OMOSH ONE HOUR ROASTS GENZ Zs LIVE! WAMETUANGUSHA, TUTATESEKA TUKUFE!!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- To bring out the ideal picture of the challenges facing citizens at large
#kenyanpolitics #nuruokangake #citizendigital #kenya #difmedia #ruto #bungelamwananchi #raila #railaodinga #kenyanyoutuber
Gotha tena walileta goons kwa maandamano.
We're restructuring RUTO MUST GO
Hi. 👍👍👍👍👍👍👍👍🌹🌹👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏
btw na pennda huyu omosh more than nuru kwasabau huyu anaongenga sence
Niukwel mm pia namfwatilia sana 😂😂😂😂😂
Tumewachia wezi Maandamano kiasi
😂😂😂😂😂😂
Hii nafasi ikipita tutalilia kwa choo,,, ruto anapika mahesabu pole pole tu, aliweka mkuu wa majeshi mwenye amepakisha mwaka Moja aende retire alafu tuwekewe mkale, mmmm hapo ndiyo mtajuwa hamujui ,,,,, wakati ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi hakuna wakati wa kuharibu, GEN Z KAMILISHENI MULICHO ANZISHA
mtakonja sana😅😅
@@hazeljelimo5995 ndiyo tumepumzika Sahi tumepata nguvu Ruto tunamtoa whether you like or not
@@Ikayo76 mngekua umemtoa mnakonja nini basi
@@hazeljelimo5995 inakaa wewe ni wale watu wanatembea na rungu
@@sabinaatema2065 yes lazima tuchunge mtu wetu
Gez my foot😮😅
GEN Z😂😂😂
Wanaogopa kuenda ikulu kwa nn wafate ruto uko ata kama ataeka majeshi wote lkn lazima afatwe jmn plz
Chonganishi jingine..Makelele tu. Kushawishi wenzake wafe.
😂😂
Sauti
Mbwekse sijui gothav😂😂😂😂
😅😅😅
Unataka watoto wa wenyewe wauliwe wee ukiwa Kwa nyumba?
Gen Z hawaku protest kwa sababu politicians walikuwa wana hire goons ku sabotage their plans....so waliamua wasiende
If they want to go they can..
Mbweksee😂😂😂
Eeeh omosh uko na udaku
Ngotha tena
My favourite part...ngotha tena
i support ruto a billion tymz wacha a rule a billion years soo tht wanyorokee vizurii
Wewe ni mwendawazimu wewe
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅