BATO LA UCHAWI" Sehem ya kwanza Starling : Tinwhite na Ringo

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 284

  • @ndimiamon7425
    @ndimiamon7425 2 ปีที่แล้ว +193

    Tuliotoka kwa ALADINI tujuane kwa like👍👍😁

  • @ibrahimkhamis471
    @ibrahimkhamis471 2 ปีที่แล้ว +93

    Wangapi tunapenda kolabo ya ringo na tin since day 1.. tujuane na likes

  • @mwajumamonze8792
    @mwajumamonze8792 ปีที่แล้ว +4

    Mm napenda sana combination ya Hawa watu 😂😂😂😂 kwanzia movie ya utani daah much love

  • @officialbaloteli7965
    @officialbaloteli7965 2 ปีที่แล้ว +17

    Kazi juu ya kazi🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 ปีที่แล้ว +17

    Team #Tinwhit like zenu jmn kaka angu anaupiga mwingu huyu #TinwhitAladin kazi juu ya kazi kaka anajuwa anajuwa anajua tena 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @bravoabdul8201
    @bravoabdul8201 2 ปีที่แล้ว +11

    Alieona tin white miwani imemtulia gonga like apa😂😂😂

  • @muletv7489
    @muletv7489 2 ปีที่แล้ว +23

    Broh Tinny, sipo hapa kucoment hii movie, but to talk about you broh, kaka before you die, your the best comedian artist in tanzania, in fact ulitakiwa upate tuzo ya heshima lakini hii ndio nchi yetu. Keep going broh we appreciate you✊

    • @muletv7489
      @muletv7489 2 ปีที่แล้ว +3

      Nilisahau pia kuzungumzia Ringo, I mean both of you, for sure your collaborations ni kitu ambacho hatutakuja kukiona tena kwenye hii dunia kwa upande wa tasnia ya filamu za kuchekesha tanzania. Ringo and Tinny, hata kama watu hawawasemei, lakini aminini kwamba hatutakuja tena kupata watu wa Aina yenu kwenye tasnia hii. Ninatamani siku moja nikutane na nyinyi niwashike hata mikono. Your real my celebrity and my admire. I real appreciate you brothers. Mungu aendelee kuwaweka ili tuendelee kufurahia. God bless you 🙏✊

    • @magamboshabani6320
      @magamboshabani6320 2 ปีที่แล้ว +1

      Much love 👊👊👊👊

  • @mosseskahemela2969
    @mosseskahemela2969 2 ปีที่แล้ว +10

    Tunashukuru kwa kutuludishia kijana wetu ringo

  • @mohamedngotwike7969
    @mohamedngotwike7969 2 ปีที่แล้ว +22

    Nice combination Ringo na tiny

  • @ayoubmontana8027
    @ayoubmontana8027 2 ปีที่แล้ว +20

    Tin mungu awabariki daa kupitia nyie ua nafurai sana🙏😄

  • @imaklathamaxkagoma7458
    @imaklathamaxkagoma7458 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera tin white kwa kazi nzuri

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 ปีที่แล้ว +2

    Tinwhite Ringo masantula nawakubali movie poa sana

  • @abdullqadiradam5581
    @abdullqadiradam5581 2 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali sana matin boy🔥🔥🔥

  • @mwalimumlaula6167
    @mwalimumlaula6167 2 ปีที่แล้ว +53

    Brother tin tunakukubali sana kaka na team yako,ila tunaomba kama inawezekana Aladin utuangushie kila siku au kila baada ya siku moja

    • @Salhiya-hr7dy
      @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว +1

      Aladin naona km ndo iko mwsho mwsho ivi 😂

    • @mwalimumlaula6167
      @mwalimumlaula6167 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Salhiya-hr7dy nayo ni kweli maana sio kwa jinsi mtelezo ulivyo wa thamthilia

    • @3kings63
      @3kings63 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unaisi teseme ndio umebeti sasa unaisi hata wewe unaobetibutakuwa salama hamna kabisa😂😂🤣

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 2 ปีที่แล้ว

      Yeah

  • @dirakidaramadhani369
    @dirakidaramadhani369 2 ปีที่แล้ว +6

    Ringo na tini toka utani mnamechi mpaka leo namikubali sana Yan Kama pita na Paulo

  • @allysan4636
    @allysan4636 2 ปีที่แล้ว +11

    Tin hakuna mchekeshaji anae nikosha Tanzania zaid yako Ila ushaur wangu ungetumalizia kwanza aladin

  • @sammybronze119
    @sammybronze119 2 ปีที่แล้ว +3

    DIRECTOR
    ALADIN MENDRAD WHITE
    🔥🔥🔥🔥Nzito kwa Nzito jiwe juu ya jiwe 🔥🔥🔥#whitefilms

  • @allenchuma7292
    @allenchuma7292 2 ปีที่แล้ว +17

    Be blessed bro tiny

  • @zainabhussein4685
    @zainabhussein4685 2 ปีที่แล้ว +5

    Yani nmefurahi sana kuona mnaigiza tena pamoja tin na ringo

  • @SylviaAnyango-sy6zn
    @SylviaAnyango-sy6zn 5 หลายเดือนก่อน

    Wa❤lah ata mungu yuwajua mwachekesha mana yeye ndo amewapa hicho kipaji

  • @einsteinfromeastern2704
    @einsteinfromeastern2704 2 ปีที่แล้ว +11

    Dah hatari Sana dingii 😂😂

  • @officialbaloteli7965
    @officialbaloteli7965 2 ปีที่แล้ว +7

    Ringooo ndaniiii daaah😂😂😂😂😂😂

  • @johnshango5651
    @johnshango5651 2 ปีที่แล้ว +9

    Wa kwanza wapi likes zangu😁🙏🙏

  • @stevenmsuya4078
    @stevenmsuya4078 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimefurahi kuwaona mnafanya kazi pamoja

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว +6

    Mm sio mtabiri ila km Aladini ipo mwsho mwsho ivi 😂😂😂😂😂

  • @dirakidaramadhani369
    @dirakidaramadhani369 2 ปีที่แล้ว +5

    Ringo angeonekana Kwenye aladini ingekua poa sana From Tanga

    • @rascalkaloza7409
      @rascalkaloza7409 2 ปีที่แล้ว

      Ahhahaah kwel Yan ingenoga zaid, kwa woga wa Ringo...🤔

  • @molidev4166
    @molidev4166 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiii moja kaaaaliiiii kabisa wadau nakubali san

  • @rahmanassor5180
    @rahmanassor5180 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah kidanlob yaani mie nimgonjwa wa moyo nafarijika sana ninapotizama mouv zenu

  • @issackcomed3044
    @issackcomed3044 2 ปีที่แล้ว +9

    Brother Tin respect to you

  • @albetostafody7743
    @albetostafody7743 2 ปีที่แล้ว +1

    Sanaa lingo now uende kama kibonge mayare anamwelewa white

  • @rhemalidyo7037
    @rhemalidyo7037 2 ปีที่แล้ว +6

    Muna tiisha sana tin🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @najmahamso8364
    @najmahamso8364 2 ปีที่แล้ว +1

    Na kucoment pia ni mm wa kwanza

  • @mercyowano6181
    @mercyowano6181 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri naipenda sana

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 ปีที่แล้ว +10

    Tin for life

  • @jacklinekiria6452
    @jacklinekiria6452 2 ปีที่แล้ว +3

    Niliumia sana enzi zile walivyo kuwa mbali mbali ila now naenjoy sanaaaaaaa love your more

  • @iddriskiponda3688
    @iddriskiponda3688 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzuri kk

  • @vionjocomedy4856
    @vionjocomedy4856 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali blood😂😂👹👹

  • @shaziliiddi8901
    @shaziliiddi8901 2 ปีที่แล้ว +6

    Ramadan kareem 🌙💫💫💫💫

  • @rashidjuma1338
    @rashidjuma1338 2 ปีที่แล้ว +7

    Sehemu ya pili naisubiri Kwa hamu🤰🤰🪒✌️🚴🇹🇿🌻🛌

  • @sadam3560
    @sadam3560 ปีที่แล้ว +1

    Atal sanaaaaa

  • @luvboywcbnyamz534
    @luvboywcbnyamz534 2 ปีที่แล้ว +4

    Waisha part 2 mzee babaa...Watching from Nairobi

  • @erickkalumuna329
    @erickkalumuna329 2 ปีที่แล้ว +7

    Ringo and tin🔥🔥🔥🔥

  • @peasant-bi6hb
    @peasant-bi6hb 2 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁😁 raha ipo uku big up sana bro tin

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilaa mie naona aladin inaelekea ukingon ad nguvu zinaniishia😖🥴🥴🥴

  • @npiperito19
    @npiperito19 2 ปีที่แล้ว +2

    Mumezidi sasa✔✔✔🔥🔥🔥

  • @user-hf6ye5jb1v
    @user-hf6ye5jb1v 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @djhboytz3993
    @djhboytz3993 2 ปีที่แล้ว +8

    Tunaomba na Ringo awekwe kwenye aladini

    • @ally1702
      @ally1702 2 ปีที่แล้ว +2

      Ringo ndo anaenda kununua nyumba uyo

    • @rehemaathuman6669
      @rehemaathuman6669 2 ปีที่แล้ว +4

      Kwenye seemu ya kilangaso ndo angekaa lingo

    • @kibasamohamedi8029
      @kibasamohamedi8029 2 ปีที่แล้ว +3

      @@rehemaathuman6669 kilangaso kafiti pale

    • @Lawimbosso
      @Lawimbosso 2 ปีที่แล้ว +2

      Kilangaso hapo ndo kawezea sanaa

    • @djhboytz3993
      @djhboytz3993 2 ปีที่แล้ว +2

      Jamaa katisha sana yani sema akiwekwa Ringo itakua tam sana kuliko savi

  • @dfrankie2139
    @dfrankie2139 2 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzur sana Kaz nzuri

  • @mchangeboy5928
    @mchangeboy5928 2 ปีที่แล้ว +5

    😁😁 DONDOSHA KWANZA ALADIN BABUUU

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 2 ปีที่แล้ว +14

    Back from Ukraine 🇺🇦 hiii movie hatar story nimeandika mwenyewe ,,,, natafuta tajir tufanye nae kazi...

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว +3

    Wee kubwa kuliko 🔥🔥

  • @alphamwasakyen7696
    @alphamwasakyen7696 2 ปีที่แล้ว +4

    gonga like kwa sisi wa mwazo

  • @fadhilfussi3637
    @fadhilfussi3637 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuriiiii🔥🔥🔥🔥

  • @axsarhodajaphet4479
    @axsarhodajaphet4479 2 ปีที่แล้ว +4

    Natamani kufanya Kaz na wewe kaka, Ila naamini one day yes

  • @ktwentynine4985
    @ktwentynine4985 2 ปีที่แล้ว

    Hiii mov nikiisbr kwa hamu sana,,,, Asante san white film kwa kutukmbk na kutbrdsh mashafk zenu

    • @georgemzigo7375
      @georgemzigo7375 2 ปีที่แล้ว

      Nawakubali sana Wakali wangu cku zote hamkosea One love broh!

  • @mtallitv9995
    @mtallitv9995 2 ปีที่แล้ว +4

    😄😄🤣🤣🤣 wa kwanza kulalekiii

  • @yockshanedssonking4572
    @yockshanedssonking4572 2 ปีที่แล้ว +2

    Haaaa mwanangu wamekupiga kidanilopu👌

  • @alikinehe6820
    @alikinehe6820 ปีที่แล้ว

    😊😊😊 Hawa watu wawil wanatisha san nawakubali

  • @allenchuma7292
    @allenchuma7292 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaan nilikuw naisubri kwa hamu zotee

  • @jamalmbuvi3383
    @jamalmbuvi3383 2 ปีที่แล้ว +46

    Wakwanza kama dawa... from Kenya

    • @abdulbora812
      @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +2

      Haha mimi wapili toka USA WAKWANZA SIMUONI

    • @reginankalyani3229
      @reginankalyani3229 2 ปีที่แล้ว +1

      Wakwanza Mimi...!!

    • @jamalmbuvi3383
      @jamalmbuvi3383 2 ปีที่แล้ว

      @@reginankalyani3229 🤣🤣🤣mm ndo niliwai wakwanza 🔥🔥

    • @jamalmbuvi3383
      @jamalmbuvi3383 2 ปีที่แล้ว

      @@abdulbora812 🤣🤣Abdul unanionea wivu mm ndo wakwanza

    • @abdulbora812
      @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +1

      Haha sijakataa but shikilia hapo mimi wa pili wakwanza simuoni hahaha

  • @jasiribeats4855
    @jasiribeats4855 2 ปีที่แล้ว +3

    Kubwakuliko😂😂

  • @abdulgwaru1049
    @abdulgwaru1049 2 ปีที่แล้ว

    Kali tu sna frm 254

  • @eliudmakambiofyouvzy3194
    @eliudmakambiofyouvzy3194 2 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur mabro

  • @allenchuma7292
    @allenchuma7292 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha daah hii kali shusha vitu broo

  • @selemanmazemle5188
    @selemanmazemle5188 2 ปีที่แล้ว +2

    Hili #BATO ni 🔥🔥🔥

  • @mdoutz7452
    @mdoutz7452 2 ปีที่แล้ว +4

    Mweupe mzee wangu we kila match we ni fainal umeua

  • @florajulius4247
    @florajulius4247 2 ปีที่แล้ว +2

    Mweupeeeeee Kama mweupeeeeee tiny white 🤪😜✌️

  • @eng.sultan4333
    @eng.sultan4333 2 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah sory tin mm sio wa kwanzaa🥺🥺🥺🥺nisamehee hvo hvoo

  • @KhadijaFauz-tq2tz
    @KhadijaFauz-tq2tz 7 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur

  • @janleyluckey8235
    @janleyluckey8235 2 ปีที่แล้ว +1

    Ety mchawi mwenzangu🤣🤣🤣

  • @smartndaipa3887
    @smartndaipa3887 2 ปีที่แล้ว

    Kazi iyenderee

  • @josephjosephati4841
    @josephjosephati4841 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ww n kipaj Cha kuigiza umebarikiwa na Mungu hiki Si tu kujifunza Mungu azid kupa maarifa

  • @clarencewilbat8598
    @clarencewilbat8598 2 ปีที่แล้ว +3

    Battle LA utani limerudi tenaaa

  • @matiasamos6134
    @matiasamos6134 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubari wazee wakunitoa mawazo

  • @edsonlipoka3632
    @edsonlipoka3632 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +8

    TINWHIT
    UMEZINGUA
    SANA UMEKUWA
    MCHAWI SANA
    unaalibu vipi mimba za watu
    Vip bwana mjinga sana wewe

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 2 ปีที่แล้ว +2

    Mumetisha sana

  • @dinabilemanga1703
    @dinabilemanga1703 ปีที่แล้ว

    Dingo na tini toka utani mnamechi mpaka leo
    Na wakubali sana

  • @usowabwana5428
    @usowabwana5428 2 ปีที่แล้ว +8

    TIN x Ringo x Masanyula 🔥🔥🔥

  • @godlizenmdee7123
    @godlizenmdee7123 2 ปีที่แล้ว

    Et mchawi mwenzangu 🤣😆🙌

  • @clementmdoe2211
    @clementmdoe2211 2 ปีที่แล้ว +1

    White Jojo yuko wapi. Nammiss sana

  • @simonmsangi8238
    @simonmsangi8238 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu wamekupiga kidownlow 🤣🤣🤣

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi juu ya kazi hongereni sana

  • @kassimmganga2603
    @kassimmganga2603 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha Sana martin

  • @nyimbizikamtima967
    @nyimbizikamtima967 2 ปีที่แล้ว

    Mwendelezo lini

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 2 ปีที่แล้ว +2

    Ringo Salamu umezipata🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hilalimohammed9396
    @hilalimohammed9396 2 ปีที่แล้ว +4

    Namuuliza Tin na Ringo. Mahokaz iliishia wapi?

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว

    Sikiza hivi mchawi mwenzangu

  • @reginankalyani3229
    @reginankalyani3229 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa cjui wa kwanza ☝️ nani

  • @pascalgasper403
    @pascalgasper403 2 ปีที่แล้ว

    Kazi iendelee

  • @mohamedsalim3498
    @mohamedsalim3498 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali San kaka

  • @donedaddy4561
    @donedaddy4561 2 ปีที่แล้ว +1

    ALADINI amenileta huku kwa speed ya kimbunga aseeee

  • @babutiffahgang6050
    @babutiffahgang6050 2 ปีที่แล้ว +1

    Lingo anajitetea kwa mkewe ajiongeze

  • @joelsichone3747
    @joelsichone3747 ปีที่แล้ว

    Tin white uchawi unakupendeza Broo

  • @fatumaselemani4319
    @fatumaselemani4319 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Asante sana washilika

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha aaaaaaaaaa pembe lang!mbe noma ringo

  • @kimofilmstz4684
    @kimofilmstz4684 2 ปีที่แล้ว

    nzr brother

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu wakiigiza pamoja wanatisha sanaa

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 2 ปีที่แล้ว

    YaaaaAn tin ni fund lkn ww tin Ringo ndo mnaendana balaaa na pale pa masoud angekaaa Ringo ingeua xanaaa,,,ngawa kilangaso amepatendea haki

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥❤🔥