Mwamba halali anatufurahisha kila kukicha kama unamkubali clam na unataka urudi kijijini kuregebisha mambo usipite bila kulike kenyan mko wapi 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kisa cha Kakoso kinavutia sana kiufupi kimefanya movie iwe tamu zaidi 😢😢😢😢 kuna muda mahusiano yana maumivu makali sana Mungu ange tupa macho ya siri tungeona Mengi na tungekufa kwa presha.
Tungekuwa na macho ya siri hakuna mtu angefanya ovu kwakuwa anajuwa watu wataona... Watu wanafanya kwa siri, gizani n.k ili wasijulikane... mtu akijua anaonekana hawezi fanya
This is wonderful, Tanzania Kuna vipaji, hii ni kubwa sana, Clam ametufundisha sana wabongo tujiamini tunaweza sana. Rest In Peace Kanumba. Clam is to full fill the gape
❤ kipande cha KAKOSO kimeifanya snake boy kuwa kubwa zaidi ❤ hii film imetumika akili nyingi ni international film sio Bongo Muvi kabisa. Ingewekewa maandishi ya kiingereza ingefika mbali zaidi 🔥
@@nyamiziramadhani4232 kila jambo linasiri nyingi hata ktk mafanikio ya mtu kuna siri nyingi ambazo hauwezi ambiwa. Mke unaweza kuwa unapokea matumizi kwa mume ukizania kazi anayoifanya ndiyo inakulisha kumbe ni tofauti kabisa.... Mambo ya kichepuka yenyewe yanategemeana na mtu alianzaje kabla ya ndoa. Kama mwanamke au mwanaume aliwahi kutembea na mtu kabla ya ndoa akioa/olewa kuna shetani humvuruga akili akilinganisha aliyenaye na aliye achana naye. Hapo ndipo tabia za kuchepuka huanzia. Lakini kwa walio mabikra mpaka wakaolewa na wakajistiri kisha kutulia makwao ni vigumu sana kuchepuka....
Daah Chaliangu Clam Na Kaka Director Kakoso Mnafanya Kazi Nzuri Sana Yenye Ubora Mkubwa Mnoo kwanzia Quality Sounds Actors Wote wanafit kwenye Majukumu Yao ... Daah lakini Angalau Fikisha DK 23 ... Sitaki Like Zenu Nyie WA Kwanza Maana waongo Sana
Me ndo wa mwisho kupita maeleZo maan apa Kila mtu wa kwanzaaa tyuuu wa mwisho wenzanguu come en romance my comment 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤😢kakoso utaona meng huu mwaka nakwambia 😂😂
Safari hii Clam nakupenda sanaa kwasababu unawahisha mwendelezo kama unakubaliana na mimi naomba like yako hapa jmn
th-cam.com/users/shortsEy_Efx9ifVw?si=TkfYqDgQGFbOX6PB
Kicheche anyoshe mikomo kwa clam🎉🎉🎉
Kama Ww ni muislam☝️☝️ No Unampenda Allah gonga Like apa🎉🎉🙏🙏🙏
❤❤❤
Binti yangu mshangaziii😅😅
Binti yangu mshangaziii😅😅
❤❤
jameni tunapenda sana hii movie ❤❤❤❤nipeni leke zangu toka drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Duh ngoma kali aisee , naona full happy zinazidi kwamatukio yanavyo kimbiza
Mtu wa pili leo from Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩, nipeni basi liké zangu😢 acheni ubaguzi
hii ngoma inazidi kuw kari,sema mnatuachaga na maswal mengi sana
Maswal gan
Mwamba halali anatufurahisha kila kukicha kama unamkubali clam na unataka urudi kijijini kuregebisha mambo usipite bila kulike kenyan mko wapi 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Izoo raiki za nani
anakufurahisha huo usiku asiolala au sio 😅
Tupo hapa😂😂😂❤❤🎉🎉
Tupo sana tukigonja #SaturdayDosage ya FLAQO😂
Tupo hapa
Kisa cha Kakoso kinavutia sana kiufupi kimefanya movie iwe tamu zaidi 😢😢😢😢 kuna muda mahusiano yana maumivu makali sana Mungu ange tupa macho ya siri tungeona Mengi na tungekufa kwa presha.
Ni kweli kabisa
Tungekuwa na macho ya siri hakuna mtu angefanya ovu kwakuwa anajuwa watu wataona... Watu wanafanya kwa siri, gizani n.k ili wasijulikane... mtu akijua anaonekana hawezi fanya
Daah kwakweli
Hakika
..Umeongea pwenti ❤
Nyie washamba kweli asa wte ni wakwanza aya bc me wamisho nipeni izo like ht 5 ty
Naona kila mmoja wa kwnza
Umeona😂😂😂❤
Umetishaa mwanangu❤❤❤❤ nimeipenda iyoo🎉🎉
😅😅
Wa misho sio😂
Guys mimi nataka like lakini sio wakwanza next time nataka kwa wakwanza kutoka Ethiopia ❤❤❤❤
Nimechelewa kweli lakini naombeni ata like tano angalau🎉🎉🎉❤❤
This is wonderful, Tanzania Kuna vipaji, hii ni kubwa sana, Clam ametufundisha sana wabongo tujiamini tunaweza sana. Rest In Peace Kanumba. Clam is to full fill the gape
Leo mm wakwanza nipate like zangu 🇰🇪 #mshangazii😂😂😂
😅😅😅
😂😂😂 kwani like mnakulaga
😁😂😂
😂😂😂😂😂
Who else is appreciating vile episodes zinatoka back to back
Mwakataboe highly talented and goodwill actor here is the like button for mwakatobe 🔥
Oyaaa ndio kuamka team strong mko wapi jmn tujitayarishe n futari hii nayo mpaka mwsho walai 😂🇰🇪🇸🇦♥️♥️♥️♥️clam VEVO tunakupenda saaana walai
Kazi safi VEVO n kikosi chako hongereni🎉🎉🎉❤❤❤shabiki wako from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤ kipande cha KAKOSO kimeifanya snake boy kuwa kubwa zaidi ❤ hii film imetumika akili nyingi ni international film sio Bongo Muvi kabisa. Ingewekewa maandishi ya kiingereza ingefika mbali zaidi 🔥
True🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@GideonMakoe 🤝
Nilisha wahi kushauri Hilo sana ila hajalifanyia kazi aneweka tafsiri ya maandishi ya kingereza
Ndoa zina sir nyng sanaaaa wallah
@@nyamiziramadhani4232 kila jambo linasiri nyingi hata ktk mafanikio ya mtu kuna siri nyingi ambazo hauwezi ambiwa. Mke unaweza kuwa unapokea matumizi kwa mume ukizania kazi anayoifanya ndiyo inakulisha kumbe ni tofauti kabisa.... Mambo ya kichepuka yenyewe yanategemeana na mtu alianzaje kabla ya ndoa. Kama mwanamke au mwanaume aliwahi kutembea na mtu kabla ya ndoa akioa/olewa kuna shetani humvuruga akili akilinganisha aliyenaye na aliye achana naye. Hapo ndipo tabia za kuchepuka huanzia. Lakini kwa walio mabikra mpaka wakaolewa na wakajistiri kisha kutulia makwao ni vigumu sana kuchepuka....
Namuonea huluma sana kakoso anapitia Hali ngumu like kama unaguswa na maumivu ya kakoso 😢😢
Wa kwanza from Dr congo nipe like zangu
Jaman na Mimi Leo nimekuwa wa mwisho😂😂naomba like zen😂😂
Jamani kula chuma apo kama una kubali clam Vevo gonga ❤❤ natoka Congo Drc Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like zangu
th-cam.com/users/shortsEy_Efx9ifVw?si=TkfYqDgQGFbOX6PB
Yaani me ndio wa mwisho sasa like zenu nipeni Mimi hapa mtu wa mwanzo🔥🔥🔥🔥
Ww ni mshangazi mwakatobe jinga sana 😂😂😂😂
Kama wewe ni fun wa Clamvevo juu ya hii movie nipe like,naifuatilia ata ikifika episode 50 nko,hongera sana Clamvevo much love from Kenya 💖💖💖
Wa kumi na moja sijawahi kuipata nafasi kama iyi kwenye snack boy jamani naombeni mauwa yangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mauwa yakplek wap kijana😂😂😂
Fanya kuongeza mda iwe hata na nusu saa tu mzee tuta enjoy zaid
Hongera kwa muwendelezo mzuri na kuwahisha kutuma hasa kipindi kichi cha Ramadhan unatufariji mno tulokuwa mbali ya Tanzania
iyo sio michongo yangu.....nilishaachaga😂🙌🙌
Jaman na mm like nawaomba ndugu zangu
Kenya 🇰🇪 muko wapi naombeni likes from mombasa.... clam nakutambuwa
Ndio naingia nipe form
wakwaza mimi jamani kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 nahomba like zangu wa kongomani pamoja na wa tanzania 🎉🎉
Tuko pamoko 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😊😊😊
@@manix243 manix uko ewani kabisa
🎉🎉
Kakoso pole sana bibi anazagamuliwa mpaka kwa nyumba yako Kama wamkubali kakoso gonga apo😂😂❤🎉🎉
Wakwanza kutoka Congo nipe leki zangu
Nipeni like jaman japo Leo nimechelewa wanao mkubali mwakatobe tujuwane Kwa like
Taratibu jmn mnanikanyaga...wote mtaona😂😂😂
Haahha ausio😂😂😂
Unatuzibq sasa apo mbele tuliza komwe sasa😂😂😂
Mwenzenu sikoment kitu chochote maana kila ni kikoment sipati hata LIKE
Leo wa nne mshabiki mpya clam vivo hata like 20 gonga 🎉
Hjjhh 8:29
th-cam.com/video/ORdSQKnx4nM/w-d-xo.htmlsi=7Gj6zmYB1pQy573I
th-cam.com/users/shortsEy_Efx9ifVw?si=TkfYqDgQGFbOX6PB
Kakoso unatufundisha mengi kwenye ndoa hakuna true love gonga like all the way from nyarwela
Sa Ivi Umetisha Bwa Mdogo..Weka Tuweke Hakuna Kupoa Kama Mwanzo
th-cam.com/users/shortsEy_Efx9ifVw?si=TkfYqDgQGFbOX6PB
Good job clam vevo hakika kazi yako ninzuri
Leo Niko wa kwaza 🇨🇩🇨🇩
Kila mtu n wakwanza basi m hapa n wa mwisho ila nakubali clam n timu yote kwa kutuletea kazi nzuri ❤❤❤
Kutoka Drc kalemie ni wa kwanza,,kakoso anatambuwa ukweli kuusu mke wake vipi ataendeeleya kuishi nayee ama vipii,,tunasubiri mwendelezo clam❤❤❤❤😊😊😊😊
Naomba like hata tano from zambia
Oyoooooo MUNGU akupe uzima uzid tutupa faraja kwa kazi zako
Kwan hiz like Zina Mana gan mbona wengine hatupewi jaman😢
Fomu Burundi nimekuwa wakwanza naomba link 10 tu
Radhani qareem guys leo wa kwanza kutoka pwani mafia gonga like 👍 kama unaamini mungu yupo pamoja na sisi kwa kila jambo❤❤
Jpo sio wa mwazo ila sjachelewa sana naomben bc na mm ata like 5 tu za kutokuchelewa😊😊 maua yao vevo🎉🎉🎉
Kazi nzuri timu clam mungu amiongeze inshaallah kwa Kila jambo ❤❤❤
Leo wa kwanza kabisa jemeni naomba munipambe n like z clam vevo
Wngpy wanakipaji cha kuigiza n wanaamini wtakuj kuwa n creativity bora kma y clam thumbs up wadau👍
Mimi leo wakwanza naomba like zangu😂😂🎉🎉❤❤, gonga like people ❤️
❤❤❤, Clam Vevo 💪💪 Big Boss....🇨🇩🇨🇩
Dah kakoso kapewa scene ngumu sana hii season ila yuko vizuri, maua yenu jamani 🎉🎉🎉🎉
@@IBRAHIMNJOGOPA-wk1sm naelewa kwahiyo kaamua kujipa scene ya kujiumiza asee
Afu uyo dada amevaa huo uhalisia wa kakoso vizuri Sana 😅😅😅😅 hongera yake 💪
Vevo jitaid kumnyoa kipala mana akiota nywele apendez na sini zake zina muitaj awe kipala kabsa❤
Daah Chaliangu Clam Na Kaka Director Kakoso Mnafanya Kazi Nzuri Sana Yenye Ubora Mkubwa Mnoo kwanzia Quality Sounds Actors Wote wanafit kwenye Majukumu Yao ... Daah lakini Angalau Fikisha DK 23 ... Sitaki Like Zenu Nyie WA Kwanza Maana waongo Sana
Me ndo wa mwisho kupita maeleZo maan apa Kila mtu wa kwanzaaa tyuuu wa mwisho wenzanguu come en romance my comment 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤😢kakoso utaona meng huu mwaka nakwambia 😂😂
tuma number
kazi zuri zumba kazi anayo kipara hanaga siri bola angendele kuumwa tu hapo wana kijiji watajuwa kama kakoso ni mwanamke 😂😂😂😂😂😂
Imagine this season ni motooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kama ni ngori kuliko season 1 piga like❤😂😂
Kali xan vevo🎉🎉🎉🎉
Much love from saudia Arabia really appreciate that vevo and people ❤❤❤🎉🎉🎉
Good job from 🇧🇮💐
🙏🙏🔥🔥Tunawapenda san
Eti huu mshangazi😂😂😂😂 mwakatobe bwana
Wakwanza jaman tafadhal nipen japo kumi
Duuh Cram unajua sana tena sana mkombozi wa bongo movie
Kipara umbea umbea, atasema siri yotee
I'am from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mmenifurahishaaa et hyu mshangazi ndoo umehusika na kifo cha baba yako mchukiww ukaumeze😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Clam vevo your the best of new generations 🎉 watch from Norway 🇳🇴 ❤
Mimi Niko Congo RDC napendaka Sana snake boy
Leo nimewahi pia sijachelewa sana naombeni hata likes Tano team mshangaziiii😂
Naombeni like jamañ hata kama kwa kuchelewa
Kakoso nduki oooh kidogo angepelekewa moto na muhuni hahahhaahahah😂😂😂😂
Hatariii snake boy ni noma sana 🔥🔥🔥💯💯💯💪
Mimi shida sio like me kile kitu nataka ni VEVO atuongezee kiwe kirefu kidogo
😂😂
Hiyo ndo point yangu pia😂😂
Na mimi Léo nimewayi nipe liké zangu
Watu mko fasta san leo nimechelew kidog
Ongeza dakika jameni ,hivi nawafuata kutoka congo
Wakwanza kutoka Zambia nipeni like zangu jameni
Nimekuwahi Zambia Lusaka
Zambia Kasumbaresa 🇿🇲
@@tajilimtoto5009 I see
clam your so genius we nomah blood🎉🎉🎉
Wakwanza na mm leo
Unakuta mwanaume mzima mi wa kwanza naomba like mtapakwa mafuta
Wewe vivo unatisha sana
Daah mwakatobe genius aiseeh unajuwa sanaaa🙌🙌🙌🙌🙌👏👏
Clam we ni noma kaka piga kazi❤
Wow mkomboz karud nmefurahi sanaaa💪💪🏼🤗
🎉🎉❤nani amenotic siku hizi wanatoa video haraka haraka
Hawatoi haraka haraka et wanachelewa bhna
Hiyo hamuuuuuuuuuuu kama ya jua kali hivi
Kipara wewe unaumbea hadi umemutambuwa kakoso😅😅😅😅🎉🎉🎉 like angusheni🎉🎉🎉
Kipara kiboko😂😂😂😂😂 loohhh
😂😂😂hanaga tabia za umbea umbea
😂😂😂
Kama unavyonijua sinaga tabia za umbea umbea😂
😅😅😅😅😅😅 we Huogopi??
Wangapi wanasubl Kwa hamu kumuona Young money
Wakwanza ni mm nipeni like zangu
mbon mwaifnya fup san jamaan 😂
Bila kusahau nawapenda sana❤❤
VEVO unajua sanaaa kuingiza wewe na timu yako yote mpo vzur
Hapo sawa kbs
Jamn hata like hamtak kunipa dah😞😞
Kweli Hii Ramadhani nipo hapa hapa nimepigwa sawa lakini naombeni jpo 3 bas from Omani 🇴🇲
Team labani taali shuwaiya😂😂
sio michongo yangu nishaachaga kipara wana man i love your work bro
Wa kwanz from Tz naomben likes zang
Clam nifundi wa tz,esboy clever kutoka DRC