Mtoa taarifa mwenyewe mbabaishaji tu na inathibitishwa na jinsi asivyo straight ktk kutoa hiyo taarifa kwa kubabaikabaika kuonesha kuwa ni taarifa ya kutunga na kutengeneza tu. Yaani, mtu yeyote anayeweza kuwaamini polisi kwa miaka hii, atakuwa na shida kichwani mwake. Hawa polisi waliokwisha kuwa majambazi, ni ngumu kuamini taarifa yoyote ya polisi!!
Sielewi na wala siwaamini kabisaaa hebu tumsikie Yeye.kwa hiyo wakati wa uchaguzi mgombea hujiteka ??? Mara risasi ilimwangukia mgombea kule Manyoni.".polisi Mungu awaadhibu kwa hayo"
Polisi haipo tena,mumeporeza kabisa uaminifu,mbele ya umma. Nani atawaamini tena ,kwani mnaweza kureka namkakataa na baadaye tukagundua,waliopotea mlikuwa naye? Tunahitsji jesho la polisi mpya.
Nyie police hakuna mtu anawaamini tena, ni wale tu wahalifu wenzenu, tunaomba taarifa ya Soka na wenzake, na yote waliopotea kwenye mikono ya police. na kuwapiga watu bila huruma.
Chadema bila kutekwa kwao ileti kiki kwaiyo wanajiteka wenyewe ili wapate kiki, TEC tamko lenu la kutekwa huyuu jamaa muombe radhi GVT maana kila siku munaongea kama mumepata ushahidi wa kutosha....
@@beinafuu6219 taarifa za watu kujiteka ni uwongo maana sio mara ya kwanza sijaona aliyejiteka akipelekwa mahakamani kama kuna anayemjua aseme wasicheze na akili za watu na kuona wananchi mazuzu taarifa za kutekwa watu ni nyingi hakuna majibu watu wanalia TLS walitoa taarifa za watu zaidi ya 80 wanachama na wasio na vyama hawapo tuseme walijiteka ? Okay kama hao watu kibao wamejiteka basi wawakamate na wapelekwe mahakamani kujibu tuhuma tofauti na hapo si sarakasi tumetoka kwenye uchaguzi watu wasizungumze uchaguzi waende kwenye agenda ya kujiteka
Nawambiaga chadema wanafanya matukio kama sehem ya kufanya siasa.lkn nibaada yakuona hawana sera.hata wakijaribu kuongea nimatusi tu kwa serikali , viongozi wa serikali,ccm na viongozi wa ccm tu hawana lingine,kutuka vyombo vyaulinzi kama polisi na wanajeshi ha maasikofu et wala rushwa
Nyie police hakuna mtu anawaamini tena, ni wale tu wahalifu wenzenu, tunaomba taarifa ya Soka na wenzake, na yote waliopotea kwenye mikono ya police. na kuwapiga watu bila huruma.
Sawa tunashukuru kwa taarifa, tunaomba na taarifa za wakina ben saanane, waliomuua ally kibao na wengineo 🙏
Kawaulize Chadomo na kaka makengezq
@@peterhelpeterluena9191😅😅😅😅😅
Wasaidie uchunguzi ukifanikiwa kuwapata wauwaji Katoe taalifa polic
Nyinyi polic Imani nanyinyi sasa haipo tushawajua mko upande upi
Mtoa taarifa mwenyewe mbabaishaji tu na inathibitishwa na jinsi asivyo straight ktk kutoa hiyo taarifa kwa kubabaikabaika kuonesha kuwa ni taarifa ya kutunga na kutengeneza tu. Yaani, mtu yeyote anayeweza kuwaamini polisi kwa miaka hii, atakuwa na shida kichwani mwake. Hawa polisi waliokwisha kuwa majambazi, ni ngumu kuamini taarifa yoyote ya polisi!!
aaaaaaaaaAaAAAAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAAAaAAAAAAAAAAÀAAAAAAAAAAAaaaàaaaaaaaaaaaaaaÀss
Poyoyo tangu lini ukawapenda polisi bwege wewe.
Sasa Kamateni Wauwaji Wa MZEE KIBAO Police Mnafanyakazi Sana Duh, Hongereni Kwa Kuokoa Maisha Ya Mtekwaji Wa Kujiteka!,
Mbona anajirudiarudia.
Hongereni Polisi kwa kufichua mbinu chafu za Chadema. Matukio mengi maovu hufanywa na genge la Chadema
Mungu upo , ipo siku , mateso mnawapa wenye haki Mungu atalipa. Damu mnaomwaga wa wenye haki itawalilia kutoka Aridhini. Acheni hiyo tabia
Ok
Jeshi liko vzr sana
Chadema janja janja nyingi sana
Tunaomba hata wale wengine muwalete huenda nao walijiteka
Watatoka wote hii ndo ukweli chadema wanajiteka na bado mungu atazidi kuwaumbwa 😂😂😂
sio mzima wewe@@halimamasai2234
Nani wa kuwaamini nyie ?
Tumewachoka
Kwani. Nyie mafisiemu. Mna sera gani miaka 65 matundu ya vyoo vihospital bila dawa vijishule bila.elimu sera yenu kubwa ni kuuza rasilimal zetu
Sielewi na wala siwaamini kabisaaa hebu tumsikie Yeye.kwa hiyo wakati wa uchaguzi mgombea hujiteka ??? Mara risasi ilimwangukia mgombea kule Manyoni.".polisi Mungu awaadhibu kwa hayo"
Nyeemapolisi nimachawa waccm kwasababu yanjaa mshahara nikidogo ndiyomaana mnnaingizwamkenge namaccm
Itakua mzee kibao alijiua😉
Polisi Tz ni CCM b😂😂😂
SAF SANA YAN WANACHAMA WALO WENGI WA CHADWMA N WAHUN TU😮😮😮😮
Sina imani tena na nyinyi mtuatajitekaje inaana hana kazi ya kufanya huo ni uongo mkiumbuliwa mnaaema wamejiteka
KAZ NZURI SANA
mwogopeni mungu!tusizideshe propagada,kizazi cha nyoka hcho. watanzania tutafakari sana
Mmejiingiza kupambana na chadema kushirikiana na ccm, tunajua mtawazidi kwa kuwa mnarilaha ila yanamwisho
Tumewachoka polis kuwa wafuasi na wapenzi wa CCM ivi hamjui kuwa mnaishi na raia na familia zenu zimezungukwa na hao mnaowanyanyasa
Wamemnyanyasa nani chadema viongozi wote maputo tu, vichwani hewa tupu pumbavu nyinyi.
Tuambieni nawarie mteka tarimo mchana kweupe nawarie muuwa kibao tuambieni nashedrack ariechoma picha yaraisi
Hawa jamaa ndio zao ,wanapenda sana kujiteka
😂😂😂😂😂😂Chadema hiyoooooo
Jiteke na ww kama ni kweli.
Asante mkuu ila sasa kilometres chetu vijana ni wapatikane vijana wenzetu soka mbise na play hapo tutakuwa na imani
Askari aiwezi. Kuenda. Binguni kabisa
Yawezekana kuna jambo lilitokea ambalo limefanya ajitoe na kukili kua hakutekwa kwaajili ya usalama
Mnashododokea chadema nakuwabandikizia kesi zaajabu🤣😚
Du! Alijiteka ili iweje? Uwezo mlioutumia polisi kumpata aliyejiteka itapendeza kutumia njia hiyo hiyo kuwapata hao wengine.
From 🇧🇮 police wa tanzania kuweni na umoja muko munauwa ndugu zenu na kuwatesa kisa mu Zanzibar pole ni san
Koma we
Na wewe unaishi kwenye vita tokea uzaliwe unaingilia vipi Nchi ambayo Ina amani na ni maficho yenu wapumbavu kbs nyie
Mwehu wewe
Sipendi kusikia chochote kupitia haya majitu, mapolisi kwa kuwa siku hizi ni manasiasa kama waume zao maccm!!
Wewe je?
Free soka
Free mbise free may Free mdude
Police,hivi mtaacha lini kujidamganya. Maana Kila mtanzania anajua nyinyi ni waongo na niwanasiasa.
Mbona hatuonyweshwi wahusika
Uyomteji wotesiware retu kwanini mumkate watiyeye kajiondoa uwobaba ishajitu
Polisi haipo tena,mumeporeza kabisa uaminifu,mbele ya umma.
Nani atawaamini tena ,kwani mnaweza kureka namkakataa na baadaye tukagundua,waliopotea mlikuwa naye?
Tunahitsji jesho la polisi mpya.
Nyie police hakuna mtu anawaamini tena, ni wale tu wahalifu wenzenu, tunaomba taarifa ya Soka na wenzake, na yote waliopotea kwenye mikono ya police. na kuwapiga watu bila huruma.
Ccm na Police sio wa kuwaamini hata kidogo
Mbona kama ni porojo hii.. alijificha kwa ndugu yake kwani ana kosa gani alikuwa mwizi ndio ajifiche ??
Chadema bila kutekwa kwao ileti kiki kwaiyo wanajiteka wenyewe ili wapate kiki, TEC tamko lenu la kutekwa huyuu jamaa muombe radhi GVT maana kila siku munaongea kama mumepata ushahidi wa kutosha....
Mmmh hawa polis wetuu yaan ishu ikihusu wapinzani wanavyoikomalia km hv kwenye ma tv mbona wa ccm waliokutwa na kura feki hamuwaripoti humu??
Alitumia mbinu ya kishamba
Mpeleke mahakaman.pumbavu wakome kabisa.
Ww bwa tulia mjinga ww
Chadema pereka kanisani
Chadema ni majambazi nani hawajui 😂😂😂
@@beinafuu6219 taarifa za watu kujiteka ni uwongo maana sio mara ya kwanza sijaona aliyejiteka akipelekwa mahakamani kama kuna anayemjua aseme wasicheze na akili za watu na kuona wananchi mazuzu taarifa za kutekwa watu ni nyingi hakuna majibu watu wanalia TLS walitoa taarifa za watu zaidi ya 80 wanachama na wasio na vyama hawapo tuseme walijiteka ? Okay kama hao watu kibao wamejiteka basi wawakamate na wapelekwe mahakamani kujibu tuhuma tofauti na hapo si sarakasi tumetoka kwenye uchaguzi watu wasizungumze uchaguzi waende kwenye agenda ya kujiteka
@@halimamasai2234we ni k tu
Pameanza kuchangamka
Huo ndiyo mkanganyo wa chama kukipaka matope kivuli cha maovu
Kama kajiteka muacheni akae hukohuko asiludi.nyumbani.
Hawa jamaa wanatufanyaga hatuna akiri! jeshi la polisi la tizeee kweli shida kweli!!
Umesema kweli!
Kumbe wanajiteka pumbavu kabisa hawa😂
Wewepolis.nimwongo
Wengine.muliowaua.mbonahauongei.ustidanganye.nyiepolice.ndiowatekaji.
Huenda kina soka pia warijiteka tunaomba muwatafute na muwakamate
Kumbe wAnajiteka, asee
Umesema nifanye tathmini labda wewe ndo ufanye wamepotea wangapi na wote kama wamejiteka tuwaone hilo tu
JESHI LA POLICE MNAFANYAKAZI SANA SASA BAS NIOMBE HUYO NIMCHANGANI WA SEREKAL KWA HIYO APEWE ADHABU KALI IL IWE FU DISHO
Sawa tuna taka kina Ben sanane haraka acha uchawa ccm b
Nashanga polic wa tanzania sana mpaka chadema tuu hamna akili
Futa hicho chama chamajambazi Chadema ,Hamna Sera wanataka huruma kutoka Kwa wanamchi mashetani futa ataharibu nchi
😂😂😂😂😂😂
Anzisha cha kwako cc m b kenge ww
Jeshi la police 🚮💯
Hahahaha 😂
Uchafuzi
Hata mbumbumbu ameshawaelewa nyie polisi.
C mkamate na kura feki mtueleze
Nijeshi la police au jeshi la kulinda ufisadi,uwizi wa kula na utekaji washenzi nyie
Nawambiaga chadema wanafanya matukio kama sehem ya kufanya siasa.lkn nibaada yakuona hawana sera.hata wakijaribu kuongea nimatusi tu kwa serikali , viongozi wa serikali,ccm na viongozi wa ccm tu hawana lingine,kutuka vyombo vyaulinzi kama polisi na wanajeshi ha maasikofu et wala rushwa
Ndio maana huna like
Chadema majambazi hata ww utakupa majambazi wezako
Chadema ni wasenge sana 😂😂😂
Wajinga tu
Sasa maelezo yotehayonanini sema kosalake kuteka mnateka kama watu hanaimani jitahidi sana uaminike wewe unam8aka mingapi yakuishi watotowako waishi mingapi wajiku? Tendahaki wewekiumbe chacxn
acheni ujinga
pumbFuuuu
Yakipataga habari za miyeyeusho yako shapu kutuletea
Uongo mtupu
Propaganda.
Nyie police hakuna mtu anawaamini tena, ni wale tu wahalifu wenzenu, tunaomba taarifa ya Soka na wenzake, na yote waliopotea kwenye mikono ya police. na kuwapiga watu bila huruma.