Hayo si maneno ya sawa kusema kila anayesherehesha kitabu hiki lazima afe ni imani potofu kusema hivi, sahihi ni kusema wanavyuoni wengi walionza kukisherehesha hiki kitabu wamefariki kabla hawajamaliza. Ila ukisema lazima wafe ina maana kitabu kina mafungamano na umauti
Hayo si maneno ya sawa kusema kila anayesherehesha kitabu hiki lazima afe ni imani potofu kusema hivi, sahihi ni kusema wanavyuoni wengi walionza kukisherehesha hiki kitabu wamefariki kabla hawajamaliza.
Ila ukisema lazima wafe ina maana kitabu kina mafungamano na umauti
Ameteleza
Tumpe udhuru