Simba 2-0 Power Dynamos FC | Highlights | Friendly Match | Simba Day - 06/08/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2023
- Tazama matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye tamasha la Simba Day.
Simba SC wameshinda kupitia magoli ya Willy Onana na Fabrice Ngoma. - กีฬา
Daah nasikitik kua yanga hamtaki kukubali kam sisi simba tumewazidi kwa kila kitu simba wenzang gonga like apaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😢😢😢😁
Hujui mpira. Nende kapige filimbi kwakujamba.
@@nkosiyabomasuku1795TUNDU LAKO HILOOOOOOOO HILOOOOOOOO 😂😂😂
kama unaangalia marudio aya leo 03/9/2023 tujuwane kwa like
Mimi nayaangalia leo tar 10/9/23
Kama wew ni simba gonga like
Unyama ni mwingi
Unyama ni mwingi
Unyama mwingi
Mm yanga ila nagonga like mnyama unatisha...
YANGA wenzangu gonga like
Good luck for the new season 💪 Love from Rwanda🇷🇼
Onana we still love him 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 from Rayon Sports Gikundiro 🤍💙🤍💙🤍💙🤍💙
Excellent game from the team and my country men, Che Malone and Willy Onana VS Bong Lionel... All Cameroonian s
Tuache ushabiki maandazi Mimi niyanga Ila beki wenu malone hatari Sana sijui mnasemaje watani?
Nikweli anajua jamaa
Kabila tu ndio haiamwi
Balaaaaa huo ukuta w yerico
Baraka mpenja unajua unajua na unajua tena♥️❤️❤️
Saidoo anafaa kuwa man of the match kabisa 2 assists hatari kweli
Mim Leo wa kwanza jamani naombeni like zifike buku maana Simba hii🔥🔥🔥🔥
❤ mm nimnyama unyama mwingi kwakweli big up sana
Binafsi Fabrice Ngoma yuko vizuri
Height 💯
Skills 💯
Killing pass 💯
Body Ball 💯
I'm zambian but Tanzanian football is out of this world....next time zesco United we are coming🙌🙏🙌
Kuna wananchi na wenyenye nchi Kuna mnyama Kuna nyama Simba oyoooo oyoooo ❤ ❤❤❤❤❤❤
Me from kenya ila tz nmetuzidi kila kitu about football...hongereni
What about music?
@@hamishamis8282pia tumewzid kwasas
Yah tuko vixuri Sana Tz ,hatutaki mchezo na maisha
Hongera sana Kwa kukubali ukweli
Namba 1 on trending oooo waaaaaaaoo
Niwapongeze watani wetu jana wamecheza vuzuri sana 🎉
Kume una akili sana mtani
Simba bongo batimbaya asante mungu kunijalia kushabikia simba❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🙏litakufa jitu
🎉😊nakupenda Simba mshabiki wa damu❤
Woooi hiii ndio simba🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kama unaikubali simba unyama mwingi tia like
This is Simba Brothers and Sisters.🇹🇿🇹🇿
Azam TV tuongezeeni dakika...13min kidogo from Saudi Arabia 🇸🇦
Simba unyama mwingi 🎉🎉🎊 Mpenja nakupend pia 🌹
Hata km nmechelewa mnipe like japo 10
Simba ❤❤naipenda sana mpaka nakufaaa
Salim is a good goalie. He will grow in his role I can see.
This is Simba Sc 🦁🔥💪💪💪❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yaan masaa 10 tu namba 8 on trending this is Simba
Unyama mwingi
Kilicho waponza hawa power dynamo nikuvaa jezi ya njano yani hili nikosa kubwa kwa Mnyama ... Nadhan mlio soma cuba mmesha nielewa....😂😂😂
Ilie mkubali ngoma gonga like
Ukitizama mechi ya simba na ya yanga kwenye siku zao unaona kabisa simba bado,yanga wapo juu
fafanua bado nini
Ww kwenye ligi ulimfunga nan
Unadhani unaweza kuwa na mtazamo tofauti ww mwenyewe kwanza
Toa sababu siyo mhemko wako
Tutake Nini jamanii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ simba
Hii Team Yetu ya Simba nataka niwaambie watanzania Kuna jambo kubwa itaenda kulifanya msimu huu na itakua ni historia kwa nchi na vizazi.... Najua watu hawana Iman na team sababu wanaangalia performance ya Yanga kwenye NBC ilaa katika Mashindano ya kimataifa CAF CHAMPIONS NA SUPER LEAGUE MWAKA HUU SIMBA INAENDA KUWEKA HISTORIA
Naungana na ww hiki ynachosema SIMBA LIJITU LIKUUUBWAAAA IV
naungana na ww kwa asilimia 100% Simba nguvu moja kikubwa zetu dua zao dawa
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mkubwa mkubwa tu nomb 2 on trending,, 1 day , likes 3.4k
Kumbe umeona Kama mm
Fantastic
What a performance🔥🔥
Simba oyeeeeeeee
❤❤❤ ilove simb
Simba nguvu moja 💪
Kwa utamu huu ninaoupata Simba hata sitak mwanaume wa kunikuna akii😊🙈🦁🥰🥰
Duuuuuh jaman nipe mm nitakupa utam zaidi ya simba mtoto
Naomba namba yako
@@akramkhamis2006 Mh hapan my Simba yangu yanitosha
@@Mr_Highlights360 Mh
Uhakika nguvu 1
Kama wewe mwana simba unaamin mwaka huu atuachi kitu gonga like hapa twend kazi❤❤
simba leo raha sana
Ni kweli simba imefanya vizuri Mimi naipongezakwakufanya vizuri
Baraka Mpenja hodari sana kwenye Commentary
Nimependa Mh Rais alivyo gonga na mh waziri kama umeona na wewe gonga like
Nilichogundua uto ndo walikua busy Zaid na Simba day😂😂
Wanasimbaaa, hata tulingi
Nimeimisi simba yangu ❤ simba nguvu moja
Hamna kitu hapa wanasimba hakuna timu hapaa na waambia 😅😅
Waoooooooo❤ Simba 🎉
Team ya 2023 ni nzuri
Nani kaona mama kagongeana tano na mtuu kwa furaha❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Naipenda simba
SAFI SAFI Simba voice
Naipenda sana Tim yangu
❤❤❤❤
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥chukuweni na mauwa yenu Simba💐💐💐💐💐🌹
Ofcrs F-Teams za Tanzania zimekuwa sasa yaani mwaka huu tutashuhydia mengi NBC as well as Kombe la Africa...Naitakia Tanzania mashindano mema na yenye amani kabisa...Go Simba, Young, Azam and Singida to present the Nation kwa kweli
Today is our special day sasa utopolo salam zao❤❤❤
Asante Mungu!
Litakufa jitu siku chuma 10😂😂😂 Simba hii 🙌🙌🙌🚀🚀
Mpenja anajua hadi Sio pouw 💪
Kocha ana ubaguzi sna kwa moses phiri
Mshenz kwanza nampenda sana uyu kocha Kwa anavomtenga Phili naanza kumchukia kabsa sio sili
Hhhhhhhhhhhh
Jamani mm yanga ila mwaka huu Simba wanavifaa Tena wanavitu naivyo tumepolomoka SS yanga tuombe mungu
🎉🎉poea sana 0:41
Yanga bingwa mpaka hapa
4:33 chama kafungua turbo😂
Mnyamaa
Naona yanga mko bize sana na comment za kisenge muyakanyage tena mtakula zaidi ya 2 mlizokula msim ulio isha manyang,au nyie
Naona wanajikamua wamesahau walikula apa 2 kavu wanakomaa kijinga tu apa
Ok 666
@@uswegemwanja52381¹
yanga nawapen polee sana
Yeeeees
Simbaaaa❤❤❤❤❤
🦁🦁🦁🦁💥
muwe munaweka dakika 90 zote wangine tunapenda kurudia naomba Azam mulifanyie kazi ilo
❤❤❤
Simba is big club
Love simba napenda Onan
Nam niko oman
Utopolo uvumilivu umewashinda wameshangilia goli la mchezaji aliyewakataa airport😅😅😅 simba raha❤❤❤
😂😂😂😂😂 unyama mwingiiiiiiiii Simba nguvu mojaaaaaaa wanasiiimbaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mpk mama kapiga makofi
Alomuona madavu gonga like
Mtangazaji umetuuza sana pasi kapga mzamir wasema saidoo
Nakupenda simba acha iniuwe 2
1:15
D'j leta Ngoma ya Diamond plantumz Mr Flover onana
Azam ongezen quality
❤❤❤❤❤❤❤❤Simba dam
Ahsante mpenja tena kwa Jina jipya la malone kwa sasa anaitwa ukuta wa yeriko🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪🇵🇪
🦁🔥🔥🔥
Nime enjoy sana mpira yaani nasemaje wanoko wajipange kisawa lasivyo hata kijiko hawachukui
Unyama mwingi❤❤
Simba huyu Kuna watu watakimbia mechi Kama 2021😅😅😅
Mchezo Mzuri. Simba inahitaji Mchezo mwingine na Timu yenye uwezo zaidi.
❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba oyeeeeeee
Watching a football match is great but think Jesus-Christ the son of the living God is the way, the truth and the life. The day of repentance is today. Stay blessed
Kweli Moses hapangwi wakat Yuko vzr tu
You may still face Power Dynamos in the CAF champions League. Revenge
Here to listen for barack mpeja only 🔥🔥