SIASA: Isaac Ruto na Moses Kuria wakabana koo hadharani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Gavana wa Bomet Isaac Ruto na mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria walikabiliana kwa majibizano makali katika hafla kule Bomet. Maswala ya mgao wa fedha za kaunti na suala la ICC yalileta hisia jukwaani
I like this kind of political battle just like in WWE. The tongue battle is the best competition not violence.
mheshimiwa Isack ruto achana na huyo bumbuwazi asojielewa mwambie tukutane August 8 ndio watafahamu kiukwelii wa kenya tumewachoka tumewakinai waende wakapumzike makwao
yah annick buy he is better than raila my opinion
This is good politics
After all criticism from comentor who won? Mgala muuwe na haki umpe
tabia mbaya kuria
the only mad man in clothes
Raymond ojwang 😂😂😂😂,,,na hurumia voters wakumu elect,,,BT sioni naona kama huyu atawakimtoa gatundu bado anatangazwa mshindi,,maskinii watu wahuko anafaa kazi ya kusimamaa kwa soko akifanyaa na kuonyesha ujingaaaaa yake,,huyu hata mathare hawezani na yy... maombii tu pekee
Haha kenya:-(