Kuna watu huja kwenye maisha ya watu wengine kuwaharibia na mwisho kuwatumia vibaya bila yahuruma ila kweli dunia hii yataka umakini na chunga sana kurudiana na ex wako maana yaliyo nyumanya pazia nimakubwa
Mm vip, mwandishi Zuwena hakwenda kumzika baba yake, yaani mwandishi amerukaruka baadhi ya mambo, hakuna uhalisia baba kafa, halafu mama yake kule kijijini kahamia kwa Krei , uliona wapi 🤔
Mashaal asant 2❤❤🎉🎉🎉🎉😂😢
Shukrani sana kaka Oen maana hata nilikua nataka kukuuliza mbona imepotea tena❤❤
Simuliz nzur sana shukrn Smix kwa kutupa burudan
Kwaherin wapedwa kesho nashuka Kenya inshallah Mubak salama inshallah namba duwa zenu
Umepambana kipenzi hongera sana.
Allah akutagulie kwenye safari yako rafiki wetu tunakupenda❤❤❤❤
❤❤🙏🙏
Allah akutangulie habinty,ufike salama watokea pande ngani kenya jiran.
❤️❤️❤️
❤❤❤ nmeipenda sanaa
Nzuri sana
Zuwena umecheza vizuri mno..mm pia siwezi subiri..thanks director
Hii nimeipenda xana zuwena mungu akubaliki sana
Zuwena chagua la wazazi ❤❤❤🔥🔥🔥
Asante zuena ujasiri nikifaa kizuri kwa mwanamke
❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂mchina wake mwenyewe
To be continued
Wauuu oen i love you ❤❤❤❤from burundi
❤🎉🎉❤
Kazi nzuri sana
❤❤❤🔥🔥🔥🪑🎧🏃
maneno ya mama agrey ndio yanayo nichekesha maana yupo km mama yangu 😂😂😂
❤❤
Gley kimekulamba😂😂😂😂
😂😂😂😂 yanihadi kimuume kwakweli mwanaume mujiga
Kuna watu huja kwenye maisha ya watu wengine kuwaharibia na mwisho kuwatumia vibaya bila yahuruma ila kweli dunia hii yataka umakini na chunga sana kurudiana na ex wako maana yaliyo nyumanya pazia nimakubwa
Nilichelewa lakin nimecheka sana 😂😂😂😂mmmmmmh yani haipoi wala haiboe cheko kwenda mbele😂😂
😅😅😅😂mimi mchina tangu lini yaani nimelea mimba na mtoto kazaliwa mchina😅😅
Kwani huyu jamaa ni mchaga au
😂😂😂😂❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂
Mm vip, mwandishi Zuwena hakwenda kumzika baba yake, yaani mwandishi amerukaruka baadhi ya mambo, hakuna uhalisia baba kafa, halafu mama yake kule kijijini kahamia kwa Krei , uliona wapi 🤔
Kumbe umeonaa eeeh 😂😂
Kwaherin wapedwa kesho nashuka Kenya inshallah Mubak salama inshallah namba duwa zenu