HISTORIA YA GOODLUCK GOZBERT YA MZIKI ,ELIMU,FAMILIA,BABA YAKE ALIFARIKI DUNIA AKIWA MTOTO,TUZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2021
  • simulizi hii ya Leo ambayo inaenda kwa jina la the game changer of gospel music ,kuhusu maisha ya kuoa au kuwa na mtoto sijaeleza chochote kwan ni moja ya maswali ambayo hapendi kuulizwa,chanzo cha kujifunza kuwa producer ni manyanyaso aliyokuwa anapitia alipokuwa anaenda studio

ความคิดเห็น • 22

  • @lucypaulo-t9r
    @lucypaulo-t9r หลายเดือนก่อน

    Nitumie no za goodluck

  • @MarydorothyMukhwana
    @MarydorothyMukhwana 3 หลายเดือนก่อน

    Oh no! Your music was so inspiring! May your soul rest in peace.

  • @paschallekule8422
    @paschallekule8422 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh kijana nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu

  • @sabinabetty-iw5ux
    @sabinabetty-iw5ux ปีที่แล้ว

    Naishi kenya na ninapenda sana nyimbo za gozbert unibariki

  • @maggywambua6681
    @maggywambua6681 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zake Dana.

  • @olivierlyakona9589
    @olivierlyakona9589 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kaka Kaz Yako izid kusonga mbele na akupe maisha marefu uish miaka mia

  • @user-jl1ct8be4o
    @user-jl1ct8be4o 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waga unasoma polepoe mno na wewe ndugu yetu

  • @dignegospel
    @dignegospel 2 ปีที่แล้ว +2

    mwalimu Gozbert

  • @mrlomasi7028
    @mrlomasi7028 2 ปีที่แล้ว

    Nimeona kaka kazi yako ni kubwa Sana

  • @marygathoni3041
    @marygathoni3041 ปีที่แล้ว

    Nyibo zake sananimbaliki sana sana

  • @masterke536
    @masterke536 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji

  • @user-gn9hy5to3g
    @user-gn9hy5to3g 2 ปีที่แล้ว

    Amugu agupe nguvu zakuyimbaji

  • @neynicenkembo9513
    @neynicenkembo9513 2 ปีที่แล้ว +1

    Hvi huyu Goodluck n kabila gani

  • @thomasmeleji7767
    @thomasmeleji7767 3 ปีที่แล้ว +1

    We unachanganya oh Mara kaaza Kurekodi akiwa darasa la pili hela kapata WAP ?acha uongo

    • @manyanyazakaria
      @manyanyazakaria  3 ปีที่แล้ว +1

      Alikua anampa mama yake mzazi barikiwa sana

    • @shubirajeseph7682
      @shubirajeseph7682 2 ปีที่แล้ว

      Napenda sana nyimbo za Goodluck zinanibariki

  • @eliakimthomas55
    @eliakimthomas55 2 ปีที่แล้ว

    Nitumie no za goodluck