MUNGU Baba tusamehe sana pale tunapokosea. Ahsante pia hata kuwaokoa ndugu zetu, watoto wa Shule etc. Tunatubu na kujinyenyekesha kwako. Wana Mbeya wenzangu, ni muda sasa wa kuheshimu Nature. Tuache milima iwe milima.
Babu hiyo nchi inalaana mimi nilishaliona hili miaka mingi ila hiyo nchi imelaanika ni nchi inayokumbwa na maaafa kila mwaka taifa linamatendo machafu sana watanzania ni wanafiki hawana upendo wa kweli wengi ni masnitch upendo wa usoni tu ndio maana allah anaiangamiza tanzania taratibu
Hizi ardhi hizi si mlibeba udongo mkapeleka kwa mwamposa komboa ardhi sasa mbona kama imekua bomoa ardhi😂Nchi tumrudie Mungu wa kweli dhambi zimezidi tunapenda miuujiza kuliko kumpenda Mungu
JAMANI ,JAMANI ..NI OMBI KWA WATANGANYIKA WOTE...TUKISHIRIKIANA NA WATANZANIA WENZETU.....TUOMBE " TOBA"...KWA MWENYEZI MUNGU....WETU WA KWELI -KWELI HALI ,INAZIDI KUWA MBAYA.... -MAFURIKO ,MAPOROMOKO,MAZISHI ARUSHA,...MLIMA HANG...VITA VYA IRAN NA ISRAELI..ARDHI NGORONGORO - SAA YA TOBA NDIO SASA....
Haitajiki akili kubwa kutambua madhara yametokana na nini. Kawaida mizizi ndio inashikilia udongo uliorundikana, hasa kama udongo huo ni tifutifu ama kichanga. Ushauri wangu eneo hilo ipandwe miti yenye mizizi inayokwenda chini na inayosambaa ikiwa ardhini. Eneo hilo ipandwe ile miti ya Christmas.
@user hivi ww unaakili kweli?? Mungu na ccm wapi na wapi. Baada useme kuwa watu wanafirana kinyume na maumbile wanaume wanaoana mwenyewe kwa mwenyewe, Familia zinauana baba wanawaingilia mabint zao watoto wa kiume wanabaka mama zao Mungu atunusuru ww unasema ccm.
Ushauli wangu kwa taifa tumuombe allah msamha amekasilika
Babu hiyo nchi inalaana mimi nilishaliona hili miaka mingi ila hiyo nchi imelaanika ni nchi inayokumbwa na maaafa kila mwaka
Duu sijawahi ona hii jamani aise Mungu tunusuru waja wako pale tulipokosea tusamehe poleni sana
MUNGU Baba tusamehe sana pale tunapokosea. Ahsante pia hata kuwaokoa ndugu zetu, watoto wa Shule etc.
Tunatubu na kujinyenyekesha kwako.
Wana Mbeya wenzangu, ni muda sasa wa kuheshimu Nature. Tuache milima iwe milima.
Popeni sana wana Mbeya, Mungu awajaze na kila hitaji la moyo wenu
Dahh sijawh ona hii. Mungu tusamehe pale tulipokosea
Babu hiyo nchi inalaana mimi nilishaliona hili miaka mingi ila hiyo nchi imelaanika ni nchi inayokumbwa na maaafa kila mwaka taifa linamatendo machafu sana watanzania ni wanafiki hawana upendo wa kweli wengi ni masnitch upendo wa usoni tu ndio maana allah anaiangamiza tanzania taratibu
Umerepot vizuri sana
Mmmh mwenyezi Mungu atutetee hiii hali siyo poa daah
TUMSHUKURU MUNGU HAIKUWA SIKU YA MASOMO ,KUNGEKUWA NA WANAFUNZI DARASANI INGEKUWA MTIHANI MZITO EE M/MUNGU TUNUSURU😭😭🙏🏻
Kweli siku za mwisho zimefika mungu tuhulumie,🙏🙏
Subhana llah
Poleni wana mbeya😮
Tusipoiondoa ccm madarakani Mungu ataendelea kutuadhibu.
Haya Ni mambo ya mungu sio ccm tunatakiwa kurudi kwa mungu tumuombe sana
Ondoka wewe kwanza
Acha siasa
Mungu turehemu taifa hili la Tanzania
M, Mungu atunisulu 🙏
Polenii sanaaa 😢😢😢😢Mungu waja wako tunusuru na majanga hayaa!!
Hizi ardhi hizi si mlibeba udongo mkapeleka kwa mwamposa komboa ardhi sasa mbona kama imekua bomoa ardhi😂Nchi tumrudie Mungu wa kweli dhambi zimezidi tunapenda miuujiza kuliko kumpenda Mungu
Kweli 😂😂😂😂
Mungu Asante kwa kuwaokoa wanangu cjui ningekuwa ktk Hali gani😢😢
Mungu awasaidie
Polenisana nduguzetu mwenyezimungu awafanyie wepesi
Ee mungu mola wetu tusamehe sisi watanzania 😢😢😢yallabi
Subhanallah
Aalah atusamehe sana na atunusuru
Poleni sana.
Mungu amekasirika. Turudi tufanye Toba ya kweli.
Yesu wangu tutetee 😭😭😭🙌🏼
Mungu mwema wana itezi tumepona japo watu wamepoteza makazi
Dah washukuriwe wanakijij Kwa kutuokolewa watoto wetu katika shule ya generation 🙏😭😭🙏🙏
Atali sana
Mungu atunusuru nikwangu maeneo haya
Tufanye toba ya kweli,, dhambi zimezidi
😢😢😢😢 Dha ni hatare sanpoleni sanna kwa waathirika wa janga hilo
Tanzania kuna jambo maombi yanaitajika
Ukataji wa mitu na kilimo holela milimani ndio chanzo, mbeya imezungukwa na milima vipara,
Diwani anafaa kuwa Bungeni
Tutubu zambi kila siku Mungu atusamehe 😢😢
Mwamposa ombea hayo mafuriko yaishe😢
MUÑGU MFARIJI MKUU ,AWAPE WEPESI NDUGU ZETU HAWA NA KUWAAGU
Jamani poleni Sana wenzetu wanambeya
Hatari sana
Mungu aturehemu hatujasahau hananga tena mbeya
Poleni sana
Poleniwana mbea kwaathari mbaya ilio wapata
Kulima mashamba milimani na kukata miti hovyo
Polen wahanga😂😂
HALI ZOTE HIZO ZINATOKA KWA ALLAH
Hii Ni laana ya kuongozwa na viongozi wanafiki, kila kukicha ni majanga tu.
Iloo tope ikinyesha Leo itez inafukiw 😢😢😢
Du pole sana
Poleni wana mbeya
Mbona hatarii
HII NCHI INAENDELEA KUKUMBWA NA MAJANGA MENGI KIASI HIKI ? ..TUNAHITAJIKA KUSALI SANA😭
Aiseee God help us😢
Poleni sana ndugu Zangu
JAMANI ,JAMANI ..NI OMBI KWA WATANGANYIKA WOTE...TUKISHIRIKIANA NA WATANZANIA WENZETU.....TUOMBE " TOBA"...KWA MWENYEZI MUNGU....WETU WA KWELI
-KWELI HALI ,INAZIDI KUWA MBAYA....
-MAFURIKO ,MAPOROMOKO,MAZISHI ARUSHA,...MLIMA HANG...VITA VYA IRAN NA ISRAELI..ARDHI NGORONGORO
- SAA YA TOBA NDIO SASA....
Kuna sehemu tumejichanganya ila kuna watu hawatakubaliana na mimi.
Diwani Hana heshima anasema wananchi tumewaswaga kwani wananchi ni mifugo
Duh polen xna familia zilizoadhirka
Sasa mlijenga shule chini ya mlima mnategemea nini
God save us
Kuna namna nchi yetu imekubaliana na watu wa Giza kufanya kafara hzi hii Hali sio ya kawaida Tanzania 🇹🇿 Kila sku ni maafa tu
Wewe maneno Gani hayo😮
Haloo,tope linavyotembea utadhani reli!😢
Ukataji miti na ujenzi kupandisha milima ni hatari..
Kwa experience yangu Hanang yalianza matope Kisha maji ni vyema watu kuchukua tahadhari
Tanzania Kuna kitu Tumekosea MUNGU tumuombe atusaidie
Tatizo ni kuichagua ccm Mungu anatuadhibu
Haitajiki akili kubwa kutambua madhara yametokana na nini. Kawaida mizizi ndio inashikilia udongo uliorundikana, hasa kama udongo huo ni tifutifu ama kichanga. Ushauri wangu eneo hilo ipandwe miti yenye mizizi inayokwenda chini na inayosambaa ikiwa ardhini. Eneo hilo ipandwe ile miti ya Christmas.
Kabisa mwanzo walipanda miti mingi saizi walitoa yote na watu wamelima sana yaani tumepona kwakweli
Vizazi vilivyotangulia waliheshimu sana mazingira. Na kufuatilia tabia zake. Kizazi cha sasa tumelisau jambo hili.
Polen 😢
@user hivi ww unaakili kweli?? Mungu na ccm wapi na wapi. Baada useme kuwa watu wanafirana kinyume na maumbile wanaume wanaoana mwenyewe kwa mwenyewe, Familia zinauana baba wanawaingilia mabint zao watoto wa kiume wanabaka mama zao Mungu atunusuru ww unasema ccm.
kwanini mlime had mliman milima ibak kua milima isivamiwe kwanini porin uko milima haiporomok ije iporomoke kwenye makaz ya watu .tuache kufata milima
Acheni kuvamia milima mtakwisha
Peleni sana
Jaman watu wamepona.?
Wamepona ila makazi yamefukiwa ni hatari
Wamepona
😭😭😭🙏
wapande miti ya kutosha hapo
Miti IPO ila udongo wa eneo lile ni lain miti IPO yakutosha na hakuna mashamba
All Tanzanians should repent
Poleni sana
Poleni sana
Poleni sana
Poleni sana
Poleni Sana