Yaan hua sichoki kukusikiliza mzee wangu mana kila ninaposikia mafundisho yako hua navuka hatua moja kwenda nyingine Ubarikiwe sana sana mzee wangu 🙏🙏🙏
Asante pastor,mojawapo ya udhaifu unaolikumba kanisa ni ,,,,wokovu wa kinadharia,,,,.(wengi tunajua mengi lkn kuyaishi ndilo tatizo).Jambo jingine ni utakatifu (hata halitiriwi mkazo makanisani!) Mungu atusaidie
As our Lord taught,let us be true worshipper, in Spirit and in truth. Kubarikiwa ni wewe mtumishi wa kweli ❤ ❤ ❤ Till Jesus comes. Nilikujua njuzi be blessed in Jesus name
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU ni kweli huwa najiuliuliza yako wapi hayo matendo ya ajabu waliyofanya hao watumishi wa MUNGU wa zama ni? Wakina Petro walikuwa wanatembea vivuli vinaponya watu . Sasa hivi hao wanaojiita watumishi wa MUNGU wamezungukwa na mabodogadi kona zote najiulizaga wanalinduwa nini cha mno?????
Soma maandiko haya yatakusaidia kupata ufunuo wa suala hilo. Mwanzo 1 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ²⁶ Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. ²⁷ Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mwanzo 2 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ⁷ Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. … ¹⁸ Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. … ²¹ Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake, ²² na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. ²³ Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Kokote ulipo Panda gari la gongo la mboto ushuke njia Panda Ya segelea ukifika pale stend muulize bodaboda yeyote kanisani kwa Mchungaji Magembe atakuleta adi mlangoni
Mungu akubariki baba, akupe miaka mingi ya uzima.
Nilikuwa naomba tuliombali tupate haya mafundisho kwa njia ya live Amen🙏
Yaan hua sichoki kukusikiliza mzee wangu mana kila ninaposikia mafundisho yako hua navuka hatua moja kwenda nyingine Ubarikiwe sana sana mzee wangu 🙏🙏🙏
MUNGU akupe maisha marefu mzee wangu kwa kuitangaza kweli.
Asante pastor,mojawapo ya udhaifu unaolikumba kanisa ni ,,,,wokovu wa kinadharia,,,,.(wengi tunajua mengi lkn kuyaishi ndilo tatizo).Jambo jingine ni utakatifu (hata halitiriwi mkazo makanisani!) Mungu atusaidie
Namkubali sana sana mchungaji magembe injili ya ukweli ndo imelala hapo na Mungu hazidi kumbariki na kuliinua kanisa
MUNGU WA MBINGUN Yupamoja nawee🙏🙏, DAMU YA YESU ikufunikeeee daimaaaa na akupe miaka unayostahili ili tupate Neema ya mafundisho haya mazuriiii🙏🙏
As our Lord taught,let us be true worshipper, in Spirit and in truth.
Kubarikiwa ni wewe mtumishi wa kweli
❤ ❤ ❤ Till Jesus comes.
Nilikujua njuzi be blessed in Jesus name
Mungu akuinue mnoo mtumishi wa Mungu aliye hai
haleluya Mungu mkuu
Nimebarikiwa sana! Pastor umenifungua kwenye kifungo kikubwa sana
Amina baba
Mungu azidi kukuongezea upako
Haya mahubiri yananibariki sana
Kila wakati naendelea kuyasikiliza
Mungu akutunze ❤❤
Ubarikiwe mno pastor Magembe. Sichoki kukusikiliza kwa kweli.
Mungu akubariki Mtumishi tunaomba utangaze na siku ya ubatizo maana makanisa na huduma nyingi wamelisahau hili la ubatizo
Barikiwa baba kwa mafundisho mazuri yanayotujenga
Kazi yako njemaa saanaa mungu awe nawe
Ubarikiwe Pastor kwa ujumbe mzuri
Haya mafundisho niya Baraka sana Mungu akuzidishiye Rev
Mungu akubariki baba
Amina , LOHO Mtagatifu fanya mkao ndani ya kanisa
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana.
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri
AMEN! ! GOD BLESS YOU MORE AND MORE IN HIS WORD AS YOU BLESS US
AMEN AMEN MUNGU AWABARIKI KWA MAFUNDISHO HAYA NATAMANI TUPATE MENGINE ZAIDI
Ubatikiwe nitapataje vitabu vyenu nisaidieni.0629437874
mungu aendelee kukutunza baba yetu
Amina
Mungu azidi kukuinua mtumishi. Injili ya kweli
So powerfully, powerfully, powerfully. I feel the power of the Hollyspirity, Glory be to God for His servant. Love you Pastor
Neno lisiloghoshiwa lililojaa kweli ya Mungu Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mzee wetu
Niombee kazi ,am structural engineer/pastor ,Rev.moses magambe
Hakika utapata!!
Utapata lkn ukiona bado hawajatagaza omba kujitolea je unaishi wapi
Tembelea nchi nzima toa mafundisho.wewe ni unaelewa unachokifanya..plz tembea
Mungu spewed sifa
Mungu azidi kukulinda
Mungu azidi kuwa na mutumishi wake kuna utamu katika yesu
YESU /✔yesu/❌
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Very powerful Glory to the most highest God
Ubarikiwe Sana Baba🙏🙏
Ee Roho mtakatifu karibu ndani mwangu
Mungu akubariki Baba yangu wa kiroho
Amina baba
Tunashindwa kufanikiwa katika maombi yetu, kwa kuwa Mara nyingi tunaomba na huku hatuachilii dhambi
Amina kubwa
Naona fahari sana kuisikia Injili ya nguvu namna hii, na mm ni mmoja wapo lazima Tanzainia ijue yupo Mungu wa kweli
Baba Kuna Mambo najifunza makuu Sana.
May God continue strengthening this man of God.
Ujumbe wa moto wa Roho mtakatifu
Haya mafundisho mazurinsana God bless u
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU ni kweli huwa najiuliuliza yako wapi hayo matendo ya ajabu waliyofanya hao watumishi wa MUNGU wa zama ni? Wakina Petro walikuwa wanatembea vivuli vinaponya watu . Sasa hivi hao wanaojiita watumishi wa MUNGU wamezungukwa na mabodogadi kona zote najiulizaga wanalinduwa nini cha mno?????
Barikiwa na bwana Mchungaji
Be blessed in Jesus name!
Ubarikiwe🙏🙏
Safari ya imani bado sana kwetu
Bariwa sana Baba
Hats umeya huna,
Ameeeen amen amen
Amen 🙏🙏🙏
God bless you
Kama kuna mtu anayesali kwa huyu mchungaji naomba areply kwenye comment yangu tafadhali
Mbarikiwe sana. Ningetamani kupata namba ya mchungaji Moses Magembe tafazali. Mimi ni muinjilisti M. Mitamba
Naomba kujua vizuri je eva no mwAnamke wa Kwanza kuumbwa au alikuwrko mwingine
Soma maandiko haya yatakusaidia kupata ufunuo wa suala hilo.
Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁶ Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
²⁷ Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁷ Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
…
¹⁸ Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
…
²¹ Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
²² na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
²³ Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Ameeeeeeen
Mungu akubariki baba mwenye imani ya kweli
Ameeen
MUNGU nisaidie nitumike kama huyu baba ...nifunge nikuone MUNGU.
Amen
Mungu azidi kukutumia baba natamani kufika kanisani kwako no wapi?
Dareslamu majumba 6 kabla hujafika kiota nazani ivyo
Kokote ulipo Panda gari la gongo la mboto ushuke njia Panda Ya segelea ukifika pale stend muulize bodaboda yeyote kanisani kwa Mchungaji Magembe atakuleta adi mlangoni
Amina baba naelewa Kila mafundisho naomba Mungu azidishe
Ameen
Asnte mungu
So powerfully, powerfully, powerfully. I feel the power of the Hollyspirity, Glory be to God for His servant. Love you Pastor
Ubarikiwe Baba
Mungu atusaidie baba
Ameen
Barikiwa baba
Aisee ukisali apo unakuwa mtu wa tofauti
Amen
Ubarikiwe Baba
MUNGU akutunze tupate kupona
Amen