Mashallaa allahumma ighfir lahu warhamhu wasakanahu fil jannah allahumma aamiin, hivi ndivo waislam wanapo iaga dunia wanatakiwa wawe wanakumbukwa kama hivi huu ni mfano mkubwa kutoka kwa sheikh wetu al maruhum Nassor Bachu kwani yeye leo tunamkumbuka kwa kuangalia au kuskiliza mawaidha yake nasi ndugu zangu wa ki islam tujitahidini na kujijengea mwisho mwema na kumbukumbu njema aaamin.Mungu mlaze mahala pema sheikh wetu pamoja na waisslamu wote aamin.
ustadh Bachu Allah Ampee Pepo uliyo ya Juu Zaidi Mawadha haya 1999 nilikua na Miaka Saba tu SubhanaAllah.. Alfu Kuanzia Aya ya 1-4 nimetafuta sijaona tafadhali nisaidieni kwa hilo
NASSOR BACHU NI MWANAZUONI ALIYEKAMILIKA NA KWAKWELI TAUHEED IMEJAA KUFUANI MWAKE, INSHAALLAH ALLAH AMJAALIE KILA LA KHERI
Mashaalwaah allwaah akuhidhi mahala pema aaamiin
Mashallaa allahumma ighfir lahu warhamhu wasakanahu fil jannah allahumma aamiin,
hivi ndivo waislam wanapo iaga dunia wanatakiwa wawe wanakumbukwa kama hivi huu ni mfano mkubwa kutoka kwa sheikh wetu al maruhum Nassor Bachu kwani yeye leo tunamkumbuka kwa kuangalia au kuskiliza mawaidha yake nasi ndugu zangu wa ki islam tujitahidini na kujijengea mwisho mwema na kumbukumbu njema aaamin.Mungu mlaze mahala pema sheikh wetu pamoja na waisslamu wote aamin.
muu abdul ameen ameen ameen
Aamin yaa Rabby
allah amrehem sheykh nasoro bachu mwaka 1999 nilikuwa sjazalw lakini alhamdulilah nimeipata darsa yako
ustadh Bachu Allah Ampee Pepo uliyo ya Juu Zaidi Mawadha haya 1999 nilikua na Miaka Saba tu SubhanaAllah..
Alfu Kuanzia Aya ya 1-4 nimetafuta sijaona tafadhali nisaidieni kwa hilo
Allahumma ghfirlahuu warhamhu wasqanahuu fil-janaa
ALLAH grant this humble, modest sheikh janathul firdous..
Nikweli kabisa. Sasa ivi tunamuomba Mwenyezi Mungu amupe jannatul firdaws. INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'OON.
Allah amrehem sheikh wetu,
allah amraham shekh wetu na atujaliye tufate maneno yaka anayo sema amin
ameen ameen ameen
Allah amrehemu sheikh nassor
Allah amrehem
Allah amrehemu
Allah amrehemu sheikh ampe kauli thabit
Ameen allah huma ameen
Ukweli kabisa Allah amlipe jannatul firdaus
Allahum maghufir'lahum warahmahum wasaka anhum fil jannat amiin amiin yarabal alamiin
Naaam uzuri wa Quran tafsir upate uchambuzi mzuri mifano mingi kichwani ndio zinakaa
Ni raha sana kusikia uchambuzi wa quran namna hii
shekhe Nassor bachu 😭😭😭
4-4