anapungua kg kila kukicha yupo manyara msisahau kaingia kanisani muislam tena mkuu wa waislam patam apo nitaanza kutumia VPN kumbe inakua vigumu kudukua hahahaha hapa nimwendo wa shaaaa vpn

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 ปีที่แล้ว

    Kilicho baki watawafungia mpaka kwenda chooni, ndio mtajua amjui... Cheza na Tz wewe

  • @kimweliRobert
    @kimweliRobert ปีที่แล้ว

    Kuzuia VPN ni kuingilia faragha yetu kwa njia isiyofaa.

  • @nobledangote7854
    @nobledangote7854 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi ngumu hiii 😆😆😆😆😆

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 ปีที่แล้ว

      Siuhame...au nyie ndio wale wa kuandamana mitandaoni🙄🙄🙄

  • @SaidAbdallah-f8h
    @SaidAbdallah-f8h ปีที่แล้ว +1

    Kunahitajika tupate elimu juu ya vpn kiundani zaidi kwa sababu walio wengi hatujui vpn ni nn na inafanya kazi gani

  • @musaakida9951
    @musaakida9951 ปีที่แล้ว

    Tutafugwa wengi😂😂😂

  • @Blue-1423
    @Blue-1423 ปีที่แล้ว

    hivi hawa watu wanajua maana ya VPN

  • @STAVOO_WIZZIE
    @STAVOO_WIZZIE ปีที่แล้ว

    Wawaambie Google waziblock area hii, kusema kwamba unafungwa huko Ni kuonea t nyie Kama hamtaki zifumike u just talk to Google waziblock 😂😂😂😂😂NAY ALISEMA BONGO AKILI NDOGO INAONGOZA AKILI KUBWA,,,,,AND NOW I COME TO REALIZE THE STATEMENT

  • @kennywizy1009
    @kennywizy1009 ปีที่แล้ว

    Kwann niwape IP address yangu mnataka ya nii

  • @Ab113tech
    @Ab113tech ปีที่แล้ว

    Wa Block Onion kama Wanaweza Nimekaa pale !

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว

    Wenzenu tunatumia vpn bila tatzo

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 ปีที่แล้ว

    pumbav punguzen bei mchel unga saruji kod uko app yenu hiy au

  • @khadijaali5363
    @khadijaali5363 ปีที่แล้ว

    Bora niende jela nikale sembe lao maana huku mtaani kugumu,alau watanipunguzia bajet ya mwaka,tumechoshwa watuloe vipesa vyetu halafu watunyanyase

  • @XylaxTz
    @XylaxTz 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    ✌️👍👊

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental ปีที่แล้ว +2

    Jamana vpn iwe bure watatupata

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc ปีที่แล้ว

    Msiogope tcra haina technology ya kufunga VPN za watu. Hawajui lolote wanajua kubekwa tu

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 ปีที่แล้ว

    Eti uwape ip address yako😂😂😂 kila mtu ana haki ya faragha

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +1

    UsipoJISALI?? Ndio nini 😂

  • @amirrehsnbajih2773
    @amirrehsnbajih2773 ปีที่แล้ว +1

    kama imei tu ilikua noma vpn 😂😂😂

  • @ddaddytz
    @ddaddytz ปีที่แล้ว +1

    Wengine tutaanza kutumia usiku. Mpka usiku. Usiku wa manane

  • @allthings1302
    @allthings1302 ปีที่แล้ว +3

    Watajuaje? Watakagua simu ya kila mtu?

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 ปีที่แล้ว

      @allthings1302 we tumia tu halafu utajua watajuaje😂

    • @HamicRashid
      @HamicRashid ปีที่แล้ว +2

      Huwa natamani siku atomic likitumwa huko ukraine libadili muelekeo lije tz, lichakaze tudanji wote huenda mbeleni kikazaliwa kizazi chenye akili

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว

      ​@@HamicRashidhujui unachoongea wewe ilo bomu lije lipige familiar yako tu wote wafe

  • @KendrickKhalfan
    @KendrickKhalfan ปีที่แล้ว

    Vtu gan ambavyo n tofaut nakati burna boy n chuga boy huez rogwa ukitumia maelekezo watu wale ganzi ganja shada kwa mstar maan rais asha tuvuruga

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 ปีที่แล้ว +1

    Shida yote hiyo nikuwashindwa mange na kigogo ,ebu tushushieni bei mafuta ,,maisha magumu vpn ndo nn

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 ปีที่แล้ว

      Mafuta ya gari Gani 😂😂😂Hilo la mkeo alilohongwa na mwanaume mwenzako

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 ปีที่แล้ว

      ​@@magretangel5242shushu la TCRA huna ata aibu waache watu watoe maoni Yao bhana na sio kuwatukana hii ni nchi huru

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 ปีที่แล้ว

      @@magretangel5242 sio yagari jamaa😂😂😂mafuta yamboga

  • @bedaboih5689
    @bedaboih5689 ปีที่แล้ว

    Tcra wanagongwa