Kwa kweli dunia ina mambo,,wengine wakifurahi kuna wanalia,,,.mabaya ulipwa kwa mabaya,chiko leo mwisho wako.wanao furahia kukamamtwa kwa chiko like hapa.🎉🎉
Kusema kweli house girl iliandaliwa inaubunifu kila mutu amevaa nafasi Yake. Kwenye mwaka 2024 iyi nikati yazile number moja maana inavutu viengi sana.
Jordan unakumnuka ukipiga magoti kuomb kipara alikuja na kukuulz unamiaka ngap na je ukiend jela 😢, ukajb ufoforiro bila kujia yeye n nan pole sn ,wapi like za kipara mtelezo😊😊
Nilisemaje mim kipara mtelezo hayuko pamoja na chika😅😅😅😅tuwape hongera deniel na kipara maua Yao💐💐💐💐🇰🇪from Kenya,Tasha pole na usijali utapona ishallah.
Kiukweli nimetowa chozi kwa kitendo chiko aloo mufanyia tasha😢😢😢 kwa upande wa halusi ya kibendu hizi 'ngoma zimenuchangamusha 😮😮 najinsi Huku saudia baridi imekuja wapiga ngoma❤❤❤❤ Tasha utapona
Hapa naanza kula ubwbwa Kwa kibendu nishibe Kisha napitia hospital na zawad kumuona mtoto namalizia hospital Tena kulia na mama Tasha ila wakati huo nimeshashiba😂😂😂😂😂
Ama kweli rafiki niyule akufaaye wakati wa dhiki nimefurai kukuona Kai umeweza kumuacha mkeo zuu hospitalini na kukimbilia hospitalini aliko Mr. Tasha❤❤. Na pia nafurai kukamatwa kwa huyu binadamu alie na roho yakishetani chiko kipochi manyoya mbwa wewe utolewe kabisa apa ndani unaharibu na kutoa furaha ya mashabiki
Pole Mr Tasha Kwa unyama uliofanyiwa na chiko,asante Kai kwenda kumona Tasha hospitalini.naye zuu hongera Kwa kuzaa Mtoto mvulana🎉🎉 kibendu umependeza Kwa kupata chiko.
Weweee💃💃🤣🤣maullidi Hadi raha 😂ya chiko hayatuusu,amelikoroga mwenyewe naalinywe asikie utamu wk😂😂lkn Sania nakutafuta maulidini sikuoni niko hapa nyuma y tent🎉😂😂😂😂😂😂
Waooooooooo kipara mtelezo kumbe soja kaingia kwa kishindo Chezea wewe yaani hutoki,Chiko acha kelele we nenda muuwaji wewe,haya kai ulikuwa umalalamika vipi baada ya kupata taarifa,Jamani mama tasha pole sana Zatiti wetu jamani pole kipenzi
Pole sna mma tasha pmja n zatiti😢💔chiko utalipia huu ni uuwaji ulioufanya😢 😭😭 zuu hongera kujifunguwa ❤mr tasha nmelia mimi kukuona kwenye halinhiyo Mungu akuokoe akujalie shifaa ya haraka 🙏😢kibendu n keina mabrouk in advance ❤
Kipara maelezo hongera sana ww ni S I D mzuri sana yaan part yako ya uaskari wa upelezi umeutendea haki wallah mm sikuwahi Amini Kam kipala maelezo alikuja kam askari mm nilidhani ni muhuni kumbe siad waaah Chiko hakuwahi jua anacheza dili zake na siad nenda ukaozee jela Tasha nae Mungu akupe afueni ya haraka inshaAllah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
Bonyeza link kujiunga group la WhatsApp la mashabiki wa house girl 👇
chat.whatsapp.com/FO70mhi1wWF9xNBRUPBDT8
@@busatitv nielekeze bas maana najarbu nashindwa please
❤❤❤❤❤🎉❤😂
@@busatitv siti
@@busatitv mbona tukiponyeza hiyo link aielewek
naitaji kujiunga ila na jaribu na shindwa na itaji maelekezo
Tulio umia kwakitendo alicho fanyiwa mr tasha tujuane jamani😢😢😢😢
Ssnaa huruma
@SabrahNibuka kwann jaman
@@WistoniSiliveri Mr Tasha nimtu mwema sana
mm nimeumia san kwa kitendo alichofanyiwa mr tasha
@@swwumukizenga yaan hadi chozi mimi limenitoka hapo hsptl
Nyie tulioumizwa na tasha kumwagiwa tindikali 😢😢tugonge like na tujuane maana inasikitisha
Warie penda gukamatwa kwa chiko munipe like nawapenda sana❤❤
Yaaan Mimi wakwanza hapaaaa kamtaabisha Sana Tasha wetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kuwah ndio. Unyama tulioangalia mission impossible tukahamia huku gonga like hapa tujuane 😂😂😂😂😂 mambo ni motooooh
Tupooooo 🎉
Yaan hum to humu to🤣🤣🤣kule mjomba wa ngwengwe karud uku kipara mtelezo Kala suti 🏃🏃🏃
😂😂cheus nae amsalit Najma@@JosephineJoneslucas
Leo mission impossible 😢 sio zuri
😂😂😂 tupo kote
Kama ulijua kuwa kipara mtelezo ndio askari aliyekuja gonga like 😂😂🙌
Kabsaa
@MwanaMwana-f8f Hana bahati mpumbavu huyo 😂😂🤌
Hahaaaaaaa mi sikujua bhana niliona tu viatu vinalia koto, koto, koto 😂😂😂😂😂 kumbe kipalatelezo😂😂😂
New it na nikawacha comment
😂😂😂😂@@JescaYusuph-m4y
Wangapi tumefurahishwa na utendaji kazi wa inspector kipara mterezo chiko kuingia kwenye 18 zake tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Mimi hapa❤❤❤❤🎉🎉🎉😂
Yaan mm nimecheka Sana kuona hiyo luuk ya buti na suti mnyama halafu mwishowe nikapata nikipata mtelezo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimefurahi Sana chiko kutiwa gerezani.
😅😅😅ndo maana Kila mission walikuwa wakipanga na kiparamtelezo haziendi sawa kumbe askari uyoo😅😅
wa kwanza kutoka saudia like zangu hapa wameopendezwa chiko kukamatwa🎉🎉
Kwa kweli dunia ina mambo,,wengine wakifurahi kuna wanalia,,,.mabaya ulipwa kwa mabaya,chiko leo mwisho wako.wanao furahia kukamamtwa kwa chiko like hapa.🎉🎉
Mashallah leo mapm ijumaa krm wana busat Allah atujalie tuwe na maisha maref yeny mafanikion na atujalie mwsho mwem ❤❤❤❤❤ ishallah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏽
Amiin inshallah ❤
Kama umefurahi kukamatwa kwa chiko tujuane😂❤❤❤
Hiki kipande Cha harusi kimekuwa kirefu sana bhn mpaka kinaboa Yan 😒😒kama wakubaliana na mm weka like hapo tujuane💪
Mm huwa nakiruka ruka kwa kweli
Arusi inapoteza mda mpaka kero wai
Aliyefuraia chiko kuambulia patupu gonga like tukingojea next mission 😅❤
Tulio miss candy tujuwne😢😂❤❤
😢😢mm apa nammiss kendy
hii ni moja kati ya season kali kuwahi kutokea kwa hapa tz mpewe maua yenu team nzima ya busati 🌹
😂😂😂kipal muterezo unanifany niijoy kbx kwakumusalit chik mauw niyak🎉🎉🎉🎉🎉
Harusi tunayo,,mtoto tunaye,,,hospitali tunaenda kunwona tasha na jela tunampeleka chiko kipindi kinafurahisha jamani next jamani😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hekaheka leo😂😂😂😂😂😂
Umepiga mwingi😅😅😅
Ndoa ya kibendu nzuri jaman kwahizo rikaa mansha Allah 😍❤❤❤
Waliofurahi kwa alichokifanya kipara mtelezo weka like hapaaa 🥰🥰🥰🥰
Masozi na kitumbo chake🤣adi raha😅 ila Tasha kajua tuliza jmny🥺
Leo wa4 jmn nimewai pia like zang🎉weny wamefurahishwa na kipara mterezo kua mpererezi gonga hapa tukisonga🎉🎉🎉🎉
Chiko kazi unayo sisi kama watu wa saudi Arabia tunaraha sanaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisaa
tujuwane mwesangu sasa
@@NicholasYego-o8u chiko ajifanya anamaneno mengi leo kimemramba Daniel na kipara mtelezo wanastahili zawadi kwa kazi nzuri 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂ata oman tunamjua chiko
Nmecheka😂😂😂 🙌
Nlikua 2 njua kipara mtelozo atakua upande wa tasha,maua kwake🎉🎉🎉
Wa Tasha au chiko
Wa tasha@@JosephineJoneslucas
Jameni mnipe hata like moja from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 waliofurahi kukamatwa kwa chiko gonga likes
Funzo kubwa sana yaani duniani wengine wakipata raha wengine wanalia wengine wanaongezeka wengine wanapungua big up team busati 🎉🎉🎉😂
Tulopenda kipara mtelozo kuwa afande mpelelezi like hapa
pia ana sauti nzuri
@lovenessmallya816 year
Kipala mterezo kaz nzuri sana, pole sana Mr Tasha mungu ajalie upone
Nimeumia sana Mr tasha kwa kitendo alichofanyiwa hadi kwa kibendu nahisi hakunivuti kabisa
Kwa kweli mwisho WA ubaya aibu😢😢 chiko kimekuramba Sasa ila umekosea Mr Tasha wetu
Mungu ATULINDE na kutuepusha na marafiki wabaya,maana apa duniani tunaishi kwa kuaminiana huku tukiwa hatujuwi mzuri ni yupi na mbaya ni yupi.
Kabisa 💯
Kipala mtelezo umetisha baba chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huku harusi huku wengine wanageukana 😢 patamu apo😂😂😂
Ulesahau wakujifunguwa😂😂😂
@RizikiZiki ooh kweli bwana, na pia tumpe pole mr tasha jaman🙄
Patamu mwanzo mwisho wiiiii😂😂😂😂😂 Chiko pole yako 😂😂🙌🙌🙌🙌
Jana nilicoment kwamba maybe huyo askari ni kipara mtelezo kumbe ni kweli nilitabiri ukweli any like from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kusema kweli house girl iliandaliwa inaubunifu kila mutu amevaa nafasi Yake. Kwenye mwaka 2024 iyi nikati yazile number moja maana inavutu viengi sana.
Tulio Toka mission impossible tukaenda penzi la dada wa kazi tunamalizia hapa hause girl tujuane 😂😂😂😂😂😂
Jordan unakumnuka ukipiga magoti kuomb kipara alikuja na kukuulz unamiaka ngap na je ukiend jela 😢, ukajb ufoforiro bila kujia yeye n nan pole sn ,wapi like za kipara mtelezo😊😊
Uliskiaaa ubaya ubwela ndio huuuu kipara mtelezoo😂😂😂😂amechezaaa Kam tikitakaaa ya mayele😂😂😂😂😂
Kachez km pere❤
Hiii move imenipa Raha sjui tuende kwa Tasha hospital sjui niende kumpokea mtt wa Kai bee sjui niende harusini .. sjui nimpeleke chiko lokapu uwiiiii kichwa kinawaka Moto Apo.😂😂😂😂😂😂
😂😂😂wewe tena
😂😂😂😂😂😂😂 polee
kuna msiba wa dada rahma jamn 😴😴😴😴
Yaan mambo ni meng mda mchache kumechangamka baraa
😭😭😭😭😭😭nimekumis San kwahil ya Mr Tasha na familia yake tufariji kwa ❤❤❤❤❤❤❤ doctor Fanya jambo Tash apone
Nawapenda sana,jamani kutoka kenya mnipe like
Haya njoo umtoe ndugu yako chiko kila siku ndugu zake wa Kenya,,Saudia, Dubai
Nilijua tu ni kipara mtelezo anaingia wapi like zake jamani🎉🎉🎉
Ndoomaana kipara mtelezo nilikuwa namuhisi sana kuwa hayuko sahii nakazi za chiko,kumbe niasikali mpelelezi😱😱chiko kafie jera huko nyang'au mkubwa
Kipara mtelezo wanamchukulia poa😂
Nilisemaje mim kipara mtelezo hayuko pamoja na chika😅😅😅😅tuwape hongera deniel na kipara maua Yao💐💐💐💐🇰🇪from Kenya,Tasha pole na usijali utapona ishallah.
Chiko humu Tu kaichezee jera😂😂😂
Kiukweli nimetowa chozi kwa kitendo chiko aloo mufanyia tasha😢😢😢 kwa upande wa halusi ya kibendu hizi 'ngoma zimenuchangamusha 😮😮 najinsi Huku saudia baridi imekuja wapiga ngoma❤❤❤❤ Tasha utapona
Hapa naanza kula ubwbwa Kwa kibendu nishibe Kisha napitia hospital na zawad kumuona mtoto namalizia hospital Tena kulia na mama Tasha ila wakati huo nimeshashiba😂😂😂😂😂
Uzuni 😢 ilatasha kah sio kwa kuchuna huko 😂😂😂😂😂😮
Ama kweli rafiki niyule akufaaye wakati wa dhiki nimefurai kukuona Kai umeweza kumuacha mkeo zuu hospitalini na kukimbilia hospitalini aliko Mr. Tasha❤❤. Na pia nafurai kukamatwa kwa huyu binadamu alie na roho yakishetani chiko kipochi manyoya mbwa wewe utolewe kabisa apa ndani unaharibu na kutoa furaha ya mashabiki
Kumbe zatiti ni mtoto wa clam vevo 🌹 🌹
Khai nimeona kama vile ndiye alikuwa na uchungu wa kuzaa jmn 😂waah zuu hongera kumuheshimisha khai wetu
Anguka nayo inspector Jafari Supa❤
Wenye roho ndogo tushatoa machoz yan duu yan nimelia sana mr tasha tunaomba Mwenyez MUNGU akufanyie wepes upone😭😭
Tunaolia na mama Tasha tujuane 😭😭
😭😭😭 mwenyezi mungu mponye Tasha🙏🙏🙏🙏
Jmn nimejikuta machozi amedodoka
Yaan mm chozi limenitoka😢😢 badaye nikakumbuka mwenzangu kumbe wanaingiza hela nikajikuta najicheka mwenyew😂😂
@@EsterWambura-vr6og 🤣🤣🤣🤣
Hayo madufu tumeyachoka sasa ☹️tunatak biharus na bwana harus au mnasemaje wananzengo wenzang
Ni kweli kbs
@@nesttv68 afu madufu yenyew Yana mdundo mbaya tunataka wanandoa wapya
Kabisa yn😂😂😂
@@BvnLiquorstore ngoja tuzid kusubiria 😃
Walio furahi Chiko kwenda jela like japo moja
Hapa hata sijui nijigawe vipi harusini nataka huko kwa kesi ya madawa ya kulevya 😂ila huko kwa kuzaliwa baby boy ndio muhimu 😅
Chiko nilikuwaka na kuambiya kama na kuchukiya sana asante sana kukuona leo umekamatwa😂😂😂😂
Toba kipara mtelezo ni polis yereeeeew
Ngoj akuskiy unamwit ivy😅
Chiko chiko munaemdani n rafiki yko kumbe ndie adui yko yn hapa patamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daahh kama kweli vile ila pole sana mr tasha mwenyezi mungu akuongaze nimelia sana pole sana mr tasha hii ndo dunia❤❤❤❤
Kila mwanzo unamwisho 👏👏 wake kwisha Chiko 😀😀😀
wanao lia kwa kitendo alichofanyiwa mr tashoa mgonge like 😢😢
Iki kipindi kimeniingia akilini adi jana nikakiota😂😂 eti ndowa ya keina imeshinda keina akawa analia sana 😂😂😂😂😂😂 ndoto zengine nyie 😂😂😂😂
Umeuwa😂😂😂😂😂
Pole Mr Tasha Kwa unyama uliofanyiwa na chiko,asante Kai kwenda kumona Tasha hospitalini.naye zuu hongera Kwa kuzaa Mtoto mvulana🎉🎉 kibendu umependeza Kwa kupata chiko.
Tuliye furaia chiko kukamatwa jamani tujuane🎉🎉🎉🎉😂
Pole sana Mr Tasha mungu akuponye ,familia ya Mt Tasha poleni sana jipeni moyo satiti
Waaàh huyu afande kipara mtèlezo anajua kazi yake😂😂😂 achukue tu mauwa yeke ❤❤❤❤🎉🎉from Kenya 🇰🇪
Nljua nkipara 🤣🤣chiko kimekurba 😂😂
Tuliofurahi mbio za sakafun za chiko kuishia ukingon tujuane ❤❤❤❤
Mimba ya masozi inakuwa haraka sana 😂 nnaisi inakimbizana na mwaka mpya😅
Nongera sana Kipara mterezo umecheza vizuri 🎉
Chikooo pole Yako 😂😂😂
Wooooow utabiri wangu wa tangu nikuone kipara mterezo hakuwa anafrahia kabisa mipangi Yao pongez Sana mtereeeeeezoooooo🎉🎉🎉🎉🎉
Wanaokubali chiko kwenda kulipia madhambi yake gonga like hapa
Pole Sana Mama tasha wanguu yatapitaaaàaa😢😢...
Much love to inspector Jafarii❤❤
Wakwanza leo nipeni like
Weweee💃💃🤣🤣maullidi Hadi raha 😂ya chiko hayatuusu,amelikoroga mwenyewe naalinywe asikie utamu wk😂😂lkn Sania nakutafuta maulidini sikuoni niko hapa nyuma y tent🎉😂😂😂😂😂😂
Waooooooooo kipara mtelezo kumbe soja kaingia kwa kishindo Chezea wewe yaani hutoki,Chiko acha kelele we nenda muuwaji wewe,haya kai ulikuwa umalalamika vipi baada ya kupata taarifa,Jamani mama tasha pole sana Zatiti wetu jamani pole kipenzi
The first to day. 🎉
Tindikali kwa kiingereza nn tafadhali aliye najibu anisaidie
Jamani mr Tasha we2 mungu akusaidie inshallah maana chiko ana tabia mbaya
team Melisa,tukafata mission impossible,sahii tumemalzia house girl...kote mmbo 🔥🔥tujuane kwa ❤❤❤😂😂😂
Wanaokubali kazi ya kipara gonga na like ❤❤
Kazi nzuri sana team Busati tv🪴🪴🪴🪴🪴🤛
Pole sana Mr, Tasha,, Mwenyezi MUNGU Akupe UPONYAJI WAHARAKA 🙏🙏🙏
Leo hii chiiko umegonga mwamba ulichokifuta umekipata na hakuna mwanzo yana kosa mwisho ila asante sana Daniel Mdimu kwa kutambua ukweli na roho nzuri
Congratulations 👏 kai na zuu wetu,kibendu na keyna....na Pole sana kwa Tasha wetu pia😢
Chiko kayakanyaga mwisho wake umefika😂
Kipara ongera sana 🎉🎉🎉,Chiko kwisha habari yako 😂😂😂nenda kaoze jela 😂😂 Mungu msaidie Tasha Wetu
Waaaah ak ple sna Mr tasha utapon kwaimani ybwana🙏🙏ila chiko namuchukia snaa iseii aende akaozee jela wallah
😂😂😂😂😂😂😂 congratulations MR chiko 😂😂😂😂 chiko and prison must shine
Pole sna mma tasha pmja n zatiti😢💔chiko utalipia huu ni uuwaji ulioufanya😢 😭😭 zuu hongera kujifunguwa ❤mr tasha nmelia mimi kukuona kwenye halinhiyo Mungu akuokoe akujalie shifaa ya haraka 🙏😢kibendu n keina mabrouk in advance ❤
Pole sana Mr Tasha 😭😭😭😭😭😭😭 mungu akuponye Kwa haraka daaaah Inauma sana japo ni movie lkn yaliza 😢😢😢😢😢
Kipara maelezo hongera sana ww ni S I D mzuri sana yaan part yako ya uaskari wa upelezi umeutendea haki wallah mm sikuwahi Amini Kam kipala maelezo alikuja kam askari mm nilidhani ni muhuni kumbe siad waaah Chiko hakuwahi jua anacheza dili zake na siad nenda ukaozee jela Tasha nae Mungu akupe afueni ya haraka inshaAllah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
Nafurai sana kukamatwa kwa chiko kwa sababu nimuaji nawapenda sana busati Kai n'a ms tasha
Chiko Leo kimekuramba,Tasha wetu nafaa ya haraka unapenda sana mkewe,
Ooh 🎉🎉🎉mauwa yako kiparq mtelezo 😂😂kumbe ni Spayy.. dduh Chiko umelikanyaga baba
Very good chiko,bravor with your 😅😅😅😅😅😅😅
Sania umependeza kwa kweli chukua maua 🎉🎉🎉🎉🎉♥️♥️♥️kutoka Kenya
Chako sisi ndugu zako wa kenya na saudia tuna sema hongera sana kwa kushikwa tuachie zatiti wetu na amani