Glory be to God eti davi amepatikana akiwa uhai wacheni Mungu aitwe Mungu amtumanie Mungu hawezi akamuwacha🙌🙏team davi let gather here n say 1 word to God🙌 he has done it again🙌🙏God protect this team Jay, DCI n our officers for the good work 🙌🙏u r faithful God hakuna lisilo wezekana kwako Mungu wetu🙌🙏
Nani ameskia vile Anita anaongea vibaya eti Dave kuwa kwake daily akimpikia na vile ametusi truek eti kuna siku Dave amelala kwake huyo atashikika mimba ya ngule
Fred we Love you, all you have gone through with True K. It’s God who know. God will give a reward coz our rewards can not like for Gods grace. You are ones of the millions out here with a lot of money n they don’t help. We don’t take you for granted let God above all will give all.Amen, Amen n Amen.
DCI I don't knw how to appreciate you and your team the wisdom u are using may God increase it, unajuwa next ni wewe utatafutwa but mungu atakuzingira kila corner welcome home Senior Dave 🙏
Hio operation ni kali kama Mungu amefikisha apo glory to God... Fred and team congratulations... tukiona Dave live on camera let's thanks to God pia Fred tumtafutie za soda 🥤...ama???
Mungu akubariki Fred nakuombea ulinzi Mungu asikufiche uso wake unapomhitaji siku zite awe nawewe akulinde na familia yako,mabaya yasikaribie nyumba yako kwa jina la Yesu,amen
Huyo annita haja atembeshe kinembe hahajane na our hero dci fred kwan yeye anaishi poa sasa kuishi kwa rents ni nini si ajenge kwake kama yeye ako na misha poa
Weather is script or not script i will watch chenye najua senior dave alkua amepotea na saiz we can thank Almighty God bcoz he's here now glory be to God mwenye ako evedince ya senior akua amepotea approve niamini
@@divinahmachuka1859Kila mtu Ako na mwenye anaamini dear mm I only trust n believe in God tu same venye Fred only trust God and despite betrayals on his way we have victory now
Fred God bless you you deserve a big gift na mingu akurindw because u have many enemies pia team dave and dave need more protect and prayers yani amujawai lala tangu dave apotee
Kimbieni kabla wammalize senior dave aki coz wako na uchungu vile mmeua mmoja wao na annita anasema ni acting surely. God protect Senior dave wherever he is.
Niliskia mwingine akisema DCI Fred ni watchman,,, kumbe hapa Kenya watchmen wanakuanga na bunduki legal,,, anyway congratulations our own DCI Fred, you are a man and a half. Salute
Yani hii kaxi inafanywa hapa kenya na Serikali imenyamanza tu. Vijana wanafanya kazi ya upuzi kama hii ya kutesha wengine God have mercy 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Good work DCI fredy haki polisi wote wangekuwa kama fredy Dunia ingekuwa Haina Hawa majambazi God protect sinior Dave aki huyu mtoto ea mtu anaumia haki😢😢😢😢
Congratulations team senior Dave,Fred and director jay,mumesimama na senior Dave..... Anita hasijaribu kurudiana na senior Dave coz alimtoka wakati wa shida akumsaidia
Wah!! The goons are so many just guarding only a innocent guy am so scared about what they could have done to senior Dave. God protect Dci Fred and Director Jay and cover them with blood of Jesus.!!
May God protect you Mr Fred,jay and team Dave, can't wait to see Dave na unaskia annita anasema walikua na Dave sato eti uanga anampikia,cjui ni acting,mungu atamuona
Thank you JESUS CHRIST 🙏 for making this mission successful.we believe in you and no one else You are our all in all Glory and Honour and praise belongs to you may you keep protecting your Children team J and Dave crue.
Jay ❤❤❤❤ you're a true brother I've forgotten her name sister thank you for being a brave woman DCI Fred thank you for everything .All the team at large thank you
Wadau si tubuyue Fred iPhone kw hii kazi amefanya ama mnaonea aje congratulation fred
Inabidi aki amejaribu licha ya kipingwa mawe
We should pay his lipa mdogo mdogo phone first ,then we give him pesa ya Christmas
Very true
True,na unaskia annita akisema ni acting surely
@@carolinekorio2902kabixa
I need true friends like DCI Fred and true K,, congratulations to the whole team, we ❤❤❤❤❤❤ you so much, may all glory be to God
Glory be to God eti davi amepatikana akiwa uhai wacheni Mungu aitwe Mungu amtumanie Mungu hawezi akamuwacha🙌🙏team davi let gather here n say 1 word to God🙌 he has done it again🙌🙏God protect this team Jay, DCI n our officers for the good work 🙌🙏u r faithful God hakuna lisilo wezekana kwako Mungu wetu🙌🙏
Amen 🙏
Manzeh
Amina
D.J anajua governor anamtafute amalizane na yeye?
Anita mujimga eti ni acting🥲🥲🥲🥲🥲
DCI Fred big up 💪💪,,my God enlarge your territory Mr.
Annita uko wapi uone haya
Congratulations wambui...uko na confidence sana huongopi gaidi
And I like it like I can be there also 😭🙆🙆🙆
nikekuwa Mimi ni wamboi walai nguo zangu zote ingekuwa ni maji na harufu ya poop big up wambo Strong girl
Wow am waiting God protect DCI , Jay , Wambo and the rest please,let the blood of Jesus cover all of you , wapi like zangu first
Nani ameskia vile Anita anaongea vibaya eti Dave kuwa kwake daily akimpikia na vile ametusi truek eti kuna siku Dave amelala kwake huyo atashikika mimba ya ngule
Aky huyo amerogwa Na ngoko@@isabelakerubo3753
🖐️🖐️nimeskia akisema dv anakujanga analala kwake anampigia ,ooh God😢😢 ni Nguku wa nguli, anatumika ndania ya dv@@isabelakerubo3753
We Maine praying for them 🙇 but this girl she is strong strong, I liked her by way ❤️❤️.🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Bunduki
Freddie... operating like 10 men yawah! Only by God's grace... Samson is back to life
I'm still shocked!may God protect and give them strength
Nakwambia ,amejaribu sana gudos
DCI Fred you deserve a trophy. Una maadui wengi saa hii but maombi tunakuwekea kwa wingi. Justice to Senior Dave aki.
God help wasiguze Dave saa hii moja wao ameshutiwa
Pongezi Kwa huyu msichana jmani amejarbu mm siezi😭😭😭
True
True
May God protect you dci fred, true k and team dave wakuongea wacha waongee
Wambo aki mungu akubariki fredy hongerakwakujitolea mungu azidi kukuinua
Fred we Love you, all you have gone through with True K. It’s God who know. God will give a reward coz our rewards can not like for Gods grace. You are ones of the millions out here with a lot of money n they don’t help. We don’t take you for granted let God above all will give all.Amen, Amen n Amen.
Mungu hawabariki kwa kazi mlioifanya mr fred team yako mungu haongoze kwa kila njia mnayopetea.Asanter Yesu kristo umetenda tusana
DCI I don't knw how to appreciate you and your team the wisdom u are using may God increase it, unajuwa next ni wewe utatafutwa but mungu atakuzingira kila corner welcome home Senior Dave 🙏
Hio operation ni kali kama Mungu amefikisha apo glory to God... Fred and team congratulations... tukiona Dave live on camera let's thanks to God pia Fred tumtafutie za soda 🥤...ama???
Yeah
Kabisa ahk
Kweli
Jay pia weweni DCI officer kivyako. May God protect you guys as you bring Senior Dave home
Wambu oyeee.... strong girl you deserve promotion
This girl is 🔥 Wambo sikujui but we your another soldier ❤❤❤
Mungu akubariki Fred nakuombea ulinzi Mungu asikufiche uso wake unapomhitaji siku zite awe nawewe akulinde na familia yako,mabaya yasikaribie nyumba yako kwa jina la Yesu,amen
Kweli dci fred ni manaume kweli hongera kwa kazi ngumu🎉
Am crying while watching 😢😢senior wherever you are .God is covering you with the blood of your son Jesus christ
Our DCI you are always the best bro God protect you and the team.... Nko na imani leo tutapata SD
Fred you are our hero, maombi imewarida. Jehova ameteda mema
Wambui akitu you are a strong woman mungu akubariki ad Senior Dave apatikane
Mungu akulinde sana mr fredrick ata kama annita amekutusi adi vle unaishi 😢
Huyo annita haja atembeshe kinembe hahajane na our hero dci fred kwan yeye anaishi poa sasa kuishi kwa rents ni nini si ajenge kwake kama yeye ako na misha poa
Aki Wambo uko 🔥🔥,, good job,,DCI Fred congratulations for the good work 👏👏
Weather is script or not script i will watch chenye najua senior dave alkua amepotea na saiz we can thank Almighty God bcoz he's here now glory be to God mwenye ako evedince ya senior akua amepotea approve niamini
Me too I will watch
Na mwingine uko anasema ni script😢😢😢😢 ata kama ni script nitawatch
Ni script na watu wanapigwa risasi? Shame on the one saying that @@FRIDAHMBINYA-kw7oi
My question is very simple.who was taking the vedio?@FRIDAHMBINYA-kw7oi
Fred fred fred hio kazi unafanya ya watu kumi ❤❤ mimi niko hapo kwa kamba😍😂😂unawavuta na kamba
wewe cheka😂😂tu Fred akuone mimi niko🤫
@SoziSozi2020 😂😂😂😂😂nimeacha
@IsabellaLwile 🤫🤫🫣
Khai aki mungu n nani! C dangulos semeon usitoe content na kazi ya Fred zip kabisaaa😏Fred you're one out of trillions dear❤❤❤
Dangulo wako poa na kazi Yao , DCI Fred Ako poa na kazi yake 🙏🙏🙏🙏🙏 mungu awadie nguvu tunawapenda
@@divinahmachuka1859Kila mtu Ako na mwenye anaamini dear mm I only trust n believe in God tu same venye Fred only trust God and despite betrayals on his way we have victory now
Dic Fred kugekwa na workmate wenzake kila time but akasimama na dave that a true brother
❤❤❤❤like kwa wambo please ataki kuhajilia huyo mumama even a single minute congratulations 🎊 wambo ww n mgeni kwa iyo kazi buy umekua strong mama
Hii ni comedy ama real story
Mungu tenda leo miujiza Dave apatikane ooh God have mercy on senior Dave
We serve a true living God ,,,I don't know what to say Thank you God 10000000000 times ,,mungu awazingire mpaka mrundi
My heart is bleeding woiye senior Dave ...God is Great always 😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😢😢😢 jamani mpaka nijioneye na macho yangu ,jinsi ANNITHA amesema ni uongo Dave ako safe😢😢 duuu acha tuuu tutajua badae
Remember pia annita alikuwa kwa hio mateso so meaning ilikuwa uongo
@@GeoffreyShikami😂😂😂😂😂😂 you can say it again
Huyu drm ni mjinga sanaaa
Yes yes 🙌 👏 thank you bana DCI fredei 🎉🎉🎉🎉
Fred God bless you you deserve a big gift na mingu akurindw because u have many enemies pia team dave and dave need more protect and prayers yani amujawai lala tangu dave apotee
Congrates Mr Fred and TrueK for the good Job...Wambo pia yuko sawa na confident kama yote...ingekwa mm ningesha jikojolea hata
Alahmdulillah nashukuru mungu leo nitatulia akili mungu azidi kukulida hpo na penginepo
surely huyu DCI amefanya kazi mungu akubariki sana Fred
Kimbieni kabla wammalize senior dave aki coz wako na uchungu vile mmeua mmoja wao na annita anasema ni acting surely. God protect Senior dave wherever he is.
True
Anita nikimalaya kilikua kinataka Dave akufe asikie poa ety acting kuma chafu ww
Mungu ni mwaminifu good job to Daves team Mungu awabariki sana
Fred anafaa gift 🎁 huyu dci anajua job yake ❤❤
Sasa hawa ndio rafiki wa kwel congratulations 👏 DCI Freddie na true K Mungu awabariki sana na damu ya Yesu iwazingire in Jesus name 🙏
Aki uyo ni mtoto wetu Dave amefugwa kama cargo surely!!! God have mercy
Huyu Mama pia , anafaa kuuliwa, Congratulations, Dci, Fred
Niliskia mwingine akisema DCI Fred ni watchman,,, kumbe hapa Kenya watchmen wanakuanga na bunduki legal,,, anyway congratulations our own DCI Fred, you are a man and a half. Salute
😂😂😂😂😂
Watu wako na mambo😂😂😂
@Karenwema sanaweee
Aky mtu anaweza akakuacha bt Mungu hawezi.akina maaskari wariwaacha bt Mungu akawa na akina fredi.thanx God
Yani hii kaxi inafanywa hapa kenya na Serikali imenyamanza tu. Vijana wanafanya kazi ya upuzi kama hii ya kutesha wengine God have mercy 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Serikali Iko wapi na hii Kenya ni ya ujinga kazi ni hongo tu hakuna Serikali Kenya
Serikari iko pamoja na hawa magaidi
@@KariukiMary-k6f imagine hii Kenya hatuna serekali
Sikuizi kuna serikali kweli ama ji cartoon😊😂
Naona Anitah amelipwa achafue jina ya Fred na Dave.
Good work DCI fredy haki polisi wote wangekuwa kama fredy Dunia ingekuwa Haina Hawa majambazi God protect sinior Dave aki huyu mtoto ea mtu anaumia haki😢😢😢😢
God thank you for standing with DCI Freddy , True K Family, and Dave's team may Almighty God bless you all 🙏🙏🙏
Aki am in love with this guy😂😂 fred 😍😍 nampeda bure
Aki Mungu azidi walinda nimetetemeka kweli yani uyo msitu umeja magaidi kweli aki Dave amepitia magumu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Congratulations team senior Dave,Fred and director jay,mumesimama na senior Dave..... Anita hasijaribu kurudiana na senior Dave coz alimtoka wakati wa shida akumsaidia
Annita mungu anakuons wewe unaongea mabaya davii akiumia
Wachana Na annita tutampea nguku Wa nguli wawe BB yake
Waiting. Jay and DCI . Wambo and your camera man. May the lord protect you all
DCI,jay,wambo na Director aja Mungu awabariki kwa kazi nzuri mmefanya
God has done it again for dave wacheni mungu aitwe mungu all glory to Him sifa na utukufu ni zako bwana
Oh God Fred is a good man.God protect him and rescue Dave
Sure
Wamboo good job achana na anita mwenye anashidianga maringo badala ya kusaidia wengine ♥️♥️♥️♥️
It's like ""TEARS OF THE SUN"".......the movie.Watching from Tanzania 🇹🇿🇹🇿💥
We are together ❤️ from Tanzania 🇹🇿
Amen Amen Amen Amen Hallelujah Hallelujah Hallelujah Glory to Jesus ww are so happy to see Senior dave again.
Aki kweli DCI Fred tumuchangiye zawadi ya Christmas
True
Kabisaa
Fred one in a millions of trillion, mungu wabariki sana kwa kazi yetu
Wah!! The goons are so many just guarding only a innocent guy am so scared about what they could have done to senior Dave. God protect Dci Fred and Director Jay and cover them with blood of Jesus.!!
Imagine annita anasema Freddie NI Watchman Tu 😀😀
na ndio annita anasema ni acting surely. barikiwa dci fredrick aki.
True 😂😂😂
Every country deserves Dci like fred keep it up more blessings to you and your team
Yeah
juu Anita anasema hizi ni scripts soo pia yeye vyenye alikuwa amepotea ilikuwa tu scripts waaah alafu ansema dci sio karao 😢😢😢
We wonder NI Nani mbaya na annita same happened to her
Uyo mwanamke amerogwa dio manake ata kuombea food ajui😢
Achana na uyo fala
Ata nyinyi hakuna tafauti na Anita hamkusikia anatawaliwa na mapepo anahitaji deliverance ata hajielewi hakuna haja kuongea kwake Kila saa
Ni kama hakajielewi
Good work ❤❤ continue giving God much thanks please guy ......alafu anita wewe nkt😢😢😢
Fred God Bless you Abundantly 🙏🙏🙏
Fred dci ata Kwa Mungu utakua Malaika,God bless 4 you job,
Karibu jay akue mzigo karibu aende
But our hero fred angekubali walikula kiapo kama watakufa wakufe
Dci Fred wacha mungu akubariki kwa kazi mzuri nazidi kuombea sana mungu azidi kualinde kila wakati
WAMBOO WANGU BEUTFULL GIRL KANAKIMBIA WALAI I LOVE YOU MORE🎉🎉😂❤❤❤❤❤❤
Our gal always wamboo ameweza😅
Good job DCI Freddy and jey mungu awafunike musionekane
May God protect you Mr Fred,jay and team Dave, can't wait to see Dave na unaskia annita anasema walikua na Dave sato eti uanga anampikia,cjui ni acting,mungu atamuona
Congratulations fredi aky you are a friend to keep mkiwa na jay
Mama ulisema umeona police wengi na haushutuki, ulikuwa hujaona huyu kijana watu luo guy mwanaume kwa wanaume❤❤❤❤❤❤
Halikuwa hanalita mchecho Kwa mtoto wetu hamejionia namacho na utajiri wake mjinga Sana gaidi mkubwa
Mungu azidi kiabudiwa True k and senior daves team na DCI mbarikiwe
Yale Anita anita ameongea...Anita should be arrested
What did she say?
ati wanaactsenior dave ako sef sually😢
@@MwanaidiNguluma that's crazy
Dir Jay you are kind a friend l would like to have. May God bless you ad protect all
DCI Fred big up 💪💪,,my God enlarge your territory Mr.fre
Thank you JESUS CHRIST 🙏 for making this mission successful.we believe in you and no one else You are our all in all Glory and Honour and praise belongs to you may you keep protecting your Children team J and Dave crue.
Aibu mama unatumia wajukuu wako kufanya uhalifu, senior dave is man of God , ulichezea wabaya
Imagne huyu mumama ameuaaa watoto wa watu ati kisa ye ni tajiri 😢😢😢
@christine4072 mjinga sana huyo mumama
We Love you Freddie,Jay,wambo na wengine.May God bless you dearly
Woiye aki mungu saidia t u fred na jay na team yote ya senior Dave may God help you and protect you all
Yaani because of corruption DCI hawezi pata any police to work with in this mission 😢😢My Lord protect Dave and this team of dci
Jay ❤❤❤❤ you're a true brother
I've forgotten her name sister thank you for being a brave woman
DCI Fred thank you for everything
.All the team at large thank you
God of another chance.Big up the whole team.❤
Aki mungu awapaliki pamoja na family senu kwa kutetea senior dave
Amen Amen God u have done marvellous huyo ni mungu tunaombanga
Dave anaeza oa huyu dem sasa penye imefika aki😢😢😢😢
Sure ukweli
Wambui you are a strong lady❤❤❤
Fred is true friend to SD. I WISH FRED ANGEKUA NA BACKUP YA OTHER POLICE MEN COZ HAO MAJANGILI WANGEANGUSHWA WOTE AMA WASHIKWE.
Jay na Fred Mungu awa bariki na ata wabariki kweli Mungu azidi kuwa chunga mwishi maisha marefu, tuna wapenda sana
Hi kazi sio rahisi kweli Fred mungu akubariki na kulinde pamoja na wote
Mungu awasaidie mpate senior Dave
Pogezi team
True k hati apige mwenzake mate 😂😂 enyewe Dci congratulations unajua kazi
Wee this wasent easy after here pastor akafanyie Annita Délivrance hayuko sawa huyo
Thank you so much guys you did a great work God bless you so much we appreciate God is able.
May God give u team DCI strength and wisdom to handle this 🙏🙏🙏may the God of Daniel see u pple AMEN 🙏
Hawa wasipo okoka these time round watakufa nxt sasa😂😂😂😂😂
Kabsaaa
Ndio nimetoka kwa anita dave na sijui niamini nani😂😂
Kachizika yule