@@AlmukhbityTv kwanza niko na mushkel "JE ni jambo gani au hukumu ipi itafanywa na mtu aliyeweka nadhiri ya kuwa ALLAH S.W atakapo mtimizia jambo furani basi atatoa kitu furani mathalan alikuwa anaomba apate kazi na baada yakuipata iyo kazi atatoa sehemu ya mshahara wake wa kwnza kama swadaka lakini akaghafirika na anapikuja kukumbuka anajikuta ahadi anakumbuka ila kima cha sehemu ya mshahara wake aliotoa ahadi kuwa atatoa kama swadaka amesehau na anataka kutimiza ahadi yake aliyoiweka mbele ya ALLAH S.W " Tafadhari naomba muongozo na elimu juu ya hili
@@AlmukhbityTv Ikiwa mtu aliweka ahadi kuwa atatoa kitu furani kama shukran baada ya ALLAH S.W kumtumizia haja zake Lakini baada yakutimiziwa akawa amesahau na alipokuja kukumbuka yakuwa aliweka ahadi kuwa atatoa kitu Piya anajikuta amesahau idadi ya hesabu aliyoisema Mathalan:1 Mtu alisema mwenyezi MUNGU kama utanipa kazi furani nitatoa asilimia kadhaa kwenye mshahara wangu wa kwanza. Lakini anajikuta amesahau idadi aliyoiweka Je niipi huku yake au ni jambo lipi alifanye mtu huyu???
aamiin yaa RABB
Aamiin😢
❤
Assalam alaykum wa rahma tu LLAH wa barakatuh wa maghfiratuh
Waalaykum salam warahma tullah wabarakaatuh
@@AlmukhbityTv kwa majina naitwa Mubaraka Haamidu Rashid Muhammad Liwima
Tafadhari
Niko na mambo mawili nahitaji masahada kwayo
@@barackhaamidu5061 karibu
@@AlmukhbityTv kwanza niko na mushkel
"JE ni jambo gani au hukumu ipi itafanywa na mtu aliyeweka nadhiri ya kuwa ALLAH S.W atakapo mtimizia jambo furani basi atatoa kitu furani mathalan alikuwa anaomba apate kazi na baada yakuipata iyo kazi atatoa sehemu ya mshahara wake wa kwnza kama swadaka lakini akaghafirika na anapikuja kukumbuka anajikuta ahadi anakumbuka ila kima cha sehemu ya mshahara wake aliotoa ahadi kuwa atatoa kama swadaka amesehau na anataka kutimiza ahadi yake aliyoiweka mbele ya ALLAH S.W "
Tafadhari naomba muongozo na elimu juu ya hili
@@AlmukhbityTv Ikiwa mtu aliweka ahadi kuwa atatoa kitu furani kama shukran baada ya ALLAH S.W kumtumizia haja zake
Lakini baada yakutimiziwa akawa amesahau na alipokuja kukumbuka yakuwa aliweka ahadi kuwa atatoa kitu
Piya anajikuta amesahau idadi ya hesabu aliyoisema
Mathalan:1
Mtu alisema mwenyezi MUNGU kama utanipa kazi furani nitatoa asilimia kadhaa kwenye mshahara wangu wa kwanza.
Lakini anajikuta amesahau idadi aliyoiweka
Je niipi huku yake au ni jambo lipi alifanye mtu huyu???