@@joshualugendo do you know Pastor Rose Shaboka? She tagged your song (Makerubi) thats why we came here to listen it. Follow her in instsgrsm pastorroseshaboka
Very powerful song, makes me think of when we get to heaven, we will be singing, holy holy with the angels , tutainama na kuinuka tukisema hallelujah, tutaungana na maserafi na makerubi tukisema hallelujah
Wanaoelewa gonga like hapa
31.07.2022 Haleluyah ! Haleluyah …Amen !nami naungana na maserafi na kukusifu 🙌
ubarikiwe... nyimbo hii ni ya muda kidogo lakini naona kwa sasa inasikilizwa sana.....nikianza mimi hata akilini hunijia maranyingi mno
Nimeletwa na pastor rose na hakika nimebarikiwa sana sana bless you kaka kwa kazi nzuri sana
ivi kumbe nimerudia Mara nyingi hivi nani karudia kama mimi
Mama nimerudia na sijachoka bado
Hellow if you listen this song July 2020 gonga like ..! hapa Happy birthday too all Team July
Nimeletwa na Pastor Rose shaboka hapa
Mwenyewe nimeletwa hapa na Pastor Rose shaboka hahaaaa good song
Tuko pamoja,,,nilipita hapa asubuhi na nimerudi tena.
Hata mimi nimeletwa na Rose
Haleluya Haleluya Ameen Ameen
Love this
Mama egdi lugendo apa
Pambana mwanangu
who else is here after pastor Rose's post?
@@joshualugendo if you follow her on IG you'll see her post. Brought me here. Beautiful song
Me
Me
@@joshualugendo do you know Pastor Rose Shaboka? She tagged your song (Makerubi) thats why we came here to listen it. Follow her in instsgrsm pastorroseshaboka
Me
Barikiwa sana mtumishi wa YEHOVAH! wombo unanibariki sana
Very powerful song, makes me think of when we get to heaven, we will be singing, holy holy with the angels , tutainama na kuinuka tukisema hallelujah, tutaungana na maserafi na makerubi tukisema hallelujah
AMEN AM BLESSED ALL THE WAY FROM MALINDI KENYA
Hakika kwa huduma hii utafika mbali sana Mtumishi wa Mungu
Hallelujah! Hallelujah! Amen 🙏🏾
Be blessed Minister Joshua !
😍amen
Hallelujah Amen
Huu wimbo ni naupenda na unanibariki Sana...ilikuwa wimbo wangu last year na ha huu unaoanza..bless you kaka
Stay blessed Servant of God 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
June 2022...still powerful
Bless you 🙏💕
Waooooo Mungu uwabudiwe na kusifiwa milele
Nilisikiliza wasafi Sunday worship
Hallelujah Hallelujah ndiwe Mungu wetu🙏🙏 Barikiwa sanaaa mtumish wa Mungu
Nahisi roho mtakatifu yu juu yangu
My brother keep it up and God Bless u in everything
Powerful song God bless you Minister Joshua
Nimekuona wasafi sundy worship nimeenjoy wimbo wako
It is a good song as God bless you brother in the name of Jesus Christ
Huu ni moja Kati ya nyimbo tutakazoimba tukizunguuka kiti cha enzi
Haleluya Haleluya Haleluya Amen- such a good song Joshua- keep shining- tunajivunia Mungu kukuweka mbezi Beach.
ohooo kumbe
I love this song, it's too deep
God is good let us worship the Almighty Lord
Bro yaan nimebari sana yaan
Hii ndio ile kitu nmengoja sana barikiwa mno Joshua
th-cam.com/video/IoXOsqjZWLk/w-d-xo.html
Mungu akubariki sana Joshua Lugendo kwa wimbo huu mzuri sana. Neema ya Mungu iwe nawe twaisubiri ngoma nyingine 2021.
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE- MTAKATIFU NI WEWE BWANA
ROHO MTAKATIFU tuhudumie
Wimbo mzuri sana na Umenibariki mnoo...Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaid
Hii kubwa Sana..keep going bro🙏🙏
Ubarikiwee snaa brother n moja ya my favorite song 😇😇😇😇🤗🤗🤗🤗
Nice song Ongera Mtumishi
Wimbo wa taifa
Hey Joshua, Such a beautiful wonderful and powerful song, Be blessed brother....
th-cam.com/video/IoXOsqjZWLk/w-d-xo.html
Ahsante brother
Umenibariki sana..
Kazi nzur production, arrangement, apearance
Tunategemea zaid na zaidi
Amen tuendelee kuombeana
Worshiper ni worshiper tu aiseee💥💥💥
Amen bro!
Haleluya Haleluya Mfalme wa Wafalme. Amen Amen.
Brother ❤🙏🔥
Barikiwa Sana so powerful
Nimebarikiwa na huduma yako mungu azidi. Kuku tumia sana
, We sing hallelujah
You are very faithful Almighty God
God is good
Ameen jina la Yesu litukuzwe
Amen mungu hakubaliki
Bless up kaka! Glory to God 🙏
Kaka Mungu akubariki
Kila siku,kila saa nauimba huu wimbo,ubarikiwe
Mungu akubariki
Wimbo
This is so powerful..haleluya
I love this worship heavenly
daaah barikiwa sanaa broo sekei utrudi lin utpgish tiz ten asee
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu kwa utukufu wake
This song oooh my God!!
Mungu akubariki kaka
Nabarikiwa sana na wimbo huu ninapo usikiliza na kuuimba .Barikiwa mno Brother
I like the song,,so smart
Powerful worship 🙌🙏
Ujumbe mzuri kaka uzidi kutumika shambani mwa Bwana
Hongera sana Joshua
Amen kaka I'm so blessed with the song
This song 😭
Thanks brother u. Emenifurahisha
Powerful song my brother
Be blessed man of God
ubarikiwe sana Mtumishi Joshua huduma yako ni njema sana
Jamani nimeupenda huu wimbo nikisikiliza najikuta nalia hongereni kwa kazi nzuri kwa kuzidi kutusogeza mbele ya Mungu
Sooo powerful
Am blessed ❤
nakumbikaga kpind naibiwa i phone yangu ndo kpind nilikuwa naupenda wimbo huu
Such a wonderful worship song, maay God continue to use you
Safi sana home boy💪💪💪
Ni wapi uyu anatokea
HALLELUJAH 🗣️🗣️🎶🎧
2022 had milele twende wote
Haleluya
Your sooo blessed my brother I real like the way you sing this song tho umezoeleka sana ila kwako unabariki
Powerful song
Mtakatifu mtakatifu Bwana uhimidiwe wewe
Pastor Rose Shaboka brought me here
God bless u
tunainama mbele zako tunalisifu jina lako ..
safi sana Mungu akuinue kwa viwango vingine bro Joshua
I thank God for this beautiful and sweetest song it real bless and heal my heart alot
Halleluyah hallejah Ameen ......
Waooo wimbo mzuri sana Barikiwa brother Mungu aendelee kukupa maono zaidi
Utukufu ni wake Bwana
Nice song
Powerful 🙏
Yani sauti na una maanisha unacho imba nimebarikiwa
Mungu akuinue zaidi Bro umenibariki
Daaaah aisee sina Mengi ila
BIG UP MY BROTHER ❤❤❤
one day i will featuring you in my song ...
Such a powerful song..halleluya halleluya Amen..