HII NDIO SABABU KUBWA YA BABA LEVO KUTOMPIGA HARMONIZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 163

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 11 หลายเดือนก่อน +33

    Mwanaume mshindi na bingwa ni yule anae control hasira zake pale anapokosewa.. big up baba levo.. wenye hekima watakuelewa ila wasio jielewa wataishia tu kukucheka na kukudharau.. pole sana ila hongera kwa ustarabu uliouonyesha mbele ya mwenzio...

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa huyu anatofauti gani na ww? Wte mashangingi tu, na hyu katumwa muda mrefu kuharibu brand ya konde ila hawamuwez. Wasafi asilimia kubwa mashoga kaguswa kidgo analalama kapgwa si uchoko kabisa

    • @adambezema6059
      @adambezema6059 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabsa

    • @yasini5794
      @yasini5794 11 หลายเดือนก่อน +3

      Sio ustaarabu Hana nguvu ya kumpiga konde

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 11 หลายเดือนก่อน

      @@yasini5794 humjui baba levo ww.. huyu baba levo aliwahi kumpiga traffic mpaka akafungwa gerezani mwaka MMOJA.. huyo konde wako anategemea mabaunsa wake.. kama vp nenda ukamchokoze mke wake ndio utamjua kama ana nguvu au lah.. acha ushabiki wa kipumbavu ww.. alicho kifanya levo ni mfano wa kuigwa na jamii.. ugomvi haunaga faida zaidi ya hasara na majuto.. wenye hekima tumemuelewa levo....

    • @Anuaryomary-su9cd
      @Anuaryomary-su9cd 11 หลายเดือนก่อน

      Ustaarabu gan yeye all time maneno tu kwa mwanaume mwenzie sio uchoko nin sasa sawasawa tu kushonwa apunguze ushoga 😅

  • @abdulmalikali9063
    @abdulmalikali9063 11 หลายเดือนก่อน +3

    Positive news concerning harmonize is posted at all BUT negative news about him is promoted with so much energy... That's why GOD keeps on blessing him...

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 11 หลายเดือนก่อน +8

    Baba revel nimekuelewa sana

  • @Sarakasiworld
    @Sarakasiworld 6 หลายเดือนก่อน

    Kufa tena 😂 this guy is funny even in pain ..

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 11 หลายเดือนก่อน +5

    Baba Revo pole sana !

  • @EmanuelNicholaus-vn9gl
    @EmanuelNicholaus-vn9gl 11 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu dogo bangi zinamsumbua 😮

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahaa!Mbona jinai,Mbona kufa sikumbili hizi nimeCheka kifipa ungasandoka

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 11 หลายเดือนก่อน +2

    W2 2po .msibani na aka kajamaa kanajiita bba levo et kamepigwa iyooo vp🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 11 หลายเดือนก่อน +1

    Team mashoga WCB nzima harmonize anawapa stress mpaka mkaoa zuchu ambaye kafanana na harmonize shenzi sana

    • @erickmisilakuba6426
      @erickmisilakuba6426 11 หลายเดือนก่อน

      Huyo mla panya mwenyew kareft group

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 11 หลายเดือนก่อน

      @@erickmisilakuba6426 jinyonge basi

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 11 หลายเดือนก่อน +1

      Korosho wa kugombania pesa 😊

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 11 หลายเดือนก่อน

      @@sulleymernmannarah7930 jinyonge basi

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mama yako kafanana na harmorapa 😂😂

  • @PatrickMwamba-p7w
    @PatrickMwamba-p7w 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wasafi tunaomba kiki ya Baba Levo na Harmonize isiwekwe tena kwenye News za Wasafi...lengo yao ni kuzima MAPOZ....Baba Levo amelipwa na Harmonize 💯💯

  • @nyangevigody8849
    @nyangevigody8849 11 หลายเดือนก่อน +2

    Colabo very soon babalevo ft harmonize

  • @EdsonPaulo-mn1hd
    @EdsonPaulo-mn1hd 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mamikono magumu nigumzo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ABEERSHOP
    @ABEERSHOP 11 หลายเดือนก่อน +5

    Jela si pazur baba levo awezi kusahau awakuwa diwani akampiga trafic akapeleka jela mwaka mmoja akawaacha wananchi wa kitongoji chake wanateseka ongera kwa kutumia busara wapumbavu ndo awatakuelewa waelevu ndo tunakuelewa

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 11 หลายเดือนก่อน +3

    yaani tanzania munapenda mambo madogo.wanaume wawili wanagombana.mnafanya kuwa kubwa.hamjaona vita nini.njooni huku muone wawili wamepigana moja anondoka bila sikio.au mkona.Acha huyu baba levo anapapaswa kidogo basi anaona kapigwa.mjinga huyu jamaa .njoo huku tukuonyeshe maana ya kupigwa.unaondoka bila ulimi

  • @Younomane
    @Younomane 11 หลายเดือนก่อน

    BABALEVO nimkosaadabu

  • @jonesbaraka7506
    @jonesbaraka7506 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sidhani harmonize anaeza mpiga levo kabisa

    • @francisgituti2494
      @francisgituti2494 11 หลายเดือนก่อน

      Hilo ni shambulio not jinai

  • @KstarUnstoppable-rn2xe
    @KstarUnstoppable-rn2xe 10 หลายเดือนก่อน

    Blavo baba levo

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 11 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂baba levo unge kufa tu acha kudeka😅

  • @YegonDenis-iq2rf
    @YegonDenis-iq2rf 11 หลายเดือนก่อน

    Na bdo kapisa kumbafu sana mama levo😅😅😅

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 11 หลายเดือนก่อน +4

    MAMIKONO MAGUMU NDO KANIKABA NAYO😊😊,,MTUACHE TUZIKE KWANZA,,MTAENDELEA

    • @zuhurasidihatibu4774
      @zuhurasidihatibu4774 11 หลายเดือนก่อน

      Yan nimecheka km mazur

    • @Max9_captain
      @Max9_captain 11 หลายเดือนก่อน

      ndo mikono ya wanaume hio hajawahi kutana nayo, kweli kamelegea

  • @LeticiaLucas-z2p
    @LeticiaLucas-z2p 11 หลายเดือนก่อน +1

    Harmonize waku angaika na milioni tano😂😂😂😂

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

    Harmonize masikini tu alitaka za kumhonga yule malaya wake Poshy Queen

    • @MamuduAziz-h1z
      @MamuduAziz-h1z 11 หลายเดือนก่อน

      Konde pesa nayo sema alipata sababu y kulipiza kisasi kwa wasafi y mondi acha chuki za kike kk

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 11 หลายเดือนก่อน

    Harmonze bangi nyingi sasa😅😅 pole kaka levo

  • @SalumModal-cf7nk
    @SalumModal-cf7nk 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza leoo

  • @AllanKanda
    @AllanKanda 10 หลายเดือนก่อน

    Ulipigwa uko n mdomo sana shenzi ww..😂😂😂😂

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 11 หลายเดือนก่อน

    Nazidi kukubali Baba Levo kwa ku create kitu kingine ili upige hela😄wasioelewa watazidi kuwaita machawa😄....Piga hela baba🤣

  • @naomybenedict1787
    @naomybenedict1787 11 หลายเดือนก่อน

    Naenda kusema kwa mama kumbe na kamari mnachezaga na hamsemii😅😅😅

  • @john_1trader
    @john_1trader 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepata za ndani kuwa harmonize wanaongeaga na mondi wanampango hadi kufanya kazi ya pamoja

  • @mahabamudrick8825
    @mahabamudrick8825 11 หลายเดือนก่อน

    Mama levo

  • @kakazkanda
    @kakazkanda 11 หลายเดือนก่อน +1

    👁️👁️

  • @stn4873
    @stn4873 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eti JINAI😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @john_1trader
    @john_1trader 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ila baba levo😊😅😅😅😅 kama nita kufa hizi siku tatu zijazo aliyeniua harmonize comedian kweli😅

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 11 หลายเดือนก่อน

    Ngoma itakayo kuja ya nasib lazima atamuimba harmonise kumdunda babalevo🤭🤣🤣🤣🤣

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd 11 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂 acha kudeka mama levo

  • @motallent1070
    @motallent1070 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 jamaa muongo Uyuu Milioni 5 harmonize Imtoe Roho Daaa

  • @HasaniOmar-m3u
    @HasaniOmar-m3u 11 หลายเดือนก่อน +1

    sehem za Siri zipo salam

  • @Psunboyy
    @Psunboyy 11 หลายเดือนก่อน

    Si ufee sasa 😂😂😂😂

  • @RodrigueHabarugira-zj7uq
    @RodrigueHabarugira-zj7uq 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo Wasafi mulikua amutangazi stor za Harmo leo imekua vip 😂

  • @timati255
    @timati255 11 หลายเดือนก่อน

    ah Baba levo hii story utaisimulia hadi mwisho wa mwaka😂😂😂😂

  • @ABIAMgwala
    @ABIAMgwala 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa meme navo onaa hii kiki harmonize kampa Hela baba levo

  • @aminangombe8815
    @aminangombe8815 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ety kanikaba na mamikono yake yale magumu😅😅😅 baba levo kumbe muoga sana

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 11 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ushamba wewe.. huyu baba levo Alisha wahi kumpiga traffic akafungwa gerezani mwaka mzima..
      Alisha jifunza na ametumia ustarabu sana.. acha ushabiki wa kijinga wewe..

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimally8073hawajui hawa madhara ya ugomvi ndio maana

  • @ConfusedAnt-zs3yc
    @ConfusedAnt-zs3yc 11 หลายเดือนก่อน +1

    Msengee ww bora hata ungetolewaa pua

  • @JumaAli-e9l
    @JumaAli-e9l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Umemsema sana hamo hujaridhika sasa unamtaftia kesi polisi lengo ni mfelisha kimziki 😢 ngoja tuone mwishowakee nn

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 11 หลายเดือนก่อน

    We mipua ni mnafiki sana unadhani unamkomoa konde boy hiyo kiki tu na huwez kumpeleka jela konde wewe na huambulii hata mia umezidi mdomo ushamtukana sana konde hayo ndo malipo na sio kukupiga tu angekung'oa na hilo pua kabisa umezidi mdomo mchafu

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd 11 หลายเดือนก่อน

    Kesho kutwa atakushika mapaka matako na utulie ivoivo hanidhi wa kirundi wew😅

  • @princemusa7167
    @princemusa7167 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo akili yake ni kubwa sana,,msikilize kwa makini

  • @RichBrian-d8q
    @RichBrian-d8q 11 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi munajitapiya hela kumbe wamaskini sana kiyasi kwamba munagombaniya hela kama millions 10

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 11 หลายเดือนก่อน

    Matako wasafi

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 11 หลายเดือนก่อน +3

    Harmonise amekosea sana akaombe radhi.. sheria ifate mkondo wake

  • @RabiKasongo
    @RabiKasongo 10 หลายเดือนก่อน

    pourquoi alipikwa😅😅😅😅😅

  • @claudebitangalo4459
    @claudebitangalo4459 11 หลายเดือนก่อน

    Watanzania mbona Kiki za kitoto😅 habi eleweki hata kidogo😅

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 11 หลายเดือนก่อน

    Shida ilianza hapo mmakonde kugombania pesa za wanaume 😂😂😂

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 11 หลายเดือนก่อน

    Mikundu yenu wote sisi tunaangaika umeme akuna Maji shida nyiie mnagombania pesa za wanaume wenzenu mnafirwa

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umebanwa na mkonga wa tembo

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE 11 หลายเดือนก่อน

    Baba levo itakuwa polisi wamemfukuza maana kama kesi ipo mbona kila siku maneno

  • @AbdallahShemni
    @AbdallahShemni 11 หลายเดือนก่อน

    😅😅mamikono yake magumu ....kmamaeeee😅😅😅

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ifike mahali na ww mtangazaji uachane na huo mtandio

  • @paschalbenefactornunu5127
    @paschalbenefactornunu5127 11 หลายเดือนก่อน

    Kilicho nichekesha zaidi nikusikia eti harmonize ame mshika na mikono yake magumu😂

  • @SuleimanMagix
    @SuleimanMagix 11 หลายเดือนก่อน

    Wacha wewe chawaa... Komaa mtu mzima acha utoto kwani wewe huyo boss mmeo mpka hutaki jeshi apate hizo hela.... Ww kavu 2 msamba mbelenya😂😂

  • @Hashdough
    @Hashdough 11 หลายเดือนก่อน

    BABA LEVO KILE INTERVIEW ANAENDA NA DAWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 11 หลายเดือนก่อน

    Baba levo alikua amemuandama harmonize mno ndo maana alikuwa anamtaftia mwanya akamshona

  • @paulsteven9378
    @paulsteven9378 11 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu huy msenge ty

  • @lundaboytz4912
    @lundaboytz4912 11 หลายเดือนก่อน

    Bado H baba maaaaaae zenu

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani wajuba ninyi mliosoma kyuba tuambie maana ya Chipsi za milioni tano tano kiukweli ameniacha njia panda 😮😮😮

    • @kazumarihamisilikumbato9213
      @kazumarihamisilikumbato9213 11 หลายเดือนก่อน +1

      Coin za kuchezea kamari kasino zenye thamani ya kila moja million tano tano.

  • @BabaRikodi
    @BabaRikodi 11 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku ndie tulikuwa nataka apigwe 😂

  • @Max9_captain
    @Max9_captain 11 หลายเดือนก่อน

    kuna self defense baba unapigwaje unatulia, ukipigwa pigana watakushika tako sasa na utatuli kama umepigwa ukatulia hata ukishikwa tako utatulia

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 11 หลายเดือนก่อน

    Umbwa nyinyi

  • @djgolf254
    @djgolf254 11 หลายเดือนก่อน

    KUNA LIJINA HUYU B HUMUITA HARMO....HIVI UMESKIA HAWANIWEZI ...BOYA AKINIZINGUA NAMGONGA.

  • @wajisheikh_
    @wajisheikh_ 11 หลายเดือนก่อน

    Tajir hana habari hawajui ata akina harmonez wala revvany tukisemaga bongo hamna wasani niwaigizaje mnatutukana dreck akifika kasino watu wote wanaka pembeni mwamba acheze mwnywe na ndomaana halisi ya wanii wa mbele nizaidi ya madhabiki zao wote

  • @dhahabualmas
    @dhahabualmas 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kipigo kizur,make saiv Mr mapua amekuwa na nizam😂😂😂😂😂

    • @OliverGodwinzakaria
      @OliverGodwinzakaria 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

      We senge tu Kaingia Jela sababu kampiga Traffic juzi juzi tu ndo katoka Jela Harmo inabidi akaadhibiwe ili ajuwe madhala ya kupambana

  • @babiz255
    @babiz255 11 หลายเดือนก่อน

    Mavi matupu

  • @nellykira7812
    @nellykira7812 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 11 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ZakahModise
    @ZakahModise 11 หลายเดือนก่อน

    We mtangazaji iyo nguo yako aina mifuku ya kuiweka iko kitocho chako mpaka watu wajue kwa unatumia simu ngani ushamba tu

  • @JoseLuisJorge-u4k
    @JoseLuisJorge-u4k 11 หลายเดือนก่อน

    Kuma wewe mama levo🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @oscaramandusvicent-uy4ik
    @oscaramandusvicent-uy4ik 11 หลายเดือนก่อน

    Mapua wa dotto magari mshamba atazd kupigw

  • @majutoeliasi
    @majutoeliasi 11 หลายเดือนก่อน

    Harmo uwa unamkera Ila ujui

  • @Tygermnyama
    @Tygermnyama 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu baba levo mshamba tu na atapigwa sana

  • @abednego3876
    @abednego3876 11 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @djchazymahookah2213
    @djchazymahookah2213 11 หลายเดือนก่อน

    Hii ni maanadalizi ya Jbo sio kitu harisi kuna kitu Wanataka kufanya hii no DRAMA hamna lolote

  • @SammySimon-cg8fc
    @SammySimon-cg8fc 11 หลายเดือนก่อน

    Hyo ni kuharibia jeshi cv kwa kwel huwezani kwa mmakonde

  • @storytownTv
    @storytownTv 11 หลายเดือนก่อน

    Ila poa tu , mbona konde alikuaga antaka kumfunga rayvanny

  • @RaymondMateyo
    @RaymondMateyo 11 หลายเดือนก่อน

    Utafiya kuongea mjinga ww na diamond wako anaye kutuma hakili hizo zapombe ukubwa wa puwa ujue mtu huyo anahakili finyo

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 11 หลายเดือนก่อน

    Angemng'oa pua lile na mimba yake

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 11 หลายเดือนก่อน

    Media wanapromort ujinga ili waharibu kumshusha Msani anaowasumbua 😂

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 11 หลายเดือนก่อน

    Acha wakukomeshe Kuma wwe uwa unajfanya una iponda simba nabdo k wwe acha uchawa

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 11 หลายเดือนก่อน

    Harmonize apunguze banghi na pombe mkorofi yeye

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 11 หลายเดือนก่อน

    Vip wasafi machoko leo mnamzngumzia Harmonize wakati sio utamaduni wenu? Au kwakuwa huyo shangingi katunga kistor chake cha kuchafua brand ya konde? Acheni ushoga wasenge nyinyi

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 11 หลายเดือนก่อน

      Hawamzungumzii Harmo wanazungumzia uhalifu alioufanya😆😆

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 11 หลายเดือนก่อน

      Unateseka broh 😂

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 หลายเดือนก่อน

      @@sulleymernmannarah7930 Nateseka na nini kipochi manyoya

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 หลายเดือนก่อน

      @@mamboshepea8888 Uhalifu gani choko ww, muda huo security wa palm beach walikuw wapi? Maana pale kuna full security na kituo cha police salenda ni hatua 20 tu. Acheni ushoga na ushangingi huyu msenge mwenzenu anatumika na Wasafi kuharbu brand ya Konde. Ila hawataweza mashoga wenzenu.

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 11 หลายเดือนก่อน

      @@SilaMinanda Uuuwiiiii😆😆 chawaaaaa!!! Mapovu kama yoteeee😆😆 usipotetea hulipwi😆😆😆

  • @NyamkoChamba
    @NyamkoChamba 11 หลายเดือนก่อน

    Alitoka casino akaenda hospital akafanya interview na milady Ayo ajavaa kitu shingoni na sauti ikawa inatoka vizuri leo ndio kavaa mnafiki

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 11 หลายเดือนก่อน

    Ulitaka ucheze kamali na Hela ya wenzako ndiomaana unakabwa kaka.

  • @SeifSaid-c7f
    @SeifSaid-c7f 11 หลายเดือนก่อน

    Chizi huyo

  • @mahabamudrick8825
    @mahabamudrick8825 11 หลายเดือนก่อน

    Hii n biashara yakutangaza casino

  • @kudramartin
    @kudramartin 9 หลายเดือนก่อน

    Pongera harmonize

  • @happyshaban1161
    @happyshaban1161 11 หลายเดือนก่อน

    Konde. Mshamba wa staree

  • @lundaboytz4912
    @lundaboytz4912 11 หลายเดือนก่อน

    WCB wote nyie ni wanafiki sana

  • @MubaTalent
    @MubaTalent 11 หลายเดือนก่อน

    Baba levo unajipoteza mwenyeye kwenyegem baibai kwenyegem

  • @ChiloweChilowe
    @ChiloweChilowe 11 หลายเดือนก่อน

    Xhingo liume unauxubut wa kuvexh Chen ww

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 11 หลายเดือนก่อน

    Wakpgwaaa amekuwaa uyooo mbwaaa ww afu mzalilishaji mkbwaaa bwege ww

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 11 หลายเดือนก่อน

    Nilizani kama nyie ni maaduwi kumbe ni marafiki hadi mnacheza kamali wote pumbavu zenu.