Ndugu yangu kipenzi Ali kiba kwanza nakuusia kumcha Allah na kumuogopa Allah kwa sababu jina lako wewe ni jina la swahaba mkubwa swahaba mtukufu sana Ali bin abi taalib radhiallahu anhu kwa hio jitahidi matendo na mienendo na kauli zako ziwe nzuri na njema na ziwe zenye maadili mazuri mema na khofu kubwa sana ya Allah kariim

Usifanye mambo au matendo ya kumuudhi na kumkasirisha na kumghadhibisha mola wetu mlezi mola wetu kipenzi
Leo mm ndo wakwanza nipeni link zang
From Burundi wapili.nimimi
Wapil.jmn mxinipt plz