Napenda sana kuskiliza mafundisho yako yananijenga sana..lakini pia ww ni nabii wa ukweli na umetumwa kweli na Mungu kwa sababu uwapotezi watu bali unawaongoza katika njia ya kweli na ya haki..
Hallelujah Hallelujah Hongera sana tena sana ,huo ndio ubatizo wa kweli ,tunabarikiwa na watumishi tukiwa watoto lakini ubatizo wa maji tukiwa wakubwa na wenye ufahamu ,hongeren sana💝💝💝💝💗💗💗💗💗
Unambatizaje mtu mara tatu kwa andiko lipi mtu anabatizwa mara moja tena katika jina la Bwana yesu kristo kulingana na matendo ya mitume 2 :38- 10:48- 19:5-8:16-
xory ubatizo huwa haurudiwi mara mbili but i am very sure baadhi wameshabatizwa inakuwaje and then why three times because mimi najua ukizamishwa ukitoka ready umekuwa mtu mpya ukixoma hii comment tafadhali reply
Mm sijabatizwa bado prophet na ninasali kanisani kwako Naomba unibatize na Mimi prophet ni kiu yangu kubatizwa ili nikamilishe wokovu wangu MUNGU akuongoze utende hilo🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
ndugu yangu kila dhehebu na mapokeo yao ndiyo maana kila mtu leo anahubili vile ROHO alivyomjaalia ila tuwe macho siyo ya mwilini bari ya rohoni naomba ukasome mathayo 24 sura nzima utaona tumefikia wapi ili tuweze kujitafakari
Munguanijalie nifike siku kama hii namimi niuone utukufu wamungu
Napenda sana kuskiliza mafundisho yako yananijenga sana..lakini pia ww ni nabii wa ukweli na umetumwa kweli na Mungu kwa sababu uwapotezi watu bali unawaongoza katika njia ya kweli na ya haki..
Mbarikiwe wapendwa katika jina la Yesu amina
Hallelujah Hallelujah Hongera sana tena sana ,huo ndio ubatizo wa kweli ,tunabarikiwa na watumishi tukiwa watoto lakini ubatizo wa maji tukiwa wakubwa na wenye ufahamu ,hongeren sana💝💝💝💝💗💗💗💗💗
Hakika ni nyakati tofauti,,,Bwana Asifiwe
This is so amazing.. Mungu anisaidie kufika siku kama hii na mimi
Mungu aba Mungu tu utukufu umurudiliye
Utukufu ni kwa Bwana Yesu
am a cathothollc and am pleased with tis baptism. most especially using the trimaran fomular. God bless you. this is authentic baptism.
I like this Baptism, Maji ni Mengi mpaka naogopa🤭
Mungu atuhurumie kwa kweli
Amen 🙏
Unambatizaje mtu mara tatu kwa andiko lipi mtu anabatizwa mara moja tena katika jina la Bwana yesu kristo kulingana na matendo ya mitume 2 :38- 10:48- 19:5-8:16-
Upo sahihi mtumishi wa Mungu.
NATAMANI ningekuepo na mm nibatizwe
Utukufu kwa Christo Yesu
xory ubatizo huwa haurudiwi mara mbili but i am very sure baadhi wameshabatizwa inakuwaje and then why three times because mimi najua ukizamishwa ukitoka ready umekuwa mtu mpya ukixoma hii comment tafadhali reply
Praise.the.Lord.
Hallelujah, to the baptism
Grory to GOD
Wewe soma Matendo 2:37-38 walibatizwa kea Jina la Yesu Kristo.na unapaswa kubatizwa kwa Jina la Yesu
Waoooh lazima kutimiza haki yote jina la Bwana liinuliwe utukufu una yeye.
Mm sijabatizwa bado prophet na ninasali kanisani kwako Naomba unibatize na Mimi prophet ni kiu yangu kubatizwa ili nikamilishe wokovu wangu MUNGU akuongoze utende hilo🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nakwanini maratatu mnamdumbukiza mtu? Wengi wameisha batizwa kwenye mazehebumenginehao.Yesukristu mwana wa Mungu tujaliye macho yarooni
GOd is good, samahani naomba kuuliza mbona wengine tunazamishwa mara moja tu je kuna tofauti na hii ya kuzamisha mtu mmoja zaidi ya mara mbili?
Na mm ndio nashangaa na mm najua unainamishwa kwa mbele na mara moja tu
ndugu yangu kila dhehebu na mapokeo yao ndiyo maana kila mtu leo anahubili vile ROHO alivyomjaalia ila tuwe macho siyo ya mwilini bari ya rohoni naomba ukasome mathayo 24 sura nzima utaona tumefikia wapi ili tuweze kujitafakari
Why three times
Sisi tuliyobatizwa na maji madogo inakuaje?
Unabazwa tena huo sio ubatizo alio sema Yesu
Sasa kama sio ubatizombona sisi mimi nimesha batizwa na majo.madogo
Usikhofu, imani na matendo yako yatosha sana kuurithi ufalme Wa mbinguni.
Usikhofu, imani na matendo yako yatosha kuurithi ufalme Wa mbinguni.
Usikhofu ubatizwa na maji madogo, imani na matendo yako yatosha kuurithi ufalme Wa mbinguni
Chapa kazi ya BWANA huo ndio ubatizo sahihi wa maji mengi warumi sula 6:3-6 kuzika utuwakale na kufufukia upya wandani
NILIBATIZWA KWA MAJI MENGI LAKINI NILITUMBUKIZWA MARA MOJA..INAMAANISHA NIRUDIE KUBATIZWA TENA?
Amina huo ndio ubatizo aliobatizwa yesu balikiwa mtumishi,
Kwani Yesu alizamishwa mara ngapi,mm najua ni mara moja
Pia nashangaa,nilipatizwa mara moja tu,, but this????