Ikiwa miraa haileweshi, itakuwa haramu? :: Sheikh Mbarak Ahmed Awes

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @maryamalimussa8843
    @maryamalimussa8843 3 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh mimi Nakupenda kwa ajili ya Allah hebu njoo huku Zanzibar uzidi kutuelimisha. Mashallah Allah akuzidishie elimu na akupe umri mrefu wenye afya na uzima!!!!

  • @Safinatulshifaa
    @Safinatulshifaa 3 ปีที่แล้ว +4

    A.a
    Sheikh wangu safi sanabna ninakukubali na kukupenda kwa mahaba ya Dini yetu kwa kuendelea kutuelimisha
    Allah akupe umri mrefu na afya pamoja na mwisho mwema.

  • @fahimamohammad6251
    @fahimamohammad6251 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah atuepushe na Haraam amiin

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakka Allahu khyern 🤲💯

  • @abuhudhaifa6268
    @abuhudhaifa6268 4 ปีที่แล้ว +3

    رایع شیخي أنا بتحبك حبا راقیا والله العظیم

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 4 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh mm nakupenda Sana darsa zako Sana mungu akueke walakin Kwa ushauri huu ama fatwa hii ya miraa naona nikama umewapa nguvu watumiaji miraa nibora ungesema Hilo swali utalifuatilia uzuri kabla kujibu hivyo

    • @Safinatulshifaa
      @Safinatulshifaa 3 ปีที่แล้ว

      A.a
      Mbona sheikh amezungumza vizuri tu na majibu mazuri tu ukimsikiliza kwa makini sana utamfahamu kuhusu hukmu ya MIRAA

  • @jamaldinabubakary9507
    @jamaldinabubakary9507 4 ปีที่แล้ว +1

    حياك الله يا طبيب قلوبنا ❤️❤️

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kifupi madhara yake ni makubwa kuliko faida yake.Madhara ya kiafya,kiisrafu ya mali na wengi wanaotumia tumeona wanavyoathirika.Hapo ndio uharamu wake.Hukumu yake ni kama hukumu ya pombe na kamari

  • @issarashidi9824
    @issarashidi9824 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @abuusabeel5934
    @abuusabeel5934 3 ปีที่แล้ว

    Imeekwa wazi zaidi ktk tafsir ya ibn katheer ktk sura abasa Aya 28 angalia ktk sherhe ya Aya hio kwa urefu

  • @zainabukombo411
    @zainabukombo411 ปีที่แล้ว

    Hauleweshi

  • @rayreem3846
    @rayreem3846 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe langu

  • @alibadran438
    @alibadran438 6 หลายเดือนก่อน

    Ukimsikiliza hilii jamaa wwe hauna akili kabsaaa

    • @khaleedAlbannah-ul2qe
      @khaleedAlbannah-ul2qe 6 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio huna akili...si tungekuona hapo mbele... Unamskilia wivu?!
      Uskue mjinga mjinga

    • @alibadran438
      @alibadran438 5 หลายเดือนก่อน

      @@khaleedAlbannah-ul2qe nimsikilie wivu khurafi jisufi jiongoo😂😂kisha mjinga ni wwe unayekataa kusomaa jaahiil !!

  • @kvfihf6324
    @kvfihf6324 3 ปีที่แล้ว

    ليس كل ما يعلم ما يقال ما الحاجة إلى ما ذكرته عن الشوكاني خاصة وأنك تنسب أكله إلى بعض العلماء هذا شيء عجيب وانت تكلم عوام المسلمين مرحبا

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 8 หลายเดือนก่อน

    Yaonesha anatumia huyu

    • @khaleedAlbannah-ul2qe
      @khaleedAlbannah-ul2qe 6 หลายเดือนก่อน

      Ushawai tumia na yeye?
      Mwonyeshe heshima... Nkt

    • @saalimnyange4901
      @saalimnyange4901 5 หลายเดือนก่อน

      angekuwa mtumiaji asingeonyesha option mbili ....ina maanisha hajui km inalewesha au haileweshi .....tega sikio kwa uzur kwa shekh

    • @salamanyale2226
      @salamanyale2226 4 หลายเดือนก่อน

      Shida yenu mnakurupuka mskiliz hajaunga mkono kua kula miraa ni sw mskiliz mekataa lkn akaelez kua usimtuhum anae tumia mfate taratib

    • @salamanyale2226
      @salamanyale2226 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@saalimnyange4901Twayyib habb hao wanachuki n shekh le2