Mie kwetu ni Zanzibar ila nna asili kdg ya bajuni mana ndio kabila langu iloo,,,Kwakweli huwa inauma sn Kidunia,,lkn kiakhera Ardhi yote ni ya Allah tunachotakiwa ni Kupigania Uislam na sio Ardh,,Allah atatupa shifaaa,,,,,Duniani tunapita tuu turidhiane na Tusameheane Waislam kwa Waislam hawawi Maadui🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Very interesting documentary. Education is the key. Vote wisely when electing leaders. All youths who finished primary who should be monitored with a view to enroll in secondary.
Up country Kenyans coming to the coast taking land given to them by their corrupt tyrannical leaders, haven't they heard Pwani Si Kenya? The coast is the land of the Swahili/Bajuni/Shirazi people who have lived there for almost a millennia. The people who have the most history in all of Kenya are the coastal people, they are the ones who brought attention to Kenya, long live the Swahili coast from kiunga to sofala. PWANI SI KENYA!!!
May GOD open a solution and favour to all people here in lame...may he heal all the wounds and restore all what the devil has stolen from his people..Joel 2:18_25.
Assalam alaikum hakika watu wa lamu hamteswi kwa upawani mnateswa kwa sababu asilimia kubwa nyinyi ni waislam lkin nasi twatooa timing sana kwenye kura hatuwafunzi hawa viongozi yaani sisi twa vote kwa pesa tutambueni hapa tu tutafaulu
cha ajabu mbona ssi km watu was lmu au coast kwa jumla Hatupewi ardhi makwao km wanavyosema wao eti mkenya yyote ana haki yakumiliki ardhi popote palee
Wallahi nimeskitika sana kuona dhulma hizi zilizofanywa. Pili Ndg. Feiswal amezungumzia kuhusu ilimu na namna ya umaskini ulivyo, hili la huzunisha sana kwa Lamu lakini bado kushajiishana kwa hitajika sana. Na kwanini wazazi wasemao hawana uwezo lakini panapokua na harusi twafuja pesa nyingi kwa anasa bila kufikiria masiha ya wana wetu?
Turegeshewe miji yetu, shifts na serikali wote walikuwa kitu kimoja, sisi tuna title deed zetu ni za wakati Wa sultan, maandishi ni ya kiswahili / kiarabu, ,serikali yetu ya Kenya ilikusudia kutupokonya miji na uchumi wetu tangu na hadi.Hasibia Allahu waneemal wakil
once i become a governor i will fight for the right of common citizen. in some places in lamu life is miserable the county and national government be accountable to better life of its citizen.
Siku itafika na hawa maharamia watalipa dhulma zao walizofanyia watu wa Lamu na Pwani nzima kwa jumla.Injustice will always die a man-made or natural death however long it will take.
The whole System was corrupt!!! Kenyatta senoir is to blame for this.He used his Office to force the indeginous to accept to his tribe men.This isaviolation of human rights. As one cölonial judge ruled out, no foreghner/ out sider shall have more rights of land than the locals.What happened/ going on is illegal. The Bajuns have a reason to complain.
Just stumbled on this Documentary. Great work 👏
Nimemkumbuka
Father sana
Jamani uko wap father
Such a good documentary - Huu ndio ukweli wa Lamu Kwetu- Watu wa visiwani wamesahaulika
Mie kwetu ni Zanzibar ila nna asili kdg ya bajuni mana ndio kabila langu iloo,,,Kwakweli huwa inauma sn Kidunia,,lkn kiakhera Ardhi yote ni ya Allah tunachotakiwa ni Kupigania Uislam na sio Ardh,,Allah atatupa shifaaa,,,,,Duniani tunapita tuu turidhiane na Tusameheane Waislam kwa Waislam hawawi Maadui🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Allah Azidi kutunusuru baba zangu ndugu zangu na wadogo zangu mungu atawalipiaa
Very well structured documentary. Allah ibarik!!
Allah ataibariki Lamu yetu
moyo mkuu
Ameen
Marshallah huo biti fankupi nataka kumuowa nifaye nayeye harusi yakihalal
Kweli nisauti ya amu
Very interesting documentary. Education is the key. Vote wisely when electing leaders. All youths who finished primary who should be monitored with a view to enroll in secondary.
Up country Kenyans coming to the coast taking land given to them by their corrupt tyrannical leaders, haven't they heard Pwani Si Kenya?
The coast is the land of the Swahili/Bajuni/Shirazi people who have lived there for almost a millennia. The people who have the most history in all of Kenya are the coastal people, they are the ones who brought attention to Kenya, long live the Swahili coast from kiunga to sofala. PWANI SI KENYA!!!
Please have a look at this: th-cam.com/video/i0fU6RYZvVc/w-d-xo.html
Inapendeza sana
May GOD open a solution and favour to all people here in lame...may he heal all the wounds and restore all what the devil has stolen from his people..Joel 2:18_25.
Tatizo liko sana kwasababu hakuna mcoast ataenda pata shamba huko bara na sijui hawa viongozi wanaojiita matetezi watetea nn masikitiko makubwa
its look like Zanzibar...
poleni sana watu wa Lamu
Abdul Hamid it’s very deferent to Zanzibar
Or Zanzibar looks like Lamu ... !
People of Lamu poleni sana God will come to your resque
Assalam alaikum hakika watu wa lamu hamteswi kwa upawani mnateswa kwa sababu asilimia kubwa nyinyi ni waislam lkin nasi twatooa timing sana kwenye kura hatuwafunzi hawa viongozi yaani sisi twa vote kwa pesa tutambueni hapa tu tutafaulu
Wcs @Hamad Amaan
oooh
cha ajabu mbona ssi km watu was lmu au coast kwa jumla Hatupewi ardhi makwao km wanavyosema wao eti mkenya yyote ana haki yakumiliki ardhi popote palee
Wallahi nimeskitika sana kuona dhulma hizi zilizofanywa. Pili Ndg. Feiswal amezungumzia kuhusu ilimu na namna ya umaskini ulivyo, hili la huzunisha sana kwa Lamu lakini bado kushajiishana kwa hitajika sana. Na kwanini wazazi wasemao hawana uwezo lakini panapokua na harusi twafuja pesa nyingi kwa anasa bila kufikiria masiha ya wana wetu?
Abubakar Amin Baalawy
N
Mrsexe
Mungu atunusuru na lamu yetu
Turegeshewe miji yetu, shifts na serikali wote walikuwa kitu kimoja, sisi tuna title deed zetu ni za wakati Wa sultan, maandishi ni ya kiswahili / kiarabu, ,serikali yetu ya Kenya ilikusudia kutupokonya miji na uchumi wetu tangu na hadi.Hasibia Allahu waneemal wakil
Nikweli kabisa lamu ni mji wa utamaduni,ulionza jadi kwanzia babu zetu aliyekua mwana biashara mkuu wa mikoko ,nakupenda home sweet home lamu
once i become a governor i will fight for the right of common citizen. in some places in lamu life is miserable the county and national government be accountable to better life of its citizen.
I don't know how I got here, but it has been a shocking discovery of my fellow Kenyans isolated and forgotten. I will visit these people when I can
Mubaji na nyimbo yaitwaje plzzz anaejua
Muimbaji: Ahmed Juma Bhalo
sema sadness.this is kenya?
Wasomali na wabajuni ni mandugu na majirani
Shida ni marginalization na watu walioletwa kutoka central province kuishi shamba ya Wengine
Ya sikitisha kweli
Si mugure hata magari hakuni nendeni mabrui wachie lamu washibe neo hakuna futer lamu