Angalau sasa nchi imefikiria kutumia utajiri wa nchi hii MAJI kuyatumia kwa faida ya nchi badala ya kusubiri MVUA.......Hongereni tumia Lake Victoria, Lake Tanganyika, Lake Nyasa,Ruvu na sehemu nyenginezo.
Mheshimiwa samia mawziri wako wanakudangaya mbona kipindi cha magufuli hayakuwepo hivi hata chakula wewe udhamini wangeni kuliko famili yako rais unawatesa watanzania
Ni kweli hiii ni janga la dunia hata Hulu marekani vyakula vilikua bei ya bwelele sasa hadi mkate wa dola moja sasa dola tatu mayai pack ya 12 eggs imepanda toka dola 1.75 hadi dola 4 nk nasi tunamlilia Baden Raisi wetu
sio kweli dada christina hapa tunalima wenyewe vyakula kuku tunafuga wenyewe ..uzalishaji mdogo hapa nchi. kwanin tunanunua vyakula ulaya??na ardhi tunayo ? serikali haijatilia mkazo kilimo na matumizi mabaya ya pesa za serikali kama kwy magari mapya kila mwaka, serikali kuwaumiza wakulima kwa kodi kubwa na kutowalipa pesa zao za mazao. ukraine haiusiki tuna matatizo makubwa hapa ya uzalishaji kabla vita vya ukraine.
Au sio kabisa warudi kijijini na hao walime hii ndio fursa sasa yaani sahii kilimo ndio biashara yenyewe walikimbilia mijini kufanya umachinga sababu kijijini kilimo hakilipi ila sasa ndio fursa hii imejitokeza
Unakaa TZ lakini huna hata habari kuwa kuna kiwanda kimeanza kufanya kaxi juzi dodoma ......hii ni ishara kuwa watanzania wengine ni kama kasuku wakiongea utafkiri wanajua sana kumbe very ignorant
@@oklahommy9838 Kumbe ni juzi kimefunguliwa hapo jibu unalo ningejuaje ?ngoja iingie sokoni ndio tuone ubora wake kwa hiyo miaka yote tumechelewa .Kasuku ni wewe mimi sio mbumbumbu mzungu wa reli usinifananishe na manyumbu
@@msomaliwilliam ungekuwa na shughulikia majukumu yako binafsi usinge bwabwaja .....nikuulize wewe unamlilia mama amuondoe waziri wa kilimo wakati sisi wajasiriamali wa kilimo katuheshimisha labda una issue na yeye binafsi maana huwezi bwabwaja tuu kama kuku mtetea
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Angalau sasa nchi imefikiria kutumia utajiri wa nchi hii MAJI kuyatumia kwa faida ya nchi badala ya kusubiri MVUA.......Hongereni tumia Lake Victoria, Lake Tanganyika, Lake Nyasa,Ruvu na sehemu nyenginezo.
Mheshimiwa samia mawziri wako wanakudangaya mbona kipindi cha magufuli hayakuwepo hivi hata chakula wewe udhamini wangeni kuliko famili yako rais unawatesa watanzania
Unazingua
Uongo uoooo
Nchi imekushinda. Umetuonesha kuwa wanawake hamuwezi.
Mahindi, Mchele, Maharage na vyakula vingi tunalima wenyewe. Funga mipaka uone.
Subiri 2025 tukupe wewe
Sisi cyo wajinga labda muwaambie watoto wenu Vita ilikua Burundi watu walikula Vita iko ulaya sisi tuwe na njaa mtakua mnaumwa
Wewe si unashamba kwenu haya kalime uuze kwa bei rahisi
General Ulimwengu alisema kweli Watanzania wanatatizo ndio hawa wanosema ovyo
Mungu amechukia subilini matokeo
Mama sasaa kila siku hakuna solution Kwa wananchi vyakula tunakula vyetu
Sijamueleawa mama hapo
Huna jipya
Ni kweli hiii ni janga la dunia hata Hulu marekani vyakula vilikua bei ya bwelele sasa hadi mkate wa dola moja sasa dola tatu mayai pack ya 12 eggs imepanda toka dola 1.75 hadi dola 4 nk nasi tunamlilia Baden Raisi wetu
sio kweli dada christina hapa tunalima wenyewe vyakula kuku tunafuga wenyewe ..uzalishaji mdogo hapa nchi. kwanin tunanunua vyakula ulaya??na ardhi tunayo ? serikali haijatilia mkazo kilimo na matumizi mabaya ya pesa za serikali kama kwy magari mapya kila mwaka, serikali kuwaumiza wakulima kwa kodi kubwa na kutowalipa pesa zao za mazao. ukraine haiusiki tuna matatizo makubwa hapa ya uzalishaji kabla vita vya ukraine.
Mama kusema ukweli yaani atukusomi juu kuongea unajua lakin matendo akuna ila 2025 utapokea shukurani nyingi.ya mateso ulivyo tutesa
Wewe bwana unanichekesha
Bila kelele za upinzani wasingeyaongea haya mnajua kucheza na akili za watu
Mnaomchukia mama nendeni nje ya nchi,mm nalima mama pandisha Bei wakulima tuuze vyakla Bei kubwa
Kweli wewe kiboko
Au sio kabisa warudi kijijini na hao walime hii ndio fursa sasa yaani sahii kilimo ndio biashara yenyewe walikimbilia mijini kufanya umachinga sababu kijijini kilimo hakilipi ila sasa ndio fursa hii imejitokeza
Maneno tu hayo kuwanyamazisha watu tumeyazoea kila siku ni hayohayo
Haka kabibi kaongo Sana mbona jpm aliweza??
Tanzania inashindwa kuwa hata na kiwanda cha Mbolea aibu sana
Unakaa TZ lakini huna hata habari kuwa kuna kiwanda kimeanza kufanya kaxi juzi dodoma ......hii ni ishara kuwa watanzania wengine ni kama kasuku wakiongea utafkiri wanajua sana kumbe very ignorant
Fungua chako. Si na wewe ni mtanzania
@@oklahommy9838 Kumbe ni juzi kimefunguliwa hapo jibu unalo ningejuaje ?ngoja iingie sokoni ndio tuone ubora wake kwa hiyo miaka yote tumechelewa .Kasuku ni wewe mimi sio mbumbumbu mzungu wa reli usinifananishe na manyumbu
@@malikkb6444 Nikiweza nitafanya na wewe fanya kama rahisi
@@oklahommy9838 Tanzania kuna mjini na vijijini usijione wewe mwerevu sana ukaona mwengine mpuuzi
Mama mfukuze KAZI waziri wa kilimo bashe
Afukuzwe ili amueke baba yako au babu yako unabwatuka tuu wakati hata inaeza kuwa majukumu yako yanakushinda kumudu
@@oklahommy9838 kabisa my anabwabwaja tu
@@oklahommy9838 mbona povu limekitoka kwani unahusina gani naye. Tujuze mwenzetu. Au kunasiri ktk yenu. Maana dunia imeisha
@@msomaliwilliam ungekuwa na shughulikia majukumu yako binafsi usinge bwabwaja .....nikuulize wewe unamlilia mama amuondoe waziri wa kilimo wakati sisi wajasiriamali wa kilimo katuheshimisha labda una issue na yeye binafsi maana huwezi bwabwaja tuu kama kuku mtetea
@@oklahommy9838 soma comments yangu nyingine utanielewa tu
Mama tumekuchoka unajipya