ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Cjachelewa wa 11 leo.
Wa kwanza
Polee..sanaaa
Pole sana Michael usichokijua sawa na usiku wangiza
Aise ama kweli ni mkosi duh...Ila Michael hakujua. pole sana Michael duh co poa..!!kaka na dada woi
Duh nouma sana hiyooooo
Kina mama tujifunze hata Kama mmegombana vipi na mwanaume kakutelekezea mimba Ila haufai kumpa mtoto ubin wa mjomba ake kwa sababu Kama hizo hapo sasa
Waa mbona kama nigerian movie, very interesting tuned 🇰🇪
🙆♀️Mungu wangu huyo baba michael ana laana
Asante da vero
Pole sana
Nawakubali fahamu plus😍
Wa 3
dah pole
Anaita baba na mama kwa sa7babu mtoto Hana kosa pia Hana ajualoataita baba na mama tu ni wazazi wake hao pendo mama ake Michael baba ake
Inauma sana
Pole Sana Michael Mungu akufanyie wepesi
FUNZO HAPA KWA SISI KINA MAMA NI KWAMBA HAIJALISHI HAWA VIUMBE BAADHI WANATUTENDA NINI HATA AKATAE MTTO NA WW KUCHUKUA MAAMUZI YA KUMPA JINA UPANDE WENU SIO KOSA ILA HAKIKISHA MTT ANAPOSOGEA KIUMRI MWAMBIE UKWEL MWAMBIE MAJINA YA KWAO
Kwan kuna kuhesabu namba hapa??
Wapili
Mi natabiri ebu tukumbuke yule baba si alimwambia Maiko kwamba yeye sio baba yake!Tena alisisitiza kwamba mama yake alikufa bila kumuambia siri hii!
yes atakuwa si baba yake
Lakini pendo na Michael ni dam moja kwa mujibu wa pendo ni huyo baba na loho yake yakukataa watoto tu
Kabisa itakua Ivo Yule Baba mtoto wake n Yule aliyefariki
Yetooon kumbe ni Kaka na dada
Wa4
Maskin maico
Cjachelewa wa 11 leo.
Wa kwanza
Polee..sanaaa
Pole sana Michael usichokijua sawa na usiku wangiza
Aise ama kweli ni mkosi duh...Ila Michael hakujua. pole sana Michael duh co poa..!!kaka na dada woi
Duh nouma sana hiyooooo
Kina mama tujifunze hata Kama mmegombana vipi na mwanaume kakutelekezea mimba Ila haufai kumpa mtoto ubin wa mjomba ake kwa sababu Kama hizo hapo sasa
Waa mbona kama nigerian movie, very interesting tuned 🇰🇪
🙆♀️Mungu wangu huyo baba michael ana laana
Asante da vero
Pole sana
Nawakubali fahamu plus😍
Wa 3
dah pole
Anaita baba na mama kwa sa7babu mtoto Hana kosa pia Hana ajualoataita baba na mama tu ni wazazi wake hao pendo mama ake Michael baba ake
Inauma sana
Pole Sana Michael Mungu akufanyie wepesi
FUNZO HAPA KWA SISI KINA MAMA NI KWAMBA HAIJALISHI HAWA VIUMBE BAADHI WANATUTENDA NINI HATA AKATAE MTTO NA WW KUCHUKUA MAAMUZI YA KUMPA JINA UPANDE WENU SIO KOSA ILA HAKIKISHA MTT ANAPOSOGEA KIUMRI MWAMBIE UKWEL MWAMBIE MAJINA YA KWAO
Kwan kuna kuhesabu namba hapa??
Wapili
Mi natabiri ebu tukumbuke yule baba si alimwambia Maiko kwamba yeye sio baba yake!
Tena alisisitiza kwamba mama yake alikufa bila kumuambia siri hii!