teacher thank you,ninapenda sana kazi zako
Asante sana
Kazi nzuri asante
Good San bro upo vzuriii
Namimi natamani niwefundi
Hello niko na itel haileti netwk ilibaki 2 no service or emergency,na iko na full network vijiti
Fund simu Mr p
Samahani fundi, hivi samsung edge7 kutengeneza kioo ni bei gan
Fundi npo pamoja na wewe ila azumi l4k smart4g haiwaki japo nikiiweka chaji inachaji vizuritu naomba msaada wako
Habari mm ni fund Kuna sumsung niliipiga moto ikawaka ikaa ka wik 2 izima jumla niambie hapo teacher
Buroa nshingapi?
Fundi kwan ukitia kiyoo vitu vina futik au
Vp kuhusu W3 umesema kua nayenyewe unaipiga moto mbona sasa nilisha jaribugu na siyo zaidi ya Mara moja zinagoma lakini nikitumia njiaa ya Kubana mashine kwa kuweka boks chini ya iyo Ac inawaka ni kwanini
Habari ya fundi ningependa unipee namba xako???
Mimi nina sim itel it2090 ndogo batani ya kuwashia haifanyi kazi lupini yake imeniumiza kichwa nisaidie
Alfu naomb uniandikie jina lenu LA ply stoh kunkitu natk nikidanlodi kuhus kujuwa rangi
Nimeona lakini sijaelewa kiongozi.... Nini hasa technical reason yakupga moto Kama unavyosema, ni kwamba kuna maji ulikuwa unakausha au ni kwamba ICs zinakuwa na loss connection ndo unaziunga maana umeanza na Soldering paste hapa..... Nini hasa Technical reason hapo kiongozi!!!!?
Yaan ic inakuwa imeachia
Au imeshtuka ukipiga moto kwa kutumia soldiering paste unairudishia vizur inawaka
Sema nilikuwa napenda kutoa ushauri kwa Video zinazokuja mjitahidi sana kutoa technical reasons kama hzo si unajua tunatazama wengi beginners lakn pia expertises ko jaribun kuwa mnabalance wote wapate wanachohitaji
Oya mabo vip nomba namba zenu
Naomba no WhatsApp
Asante sana,kwa kazi nzuri mimi nakufata toka Burundi 🇧🇮🇧🇮