NILIKUA CONGO KUFANYA KAZI ZA NDANI NIKAFANYA NGONO NA MWANAJESHI AKASEMA ANANISAIDIA KULUDI HOME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 283

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e หลายเดือนก่อน +2

    MY SISTER FROM TZ LOVE D MY DUA ALWAYS WITH YOU UR FRIEND CHINA BOY FROM LONDON 🇬🇧 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e หลายเดือนก่อน +1

    LOVE D MY SISTER FROM TZ I HARD UR STORY ITS TOO SAD WHAT HAPPENS TO U IN 🇨🇬 CONGO THAT LAY TREAT U IN BAD WAY I PRAY TO GOD AHE WILL NEVER GET PEACE IN HER LIFE LOVE D MY SISTER FROM TZ .MY NAME IS CHINA BOY I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON. BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA SORRY MY SISTER LOVE D REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER CHINA BOY FROM LONDON 🇬🇧 .❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I AM PROUD OF TZ PEOPLE AND ALSO FOX CHANNEL FROM TZ .

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 2 ปีที่แล้ว +9

    Muongo nambari one huyu. Paspoti yenyewe aipate kwa siku tu kweli 😎

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 2 ปีที่แล้ว +11

    Ni ubunifu wa Hali ya juu Sanaa iende mbelee! Hongera dada kwa utunzu mzuri wa kazi za Sanaa.

  • @SalhaRashid-o1r
    @SalhaRashid-o1r ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada love dee

  • @DyanManema
    @DyanManema 10 หลายเดือนก่อน +5

    Nyinyi wa tzt mbona munajipenda sana .nakupenda maisha mazuri.....iyi story niyauongo

  • @mercyjames4409
    @mercyjames4409 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dada mwongo Mara amefanya mapenzi Na nyoka Mara ooh shemeji Mara ooh 😎😎 sometimes yeye ni mzanii wah

  • @JovinJosephat
    @JovinJosephat 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mwanzoni nilikuwa naamini hizi story ni za kweli. Kumbe huwa ni za kutengeneza tu

  • @saeedahhenry711
    @saeedahhenry711 2 ปีที่แล้ว +9

    Uyu dada Kila stori ni yeye 😁😁😁🏃🏃

  • @selinaIbrahim-m5o
    @selinaIbrahim-m5o หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu wakogo ni wabaya sana kwa uchawi

  • @NadiaAlly-e8s
    @NadiaAlly-e8s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada

  • @lilianwambui1035
    @lilianwambui1035 ปีที่แล้ว +2

    Uuuui pole sana sister 🙏🙏🙏

  • @hellenmachibya2681
    @hellenmachibya2681 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akusaidie,,pole saana!!

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu cha huongo mbona Aliyake hinatisha kama kasilika na H.I.V. pole madam😭

  • @DeeDee-lc5et
    @DeeDee-lc5et 2 ปีที่แล้ว +2

    Love D na ukora jaman

  • @xavierowino
    @xavierowino 2 ปีที่แล้ว +3

    LOVE dee amewahi kusema kwa interview ingine alifanya kazi ya ndani huko Kenya...sasa hapa anasema ni mara yake ya kwanza kufanya kazi ya ndani. Foxe fanyeni kazi yenu vizuri ya kuthibitisha ukweli mojakwa moja kwa love dee.

    • @kulemudogo6413
      @kulemudogo6413 ปีที่แล้ว

      Congo tupo wakarimu,wacha mungu kuliko tz,. Nous congolais tres acceuillants. Uongo huu

    • @AishaFerous-jp8oq
      @AishaFerous-jp8oq ปีที่แล้ว

      Uyu dada muongo kila story yupo do chefu.

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 11 หลายเดือนก่อน

    Ko we love d ni mzee w mikasa au story tu

  • @noahkipbiwott
    @noahkipbiwott 11 หลายเดือนก่อน

    Pole love dee

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 หลายเดือนก่อน

    Pole pole

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mtoto wetu inaumiza saana njamani pole pole pole sana inaumiza saana njamani 😭

  • @rahelihaule1621
    @rahelihaule1621 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kwani Hy sy love Dy

  • @stephenjefaofficial
    @stephenjefaofficial 11 หลายเดือนก่อน

    Madam pole sana but mungu nimuaminifu atakulipia kila ulipo nyanyasika yesu yeye nimwingi wa huruma kweli mazito hayaaa❤❤❤❤

  • @AmuriMukumbamotard
    @AmuriMukumbamotard 8 หลายเดือนก่อน +1

    tuma namba yako nakupenda lavdi

  • @IsaacWasike-zv2vh
    @IsaacWasike-zv2vh 11 หลายเดือนก่อน

    Uuuui pole sana sister mungu yuko

  • @ekaiamoja3155
    @ekaiamoja3155 ปีที่แล้ว +3

    Kwani amuoni ni👉 FOXE TV 😹😹😹🤣🤣🤣😂😂😂😹😹😹😹😹😹

  • @musalimbe1539
    @musalimbe1539 2 ปีที่แล้ว +4

    mongo sana uyu dada congo sioivo

    • @AdrienneZahiga
      @AdrienneZahiga ปีที่แล้ว

      Tena wa 🇨🇩 wanaogopa wanawake wa Tanzania 🇹🇿 tatizo HIV ya east Africa

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 2 ปีที่แล้ว +7

    Muongo na anaemuuliza ni mjinga
    Maneno yote ya uwongo
    Kwanza ilikuwa nchi za kiarabu, sasa imehamia Congo

  • @vitalisopel1291
    @vitalisopel1291 11 หลายเดือนก่อน +1

    Strikingly beautiful girl,no man in his normal senses can escape the temptation of having “ issues “ with her,

  • @deniladhambi9901
    @deniladhambi9901 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmedhidi huyu si love Dee. Wacheni kutupanga

    • @NiyirereFrorence-ei1vn
      @NiyirereFrorence-ei1vn 10 หลายเดือนก่อน

      Ni yeye Na inawezekana kuwa hiyo story niyaukwel sababu kakonda saana

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 2 ปีที่แล้ว +9

    Usizoe siku ingine unaweza kuhuzwa na kutolewa moyo muhongo huyo

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu dada anapenda kiki sana muongo sana 🤣🤣🤣

    • @aishaali6160
      @aishaali6160 ปีที่แล้ว

      Wewe dada nikuulize lbda,hivi visa vyote vilikutokea wewe na hushtuki ukamrudia mungu wako ukatubu?acha uongo

  • @EuniceKabula
    @EuniceKabula ปีที่แล้ว

    Mmmmmmhiiiiiiiiiii pole

  • @shukirumahiki1013
    @shukirumahiki1013 ปีที่แล้ว +2

    Sasa love d mbona unatumika sana una pepo story zako na za kupelekewa moto tu

  • @AlfredTMtani
    @AlfredTMtani 11 หลายเดือนก่อน

    Mwambie love d nampenda

  • @lm6373
    @lm6373 2 ปีที่แล้ว +3

    Hayo ana sema ni uongo tu ndo kama wa dada wako huku Oman jamani ulkiitwa yaya wanakuwa na mastory ya uhabisi looo.

  • @amissaabdallah2542
    @amissaabdallah2542 2 ปีที่แล้ว +2

    Huna aibu kbx ,muwe munajiheshim ,

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe nahuyo mtangazaji niwapumbavu . Wewe ndo usirudie kuparama

  • @ramlatshabani5235
    @ramlatshabani5235 10 หลายเดือนก่อน

    Kalivyovaa t kanaonyesha kanadangany 😂😂😂 hata hakaonyesh kuumia na hiyo story yake 🙌

  • @RashidyAlly-j5o
    @RashidyAlly-j5o ปีที่แล้ว

    Pole

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +8

    Uyu muongo sana kila siku anatunga stori

  • @williamdamas8953
    @williamdamas8953 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Dada hajatulia.

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 2 ปีที่แล้ว +3

    umesha kuwa mja mzito 😂😂😂😂😂 ulienda Congo kutafuta mimba wamekujaza umeludi 😂😂😂😂

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangilu

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 ปีที่แล้ว +2

    Ulishaungua kifua dada kama kweli pole dada ila ungeenda kwenye ubalozi wa Tanzania ama unaenda makanisani

  • @praisegodjonnathannasari4543
    @praisegodjonnathannasari4543 ปีที่แล้ว +3

    Muongo asie na haya mjinga sana na watu wanao muoji uongo

  • @olgamuhiyaolgamarthe4336
    @olgamuhiyaolgamarthe4336 ปีที่แล้ว +2

    Weeee koma Lubumbashi which tukome nyoooo 😏😏😏😏 kwanza watu wa lushi hawajuwi Swahili

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 2 ปีที่แล้ว +5

    Nadhani sana alilala akaota, akatakani iwe hayo yote
    Muongo hafai

  • @DafudaDotto
    @DafudaDotto 11 หลายเดือนก่อน

    Loveness punguza Bangi 😂😂 njoo nikupe mchongo niko na studio

  • @BrendaShiriswa-lo5wx
    @BrendaShiriswa-lo5wx 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂 wakenya wawapi😢😢😢 nambiye

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 หลายเดือนก่อน

    Niukweli uliza kanyaga ❤❤

  • @anaanaelle6500
    @anaanaelle6500 2 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ulizani utachezea kongo? Huku kongo akuna mizaa haturegei ... ukija huko kuja taratibu usije ukaumiya , yaani usijifanye mujuwayi ukija uku kwetu.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 หลายเดือนก่อน

    Nyiye wa Tanzania Wanawake wengine wacheni kujisifu kwa ufisadi na uhuni mnatia Aibu Nchi yenu na kufundisha vizazi vinavyo kuja tabiya mbaya. Kwa sababu siyo utamaduni wa Ki Tanganyika.

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 ปีที่แล้ว +2

    Maajabu ya Love Dee.Lakini musiki wako ni muzuri sana,mbona unaangaikahivo?Hiyo safari ya kwenda Congo ilikuwa haifayi kabisa,ungeuwawa.

  • @amissaabdallah2542
    @amissaabdallah2542 2 ปีที่แล้ว +3

    Aibu jameni, kwanini mtu huwez kufica aibu yako ,mungu awasameh kbx 😏😏😏

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi we dada sindo ulisema ukiwahi kushuhudia mauza uza kwa zumaridi🙄

  • @EvelyneSimon
    @EvelyneSimon 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe dada tumekuchoka nauomgowako asubuh unajipya mchana jipya jion jipya tumekuchoka jamani kukuona mtandaon au unauza sura

  • @VC-oo3cj
    @VC-oo3cj 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu kinyago muongo sana

  • @officialsharifa
    @officialsharifa 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani huyo dogo mmmmmh hatari sanaa 🤣🤣🤣🤣

  • @masikamiriam7665
    @masikamiriam7665 ปีที่แล้ว +2

    Love dii ka kohozi kama ka ukimwi yule mume hajakuachia ukimwi kweli ?

  • @karhikalembo3014
    @karhikalembo3014 11 หลายเดือนก่อน

    Ni mwongo huyu mdada. Congolese wana love kushinda wa kenya. Hiyo anasema ni ongo...

  • @linetmogusu2409
    @linetmogusu2409 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu ni love d? 😁😁 Mbona kawa mweupe sasa 😳😳🤣🤣🤣 lakini love d nawe kila siku na story tofauti, hivi hua ni za kweli...ama watungu tu?

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 ปีที่แล้ว +1

      Kajichubuwa

    • @mpesastatements2265
      @mpesastatements2265 2 ปีที่แล้ว

      Huyu ni mwongo Kila siku Mikasa hukujuta Ile ya kwanza

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 ปีที่แล้ว

      @@mpesastatements2265 sana ni muza mwili

    • @kizakilozofelicien4860
      @kizakilozofelicien4860 ปีที่แล้ว

      Love d ikosa maneno yako mengi sio ukweli ukitazama sana unaunga chunvi

    • @TabuMudi
      @TabuMudi 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi kweli msanii mzima mwanamuziki kama unavyodai utakubalije kuwa mdada wakazi? Hiyo period ya kuchezewa ila ndio ukome umepata fundisho unahaja gani ya kukaa kuwachungulia si uwaache hama chumba

  • @joshuamdimi9507
    @joshuamdimi9507 2 ปีที่แล้ว +8

    Izo story za mchongo

  • @BenyJapheth
    @BenyJapheth 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wew dada acha uongo

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 2 ปีที่แล้ว +7

    Acha uongo wakongo wenyewe njaa tupu kazi zandani wenyewe wanazitafuta

    • @AdrienneZahiga
      @AdrienneZahiga ปีที่แล้ว

      Si wacongo wote. Nonsense. Tanzania 🇹🇿 ina maskini wengi, Congo 🇨🇩 ina matajiri na maskini pia. Story hii ina uongo

  • @muzerwadeo638
    @muzerwadeo638 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada anasema uwongo. Kwanza hata namna anavyo pika pika mdomo inaonekana ni mambo ya uwongo anayo sema. Congo hawawezi kumfanyia hivo.

  • @AmisoMuyohira
    @AmisoMuyohira 9 หลายเดือนก่อน

    Njoo burundii powa bujumburaa

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi za uongo nao ni ubunifu na ni kipaji Pia....

  • @HamisiHussein-nx7is
    @HamisiHussein-nx7is 11 หลายเดือนก่อน

    Muongo so kweli sisi ndo tunapajua Congo

  • @hawaabakari6005
    @hawaabakari6005 ปีที่แล้ว +2

    Kan alijikirimu weee asie mjua uyuu

  • @brigidwanjira1676
    @brigidwanjira1676 ปีที่แล้ว

    Ati wakenya niwaminifu hawajui kucheat nani alikudanganya,Kitanda usichokilalia haujui kunguni wake,jaribu mkenya utalia zaidi kushinda ulioyaona Congo

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 ปีที่แล้ว +2

    hodari wa kubuni stori za urongo

    • @abdullahabdul9246
      @abdullahabdul9246 ปีที่แล้ว

      Huyu muongo Sana mwanamke anavyoongea .tu ukimsikiliza Sana anasema .uongo

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa ปีที่แล้ว +2

    Ulikua hujui km huyu anafurahisha Wana mitandao?

  • @elizabethchemutai1212
    @elizabethchemutai1212 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada unashinda mkimbilie Mungu ili ukombolewe una pepo ya usherati na uabudu sanamu. How can you trust witch doctor than your living God. Wewe ni mwaminifu na ulifunja familia

  • @amissaabdallah2542
    @amissaabdallah2542 2 ปีที่แล้ว +3

    Bixuuu 😏😏😏😏

  • @LucyMasingija
    @LucyMasingija 11 หลายเดือนก่อน

    ivi jaman hizi ni story za kweli au ni za jaba2 maana huyu dada sio kwa uongo huo jaman

  • @lolimokolo3591
    @lolimokolo3591 2 ปีที่แล้ว +3

    Atcheni kutchafu kongo kwa vibaya Sawa kilasiku ..

  • @lm6373
    @lm6373 2 ปีที่แล้ว +3

    Ilikuwa oman ndo wanateswa sasa ni congo eeee jamani tunawaoneya huruma wa TZ

  • @marymassawe8655
    @marymassawe8655 11 หลายเดือนก่อน

    Ona ulivyo jikondea unapenda sana kubeba mizigo mpaka leo ni mzima kwei na hako kakikoozi umeshacheki damu.

  • @jeneferedayac3458
    @jeneferedayac3458 2 ปีที่แล้ว +2

    Moyo ukiwa mgumu kwakweli mahala uwa pabaya kwenda kuwa makini

  • @Phoebe-b2l
    @Phoebe-b2l ปีที่แล้ว +1

    Nazani huyu dada kalipwa kusema uongo

  • @elifasimwigema1327
    @elifasimwigema1327 ปีที่แล้ว +2

    Uuuuuuuuwi.

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 2 ปีที่แล้ว +2

    Acha uwongo kuma

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 ปีที่แล้ว +2

    Mbona Cometi zote zasema niongo!vip hu mudda anaishi wawp!?😂😂😂😂😂🍷🍷

  • @monicahkibe893
    @monicahkibe893 ปีที่แล้ว +2

    Apana ata kuoleka we nishida,

  • @anaanaelle6500
    @anaanaelle6500 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe una majini, umejuwa wanaume wengi . Wakuombee kwanza upone

  • @farhanialfarsi1983
    @farhanialfarsi1983 2 ปีที่แล้ว +15

    Haka kadada nikale kanako semaga uongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +2

    Hata haieleweki

  • @lilianngonyereamata2079
    @lilianngonyereamata2079 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi huwa siamini huyo mwana dada,mara kwanza mume wa dadake .kwani huwa anajiona ako mazuri sana kuliko kila mtu.huyo mwanadada muongo aisee

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 11 หลายเดือนก่อน

    Ila wee dada tumekuchoka kila pege upo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unadanganya watu

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 11 หลายเดือนก่อน

    Siyo uwongo

  • @KyoseJoseph
    @KyoseJoseph 11 หลายเดือนก่อน

    Uyo dada tuna mjuwa chizi wahali.ya juu

  • @alexxsheezo8394
    @alexxsheezo8394 2 ปีที่แล้ว +2

    USO mweupe halafu kwengine mweusi, huyu mwanamke alikuwa mweusi kama msudani, da! Kweli urembo unasakwa kweli

  • @mkongomani4678
    @mkongomani4678 2 ปีที่แล้ว +4

    Story nyingine jamani hazingii kilini hawa watu wa Lubumbashi hajui kiswahili bora ao kingereza sasa muli wasiliana kwa lugha gani sasa ???

    • @kulemudogo6413
      @kulemudogo6413 ปีที่แล้ว

      Kiswahili hicho ,na tuwasomi zaidi 😁😁, kifaranza ,na lugha za kikoo

  • @KINGSHAWELA-bh2sy
    @KINGSHAWELA-bh2sy 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe umeenda kufanya umalaya sunajua Congo tajiri

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ant sijui huwa anamanagani kutoa sitori zauwongo ila atakua nalana siyobule aisee

    • @lilianngonyereamata2079
      @lilianngonyereamata2079 8 หลายเดือนก่อน

      Ni laana ukifatilia story zake zote mara shemeji, mara ryoka, mara lile mara hili muongo mkubwa

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 8 หลายเดือนก่อน

      @@lilianngonyereamata2079 waandushi wa habali hua wanawapa kiasi cha pesa ili wahoji iyo inachangia mtu kubuni stori yeyote ili apewe pesa

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 11 หลายเดือนก่อน

    Mnatunga siyo kwel

  • @AbdallahMbegu-e2n
    @AbdallahMbegu-e2n 9 หลายเดือนก่อน

    Yaan huyu dada hata kwa mtu asiyemjua kuwa ni mtu wa story unamjua tu ni muongo kwa usimuliaji wake yaan anahadithia kanakwamba alikuwa anaenjoy aliyofanyiwa

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 2 ปีที่แล้ว +2

    iv foxe? hua akuna watu wengine wakuhoji? au anawalipa uyu Yan mnaboa kwelikwali yaana mpaka uaminifu na hii foxe unaisha kwa stori za kutunga.....

  • @patrickkisomo1529
    @patrickkisomo1529 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂kumbe sisi wakenya tuko juu

  • @joachimompesh7387
    @joachimompesh7387 2 ปีที่แล้ว +2

    Chiziiiiiiii