Lesson 19 : DHANA YA ISIMU NA ISIMUJAMII/ISIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Kipindi hiki kimefafanua kwa ufasaha maana ya Isimu na Isimujamii. Kimeeleza na kuweka bayana tofauti kati ya isimu na fasihi, matawi ya isimu yakiwemo isimu sinkronia na daikronia na umuhimu wa isimujamii. Mwanafunzi atafaidika pakubwa kwa kuelewa vipengele na mada tarajiwa katika Isimujamii. Kipindi chenyewe kimeambatanishwa na maswali ya kudurusu ambayo yatamnoa bongo mwanafunzi.

ความคิดเห็น • 16

  • @irineotieno1913
    @irineotieno1913 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job mwalimu. Twasoma kweli

  • @hellenopondo2547
    @hellenopondo2547 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri

  • @millybony1065
    @millybony1065 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru Mwalimu Ogello kwa kazi nzuri. Hakika Mola akubariki

  • @dannelimutv5132
    @dannelimutv5132 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kuntu

  • @fridahachieng557
    @fridahachieng557 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mwalimu Ogello

  • @chessclassicbbvine949
    @chessclassicbbvine949 2 ปีที่แล้ว +2

    First to comment. Shukran Sana mwalimu Ogello, you really e legend. Fomer kiswahili teacher at OLOF, 4L2019

  • @veronicahmatheka2871
    @veronicahmatheka2871 ปีที่แล้ว

    Hongera mwalimu. Kazi safi sana👍

  • @user-pp2ui8cz4q
    @user-pp2ui8cz4q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ninatoka Uganda...asanti Sana kwa mafunzo mema haya....🙏🙏🙏🙏🙏

  • @oliversimiyu9387
    @oliversimiyu9387 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mwalimu wangu hongera. Kweli wewe ni jagina

  • @williamwasema
    @williamwasema ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana Mwalimu Ogello.

  • @Naomy-kb8st
    @Naomy-kb8st 5 หลายเดือนก่อน

    Shukrani mwalimu

  • @MarkJuma-qi9np
    @MarkJuma-qi9np 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MarkJuma-qi9np
    @MarkJuma-qi9np 5 หลายเดือนก่อน

    Installation mwalimu