Crotus cracks me up, especially when Camilla is nagging him. He sounds so real and realistic and he's never short of the choice of words including "avalanche" 😂😂😂😂😂😂 Poor Onyi, Empress has trashed his business plan so viciously😂😂😂😂😂
Certificate ushapewa Camilla..... Nini unaonea mtoto wa kimeru wivu hivyo, very insecure...ama ni vile chakula huwezi pika na youtube kuna recipes kadhaa
Ya leo imetii amri. New this and that. Keep up but Camilla should keep her strap in place. It was dropping off from it's comfort all the time. Anyway,!
Who ever is reading this. have a good day 🤝
You to
You too
Same to you
Good day too Alle
U too swiry
We want shiti back 🤩
Please nipewe 100likes shiti arudi next show
Nlikuwa nmesahau leo ni Thursday ...nikiwa na randa randa tu huku youu tubuu nikapata hii!
Watching from Philippines I'm missing my country Kenya, nawapenda sana my fellow Kenya's
Bonface Karanja usikuje na corona
Ilikuwa lazima useme😂😂😂😂
Hehehe monicah
@@juliasarkadi represent Kenya bro
@@monicahkamau7389 I will not dia
Crotus abong na Camila mnajua kuact sana nawapenda bure♥️♥️♥️♥️
The rate and patience at which i watch Crotus and Camilla's part 😂😂😂
Crotus cracks me up, especially when Camilla is nagging him. He sounds so real and realistic and he's never short of the choice of words including "avalanche" 😂😂😂😂😂😂 Poor Onyi, Empress has trashed his business plan so viciously😂😂😂😂😂
Ya
Anne-Marie Kosh 🤣🤣🤣
crotus is the best
@@delaoyaro8434 Right
Thank you Director nimeishi kuongelea Dera ya Shifira hadi Finally ametoa.. Ion part yenye inabore ni ya Awiti aki... Rewrite her scripts aki
Haahaha crotus maneno yake ni kama yale ya mwanaume mkenya halisi😂
Me siez omba likes japo ndo 1st ku tazama
Crotus keeps me glued on this show💪💪💪
onyi na empress munamake show lit ..kali sana my favourite actors
Mbona women wanajaribu kufufua kitu ilikufa na ikazikwa, someone’s jealous “ Camila” 😅
Wewe na kirote mume kosana haya sawa basi
Kwa hiyo ni uniform wamevaa awiti na mnandi
Uko na meno 32 na ikusaidii: leta besheni nikutemee mate uende ufue
😂😂😂😂huyu mkale ndio watapelekana na awiti hapa kwa hapa😂😂
Kabisa💯
Kwani huyu empress wa Onyi anakuanga amejam tu throughout. Sijawahi muona ame-smile hata once since aanze kuact
Labda deal iingiane😂😂😂😂
Haha mkale keroo awiti inye iss 😂 😂 😂 😂shiphira sema chebilbil 😂 😂
Brenda Bresh 😂😂😂😂😂
@@fancymaina7792 😂 😂 iko top sana
Michi haki 🤣Ati hata ukitaka kunitumia usiku I’m available 😄☝️
Mkalee utanimaliza
Chelosos😃😃
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
What does it mean
@@AishaKuzuhi a wild animal
@@melodine4605 oooooow😂😂😂😂😂 thanks
I know 😂😂😂😂😂
Tunaeka ma mutura 😂🤣🤣 onyi my favourite
Awiti haga nayo🤗🤗🤗😋😋😋
Ni nini michi utoka kama anafungia kwa mlango ...😂
Bana
8:04 uyo jamaa anaishi kwa vacant
Shiphira my galfrens amazes me😂😂😂🤙🤙🤙🤙
Lakini huyu womans wa onyi joh🤣🤣🤣🤣😂meno 32 na hazikusaidii
But shipira atawahi wachana na awiti kweli??Shiphira we need a new DM in your house..hii part yako na awiti imekaa sana 😔
Eeee kotab mama lapenda @chepilpil you kill it ...Chelesos
Waaaaooooo💃💃💃💃the first to comment, ma likes ma friendes🤣🤣🤣🤣🤣
Vile Onyi aliambia mrembo wake akae kwa nyumba akipaka rangi kwa makucha ndio hivo mrembo amefanya🤣🤣🤣
Hahaha camila utanjua hunjui....crotous
Remember we have repentance day at Uhuru Park on 21st March,let’s gather and pray for God’s revival....hii nyumba ya camira Woiye too much makelele
Jamaa huyu awitii Ako na Facebook page nikufollow nataka nione hio MUNGU alokubariki
onyi siku izi ni mpole
Uko na meno 32 na haikusaidii kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uncle yangu anafanya kazi kwa office ya William 😂😂😂
Hiyo imenikumbusha wale comedians wa "hello William,, ni sisi"!!! 😂😂😂😂
Awiti Hananga jina ingine ya Matusi... Isipokua NONSENSE 😂😂
Kilo kilo ni wewe umechukua maji yangu hehehe...aka kamama kananimbamba nice acting
Crotas and Camilla😂😂😂😂 Camilla is such a bully😂😂😂
9:27 si ulete basin basi nikutemee mate ukafue,fulish😂😂😂
p _rock 🤣🤣
Ofisi ya William....
Shiti ako wapi😢😢😢😭😭😭
Wah Leo n mm wa mwisho...malike za malate Comer's
Onyi na msuparee hunibamba sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shivira is my person😂😂😂
Leo sinifikishe ata 2k likes nifurahi❤️
Izi likes husaidia ama? Am in the dark
Kama hii vida haifikishi unaona ukifika?😂😂😂😂😂
mbona hii mlango ya Michi hu knockiwa na sideways?
Base ya mtura ifunguliwe😀😀
Girlfriends heheeeee shifira and Awiti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Eeeh shikanisha micheriti Na Awiti😂😂😂😂😂
best shows ever 😂😂😂😂😂💯
Camila true Crotus forced love matokeo ndio hayo😂😂😂😍😍
Nilidhani awiti amevaa vest juu ya top😂😂b4 asimame😂😂😂
Pia mm nilidhaani hivo
Pia mm nilidhaani hivo
@@marykendi8492 🤣🤣🤣uyo n awitious kweli
@@elsiemildred1702 imagine
Crotus anawezaaaa
Crotas is the best,, 😂😂😂
Chebilbil😂😂a kam slowly💔😂😂😂😂
with love from kahawa sukari
Onyi na Sherry wako na chemistry
Gud job🔥🔥🔥🔥
Certificate ushapewa Camilla..... Nini unaonea mtoto wa kimeru wivu hivyo, very insecure...ama ni vile chakula huwezi pika na youtube kuna recipes kadhaa
Ya leo imetii amri. New this and that. Keep up but Camilla should keep her strap in place. It was dropping off from it's comfort all the time. Anyway,!
Camilla huwa mgikuyu eeeh??? @11:44 ni ushahidi tosha.... If you know yu know
Awiti si kiraka Ni ngunia😂😂😂😂
Almost there....
Last viewer🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii marriage life ya akina Camila ni real, I like the the fight
Na huyu empress Onyi anampiga makumbo kweli?
Camilla na charger ya Maroon na Olive hio ni gani tena 😂😂😂😂
Ati naka mutura 😸😸😸😸😸😸😸😸
Relationship ya Crotus na Camilla ni real husband and wife kapsaaa
Crotus Abong nailed it...Camilla why are you so unsecure?? araaa!
Mi nahama na shiti sasa
Eti awiti ni gunia🤣🤣🤣aki michi utaniua😂😂😂
☻☻☻atleast a better episode
uko na meno 32 na haikusaidii...........
😂😂😂vison ya Michi imembamba..base ya mutura🤣🤣🤣
Hakuna siku Onyi atawasha hiyo TV yake1😄😄😄😄
Mturaa😂😂😂😂😃😃😃
Fomu ya Onyi imeweza, eti base ni ya jaba😁
Mkale❤️
onyi nakutambuanga mradi zako
Crotus is back 🔥🔥🔥🤣🤣🤣👍👍
awiti amebarikiwa manze!!!
Abunuasi..... Noooonsense 😂😂😂🔥
Nani amenotice water tank ya avocado court imebadilishwa, it's small😂😂😂
Akii Awiti atakuja kushinda Janerosa kwa unono
🤣🤣🤣🤣 madam ata ukitaka kunitumia usiku napatikana 10.57 michireti
Huyu Chebilbil anaboo
Eti mturaa😲😲
Camila stop being insecure,acha kufufua kitu imekufa ikazikwa tats irony and we all know.Lets wait
Crotus is the real deal....🤩🤩
Empress wachana onyi kuja huku
TV kwa onyi haiwakangi?
Forish😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aki shifira
Shifira loi😂😂😂😂
Sherry Sina ID me ni kemboi 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Hapana
Ofisi ya uliam oh haha
Empress amepigana ngeta sasa anadai hawezi job ya mpesa? Lol
Sikatai.. but imagine kuna ajamaa anakula hii mzigo ya awiti
Haha yawa
Shipiraah!! Will kill me with her kizungus
Walai I like Theophilus Abong's character
Let someone tells onyi huyo tortoise anadai boll atulie
Wacha wivu