Hamjambo marafiki? Jina langu ni Eduardo. Ninatoka nchi Costa Rica. Kwa hiyo, ninaongea Kispanish na Kiingereza. Lugha zote zinapendeza. Niliamua kujifunza Kiswahili kwa sababu ningependa kutembelea Afrika Mashariki siku moja, na Kiswahili ni muhimu kama lugha kimataifa. Naomba kuuliza kitu fulani. Kuna mtu anayetaka kufanya mazoezi nami? Asante sana!!!
Asante sana.. ninafurahia kazi nzuri ya kusoma Kiswahili....Nitumie arafa kwa hii nambari ya simu(+254701216458) kisha nitakuunga kwenye kundi letu la Whatsp ili ufanye mazoezi ya kuzungumza Kiswahili... Mimi nimefurahi kuwa unajikaza kuzungumza Kiswahili.. hatimaye juhudi zako zitazaa matunda.. Pia mimi ninajua Kihipaniola kidogo tu.. mathalani..“La clase de Swahili 😃"
I learnt many words, leta, baada, baada ya dhiki faraja, etc. Nice lesson
Asante sana mwalimu
asante sana mwalimu wetu _ swahili vizuri sana
Asante sana
Asante Sana mwalimu mungu akubarike Sana mimi ni Andrew kutoka 🇺🇬
Amina 🙏
Safi Mwalimu
Kazi nzuri, mwalimu Abdulkarim. Darasa lako linatusaidia wote.
Asante
Hey Hey nice video
nice one mwalimu
Sasa ninahitaji kulala. Baadaye! :) Thank you for another excellent video with time expressions. Very helpful!
Sawa...kubwa na usiku mwema
thanks alot teacher
asante mwalimu
Kazi nzuri 👍
Barikiwa mwalimu
Amina
Unasura nzuri sana :)
Asante 😊
Asante mwalimu. Tutaonana baadaye
Ninacheza,ninasoma,ninalala,,,am learning
Nice teaching
Nitafanya kazi yoyote bada ya kukula
Vizuri ✅
Ni nadra kujua mtu kama wewe.....
Asante kwa masomo yako mazuri ♥️
Asante sana
Kazi nzuri
asante
Hamjambo marafiki? Jina langu ni Eduardo. Ninatoka nchi Costa Rica. Kwa hiyo, ninaongea Kispanish na Kiingereza. Lugha zote zinapendeza. Niliamua kujifunza Kiswahili kwa sababu ningependa kutembelea Afrika Mashariki siku moja, na Kiswahili ni muhimu kama lugha kimataifa.
Naomba kuuliza kitu fulani. Kuna mtu anayetaka kufanya mazoezi nami?
Asante sana!!!
Asante sana.. ninafurahia kazi nzuri ya kusoma Kiswahili....Nitumie arafa kwa hii nambari ya simu(+254701216458) kisha nitakuunga kwenye kundi letu la Whatsp ili ufanye mazoezi ya kuzungumza Kiswahili...
Mimi nimefurahi kuwa unajikaza kuzungumza Kiswahili.. hatimaye juhudi zako zitazaa matunda..
Pia mimi ninajua Kihipaniola kidogo tu.. mathalani..“La clase de Swahili 😃"
Very nice
Nice clip there
Asante
this is good
Sasa mama wangu kupika chakula
thanks
You're welcome!
Ninasomea sasa..(I am reading now.)
Ninatumia simu sasa
Ni nadra kwa watoto kulala baada ya kula
Vizuri sana 👏
Nitasoma Kiswahili baadaye.
Vizuri sana 👏👏👏
Hata kama ukitumia alionekana baada ya siku mbili
Ndiyo ni sahihi
Nita zungumza nawe baadaye, sasa nishunghuli
Sawa sawa
Nice teaching