Hakika Bila wokovu hakunaxmahali tunafika, maana unakosa kibali mbele za Baba. Kila asikilizae neno hili aamue kuokoka kama bado na awe balozi mzuri wa Kristu juutangaza wokovu na kuvuna nafsi. Kuna watu hawaokoki kwa sababu tu hawajui nini maana ya wokovu na thamani yake. Ni raha sana kuwa ndani ya Kristu na kupata amani ya Kristu. Mbarikiwe sana watumishi. Kwa Neno la majira.
Wewe unayetaka kuitwa mwana wa Mungu.,Kombolewa kwanza toka kwenye kifungo
Dhambi inatutenga na Mungu
Tumepungukiwa utukufu kwakua tunatenda dhambi na dhambi zinatuweka kwenye Vifungo.
Amen watumishi
Kila mmoja anahitaji wokovu,somo zuri sana hili....mbarikiwe watumishi
Wokovu ni tiketi!! Mungu anibadilishe kwa upya
I thank God Almighty kwa kunisaidia nisikize haya mafunzo barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Amina, Mwenyezi Mungu anisaidie niishi maisha ya kumpendeza.
Hakika Bila wokovu hakunaxmahali tunafika, maana unakosa kibali mbele za Baba. Kila asikilizae neno hili aamue kuokoka kama bado na awe balozi mzuri wa Kristu juutangaza wokovu na kuvuna nafsi.
Kuna watu hawaokoki kwa sababu tu hawajui nini maana ya wokovu na thamani yake. Ni raha sana kuwa ndani ya Kristu na kupata amani ya Kristu.
Mbarikiwe sana watumishi. Kwa Neno la majira.
Ameen ameen mtumishi ❤
Hii ni siku yangu,,, maana Mungu alinisikiliza sauti yangu
Nimebarikiwa sana kwa neno hili. BABA asante kwa kuachilia neno lako la baraka!
Ubarikiwe mtumishi kwa neno
I'm blessed
Be blessed Mamy,nimehudumumiwa sana sana
Asante sana ❤
I am so blessed. Thanks so much.
🙏🙏
🙌🙌