SAMAHANI ASANTE |ep 12|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 407

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba  วันที่ผ่านมา +72

    Maoni Yenu Tafadhal
    0733 999 999

    • @sumakijaji4547
      @sumakijaji4547 วันที่ผ่านมา +3

      Movie Kali ila ongeza dakika

    • @rehemajulias-p9c
      @rehemajulias-p9c วันที่ผ่านมา +3

      Muvi kali sema nn kitale mm nangojea kukuona😂❤

    • @dianamushi-j9e
      @dianamushi-j9e วันที่ผ่านมา +7

      Movie nzur sanaa tuuh tatizo mnachelewesha kutoa hzo episode mpk tunasahau tulipo ishia at least muwe mna range after two days jmny😢

    • @HajiMwadin-t9l
      @HajiMwadin-t9l วันที่ผ่านมา +2

      Move mzur kak ongeza muda

    • @MwanengoMbogo
      @MwanengoMbogo วันที่ผ่านมา +1

      @@KitaleMkudeSimba mlete bakari na stani bakora

  • @NuhuAdam-re9tz
    @NuhuAdam-re9tz วันที่ผ่านมา +49

    Wanaomkubali Mzee kama wekezeni apa like zenu

  • @noninmaduhu3476
    @noninmaduhu3476 วันที่ผ่านมา +18

    Tunaoamin Mama Aisha atajutia kuondoka kwa mzee #Ramadhan Kama tujuae

  • @NajatRajab-x1k
    @NajatRajab-x1k วันที่ผ่านมา +26

    😭😭😭😭😭😭 mzee ramadhani siwezi ishi bila weye rudi babaaa😭😭😭😭😭

    • @vailethmtawa3478
      @vailethmtawa3478 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢😢

    • @NajatRajab-x1k
      @NajatRajab-x1k วันที่ผ่านมา

      Mpaka nimelia mwenzangu kwa melina​@@vailethmtawa3478

    • @MwanahamisSeifu
      @MwanahamisSeifu วันที่ผ่านมา +2

      Achaa aende ili Aisha na mama ake yamkute mazito man awasikii wamenikera sanaa japo movie mama Aisha wakufurahia baba ake kuondoka 😢

  • @hemedykayonko4109
    @hemedykayonko4109 วันที่ผ่านมา +8

    Yaani mimi hata mmgenipigia nyimbo2 ya ahsante ningeridhika ❤

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc วันที่ผ่านมา +58

    Nawaombea Dua wote kwa uwezo wa allah tuuvuke mwaka salama Insha'Allah Allah atufanyie wepes na baraka tele🎉🎉❤ samahani Asante

  • @jumaluaga7092
    @jumaluaga7092 วันที่ผ่านมา +17

    Naona kabisa mwisho wa hii kazi mama aisha atakuja kumuambia mzee kama samahani alf Asante baba(samahani asante)

    • @WardyMkamate
      @WardyMkamate วันที่ผ่านมา +2

      Kwelii kabisa lakn atakua kashachelewa

    • @Subra-d5y
      @Subra-d5y วันที่ผ่านมา +1

      ​@@WardyMkamate we mzee kama tunae bhana

    • @UpendoMaduhu
      @UpendoMaduhu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@WardyMkamatemm natamani liwakute na mtoto wake mana hawasikii😂😂

    • @CuteFarii-jc2uu
      @CuteFarii-jc2uu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sema kidogoo😊😂😂​@@UpendoMaduhu

    • @jumaluaga7092
      @jumaluaga7092 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@WardyMkamate wanaubishi sanaa

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante sana ,tena sana Mr kitalee,,,,tukopamojaaa,,kazii nzuri tumefurahia sana mpangilio huu,wa tamthilia hii,yakutupumbazaaaaa,,,,tumeridhia na badooo tukoooo tunasubiria muendelezooo wa ep inayofuataaa,,,,,(Asante kwa kazi nzuri, na sana zaidi tafadhali,tuongezee japoo dakikaa 15,,kwa utamuuu wa tamthiliaaa hiii ulivoipangilia)shukran sana, na mbarikiwe,

  • @JulianaMwilongo-o7y
    @JulianaMwilongo-o7y วันที่ผ่านมา +20

    Yaan toka nimeaza kuangalia leo ndo nimetishika mwenywe😂😂😂😂 kwani mnataka tulale tukikumbuka Samahani Asante😢😢😢😮

    • @vailethkecha
      @vailethkecha วันที่ผ่านมา +1

      weacha yani wanatutisha

    • @suhylaallykhamis5818
      @suhylaallykhamis5818 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nimeogop

    • @UpendoMaduhu
      @UpendoMaduhu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂ndo naangalia

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj วันที่ผ่านมา +10

    Kumbe Mzee Kama Ramadan Kama, alikuwa yuasema kweli kafukuzwa maana si Kwa Raha aliyo nayo Mmke Aisha

  • @NacirMendez-j5c
    @NacirMendez-j5c 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani hiii move hapana dahhh bonge la move ❤❤❤❤ bonge la stori safi sanaaaaaaa

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi วันที่ผ่านมา +3

    Kitale mkude simba,❤❤❤❤congratulation mungu akutoe kiwango hiki hadi kingine kwa kazi nzuri.

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga วันที่ผ่านมา +3

    Kitale ww mdio King wa sasaivi. Naipenda sana ii movie, from 🇲🇿🇲🇿

  • @Casmirors
    @Casmirors วันที่ผ่านมา +15

    Kuna samahani asante na mission impossible Hizi kazi ni hatariii🎉🎉🎉🎉

    • @salhatphidelis8884
      @salhatphidelis8884 วันที่ผ่านมา +1

      Na dunia

    • @FisimaPasco
      @FisimaPasco 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usishau dunia my

    • @Casmirors
      @Casmirors 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@FisimaPasco jerky nimesahau dunia

    • @elishalaurian9339
      @elishalaurian9339 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na malaika

    • @FaudhiatyJuma
      @FaudhiatyJuma 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uiiijue penzi la mtoto wwaa boss na dada wa kazi

  • @abimaelelias6461
    @abimaelelias6461 วันที่ผ่านมา +1

    Huyooo merina anavotokea ad mm nashtukaaa oooh😂😂😂😂😂 goosebumps🙌🏾🙌🏾🙌🏾kitaleee

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 วันที่ผ่านมา +24

    Team mzee Kama Ramadhani Kama, sheria yetu ni ile ile ya kudondosha like za kutosha

  • @KareemJuma-n7b
    @KareemJuma-n7b วันที่ผ่านมา +3

    Daah hongerez zako kitale na kwamtuzi💯👏

  • @darlenedada651
    @darlenedada651 วันที่ผ่านมา +20

    Jamani tunauzuni kuona mzee kaondoka

    • @VanessaVcent
      @VanessaVcent วันที่ผ่านมา

      Kaenda kutuchukulia dawa tuwakomeshe wale wachawi sugu😂😂😂

    • @hamissahamissa105
      @hamissahamissa105 วันที่ผ่านมา

      Weachatu tena uzuni haswa

    • @saidali4371
      @saidali4371 วันที่ผ่านมา

      Mzee hajaondoka kajikomelea ndani weee ngoja tu😂😂

    • @estheroscar4440
      @estheroscar4440 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama Asha Sauda atajuta siku s nyingi

  • @MohamedSalum-l5y
    @MohamedSalum-l5y วันที่ผ่านมา +1

    Kaka sijawai kukupinga nasitokuponga mm nakuombea duwaaa uzidikutupa buludani ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ScolaNalle
    @ScolaNalle วันที่ผ่านมา +11

    Mama Aisha weweeh😢 utajuta wewe

  • @KasidikaGrace
    @KasidikaGrace วันที่ผ่านมา +9

    Mimi ni mugeni leo njo nimeanza kufatiliya movie munikaribishe basi na like mashabiki wenzangu 😢 🇨🇩❤❤🎉🎉🎉

  • @jumaluaga7092
    @jumaluaga7092 วันที่ผ่านมา +20

    Nilidhani mzee kama atamuuliza aisha nywele ziko wapi😂😂😂

  • @abdulspice5035
    @abdulspice5035 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ichi chuma kila kinachotoka kinakua chuma kweli umetishaaaaaaaa hauna baya

  • @mushrafuahamadi8676
    @mushrafuahamadi8676 วันที่ผ่านมา +7

    Team mzee kama Ramadhan kama sheria ni moja tu like hapa

  • @felixadmin1793
    @felixadmin1793 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakina mama wanaliaga kwa uchungu kumbe mengine wanajitakia jmn 😢. Kwakushindwa kusikiliza wazazi wao kwakuwa nao wamekuwa wazazi somo hilo.

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it วันที่ผ่านมา +8

    Tunaoitaji kufaamu hutokaji wake hii movie tujuane kwa Iikee 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie วันที่ผ่านมา +3

    Utamkumbuka Baba yako mama Aisha 😢😢😢🎉

  • @AshaLazaro-u9m
    @AshaLazaro-u9m วันที่ผ่านมา +1

    Dakika ya 37 daaaah naipenda hii movie hatar ina mafunzo yanayohusiana na maisha ya kweli katika jamii zetu inatufundisha saan mauwa yako mtunzi ma wasanii maana wamacheza uhalisiaa 🎉🎉🎉🎉

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 วันที่ผ่านมา +1

    Aloo Dah Rahaaa si utuweke kila baada ya siku moja ikimaliza tutairudia upya tuu ❤❤❤❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama Merina ajafa...Dah!!!! Apa nimetoa machozi jamani..mzee kama lamazani kama. Muokoe Merina😭😭🙏

  • @omankafa1555
    @omankafa1555 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani hii move tunaomba iwe inawahi jaman ni nzuri sana ❤🎉

  • @danielmoses9263
    @danielmoses9263 วันที่ผ่านมา +12

    Kuna watu mnawahi aise 😂 utadhan kitale kawastua kuwa anachia goma🙌🙌

    • @efrahimtadeo5965
      @efrahimtadeo5965 วันที่ผ่านมา +1

      Alafu Kuna watu ata shule walikuwa Awa wahi iv😅

    • @danielmoses9263
      @danielmoses9263 วันที่ผ่านมา

      @@efrahimtadeo5965 🤣🤣🤣 so poaa huku wanatisha

  • @TiffarStima
    @TiffarStima วันที่ผ่านมา +2

    Dah namkubali sana babu yale aisha

  • @mamaaanmar1261
    @mamaaanmar1261 วันที่ผ่านมา +2

    Mama. Aisha. Utajuta. Sana. Unaona umeweza. Mwenyewe. Ss. Tunakuzoom tuu. 😂😂😂😂😂

  • @Alhajikobelo
    @Alhajikobelo วันที่ผ่านมา +1

    Hii move ni moto aisee hapa nimeitangaz hii move mpak nimefany watu wengi wanaifuatilia ila napata shida xana na haw wadau maan muendelezo wake unachelew sana kaz ni moto

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 วันที่ผ่านมา +4

    Kama Ramadhani kama...🙌🙌🙌🙏🙏

  • @vitalisieligi4158
    @vitalisieligi4158 วันที่ผ่านมา +4

    Halafu hili suala la kuweka cast dakika tano achana nalo washajulikana kuanzia siku ya kwanza pitisha haraka mambo yaishe

  • @AmanaK-u7z
    @AmanaK-u7z วันที่ผ่านมา

    Swadakta 👌 Mzee kama umesema ila mama Aisha jaribu kuchanganua maneno

  • @KmssKkss
    @KmssKkss วันที่ผ่านมา +3

    Mama aishaaa unampoteza mtt jmn daaah mskilizee baba ako

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤😂😂😂 Mzee kama kasusa arusi😂😂😂😂😂

  • @yonaasyon5063
    @yonaasyon5063 วันที่ผ่านมา +2

    Move nzuri san inafundisha😊

  • @MwasitiZungu
    @MwasitiZungu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aha hii movie ipo vizuri sana ila Ina chelewa kutoka

  • @Salmamazige
    @Salmamazige 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah jamani Mzee kama yaañ hawamuelewi dahh

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona fupi melina wacawi wamemuweka musukur🎉🎉🎉

  • @WAHIDAMWALIMu
    @WAHIDAMWALIMu วันที่ผ่านมา +4

    Unaweza sana kaka chukuwa mauwa yako

  • @UmmukulithumuKuluthumu
    @UmmukulithumuKuluthumu วันที่ผ่านมา +1

    Daaaah.jamani Babu mienakupenda

  • @ElinaIbrahimu
    @ElinaIbrahimu วันที่ผ่านมา +3

    Noma sana kitale lkn tuongezee muda kdg jaman

  • @yehoshafatisuhuzwa4399
    @yehoshafatisuhuzwa4399 วันที่ผ่านมา +3

    Kipande cha dada yake Melina jinsi anavyomhadisia mama yake. Kinaboa sana. Analudia tuliyoyaona

  • @SafiaAlawi08
    @SafiaAlawi08 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu mzima dawa mama aisha utajuta 😢😢 , ila kuna wakati kuzingatia ndoto nimuhimu kulipo kupuuza ndoto niujumbe wa mafumbo allah atujaalie mwisho mwema

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo วันที่ผ่านมา +38

    Kama kawaida mm ndo wakwanza Kuona hii ila mnaninyima like sijui shida ni nini majirani zetu

    • @harunamuhode
      @harunamuhode วันที่ผ่านมา

      Sasa nawe wa kiume like za nn

    • @AbdallahSaidi-s2v
      @AbdallahSaidi-s2v วันที่ผ่านมา

      Kuwa wa kwanza sio muhim san comment cha maana watu wata like kutokana na point utakayo comment

    • @swalehtole4507
      @swalehtole4507 วันที่ผ่านมา

      Leo nmewai kwa dakika 56..na mm kuona

    • @swalehtole4507
      @swalehtole4507 วันที่ผ่านมา

      Jamani Melina....😮😮😮😮😮😢😢😢😢

  • @FatmaBakar-up7jv
    @FatmaBakar-up7jv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    @fatuma mwakileo njoo uku mamaa mambo yamekua moto

  • @NajmaMgallah-g8x
    @NajmaMgallah-g8x วันที่ผ่านมา +2

    Mtoto akililia wembe mpe, mzee kasusaa anajuwa likiwakut ndo mtaftfta

  • @AshuraKhalid-m7h
    @AshuraKhalid-m7h วันที่ผ่านมา +1

    Naomba basi usichelewe kutoa,jamani naioenda sana samahani Asante ❤ kutoka kwenye damu yani toeni ata mara tatu au nne per week jaman ,nawapenda

  • @clalencemtewa7425
    @clalencemtewa7425 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kitale uko vizuri sana ila mda ongeza kaka

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imebidi nirudie tena kutizama mna mamke isha uliniliza😢😢😢ama kweli usolijua sawa nausiku wa giza

  • @mshambaused3840
    @mshambaused3840 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndo shida ya sisi vijana, hatutaki kuwasikiliza wazee wetu , litatukuta jambo kwa utovu Wa kuelewa 😢😢😢

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi วันที่ผ่านมา +1

    Vipi mzee kama😢mbona wanimaliza wataka nilie au😢 mbona sasa waenda,lakini sioni harusi hapo.

  • @mariammchiu3826
    @mariammchiu3826 วันที่ผ่านมา +1

    Babu tyr siwez kuishi bila ww😂😂 unajua🔥

  • @KasimuKanti
    @KasimuKanti วันที่ผ่านมา +2

    Mwendelezo tafazali tumalizane nayo mambo nimengi yakufanyaaa😢😮

    • @sharifajamal5764
      @sharifajamal5764 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😅😅😅😅😅😅😅😅 kwakwel

  • @MERRYMEENAH
    @MERRYMEENAH 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyo melina atakuja kunvjq ndoa ya akina shafii😆😆😆

  • @magangamasele1171
    @magangamasele1171 วันที่ผ่านมา +2

    Story ya Melina imenitoa machozi 😢😢😢😢😢😢

  • @Mdundotv-jk7hj
    @Mdundotv-jk7hj 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Move ni ni almas❤❤❤

  • @SarahZacharia-m9t
    @SarahZacharia-m9t วันที่ผ่านมา +1

    Hiki kisu kikali jmn❤❤❤❤❤

  • @OmaryAyubu-fi7jz
    @OmaryAyubu-fi7jz วันที่ผ่านมา +2

    Ivi hicho Kijiji siwatakuwa wanajua rais Bado ni uncle magu😎

  • @DolicasiYusuph
    @DolicasiYusuph วันที่ผ่านมา +1

    Aya kaka kazi imeenda

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aisee bongo tunaweza bana hata huku kenya washapigwa

  • @sylivesterdauson2204
    @sylivesterdauson2204 วันที่ผ่านมา +1

    Dah kaka ongeza juhudi kaz nzur San

  • @Petitmahuzo
    @Petitmahuzo วันที่ผ่านมา +3

    Huyu ndo nilie kua na msubiria jini fetty ❤😅

  • @abubakarjuma443
    @abubakarjuma443 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii movie funga mwaka duh bonge ya kitu flani ivi

  • @One_5_l
    @One_5_l วันที่ผ่านมา +5

    Huyo sauda nae hajui chochote

  • @saharunlock4929
    @saharunlock4929 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii muv inanifundsha mambo meng jmn wachawi 😢😢😢😢

  • @josephinajoachim3552
    @josephinajoachim3552 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman nimeumia mzee kama kuondoka

  • @mwasitisudi4302
    @mwasitisudi4302 วันที่ผ่านมา +1

    Nimewasha data na kukimbilia uku😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj วันที่ผ่านมา +4

    Ndio Kufika sasa nipeni kiti
    Nimechelewa kidogo kisa Usafiri

  • @williamcharles7201
    @williamcharles7201 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi huyo🎉🎉

  • @madevaketajajr5041
    @madevaketajajr5041 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila mzazi kwel n Mungu wa pili

  • @VanessaVcent
    @VanessaVcent วันที่ผ่านมา +1

    Tunamtaka merina wetu jmn 😢😢 kaka usichelewe kutoa ep 13 please 🥺🥺

  • @IsmailBakari-t2s
    @IsmailBakari-t2s 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Filamu nzuri saaaaaaaaaana ila tatizo inachelewa Chelewa flanni ivi ila kitale nisikuingilie mambo yako ya jikoni huenda mambo mazuri hayataki haraka ipike vizuri hilo tunakuachia wew mkurungwa nakubali sana kazi zako Allah akusaidie na akupe nguvu na wote wanaoisababisha kazi hii izidi kuwa nzuri...ahsante

  • @IntareYumuryango
    @IntareYumuryango วันที่ผ่านมา +11

    Jameni mbona mim hamjawai nipea like

  • @tanzaniahumanitycharityand4866
    @tanzaniahumanitycharityand4866 วันที่ผ่านมา +2

    Kitale kama huna ela Sema tukuchangie bwana tupe budget maana unaweka vifupi mno kama hii imeisha sehemu ambayo haifai kuishia 😅😅😅😅

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon วันที่ผ่านมา +1

    Mbn naogpa jmn 😢 nitalala kweli

  • @josephinajoachim3552
    @josephinajoachim3552 วันที่ผ่านมา +1

    Ongezen dakk jamn mbn kidogo sana

  • @NewPhone-oh7ge
    @NewPhone-oh7ge วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mama aisha hana akili unafurahia babaako kuondoka

  • @WAHIDAMWALIMu
    @WAHIDAMWALIMu วันที่ผ่านมา

    Jamani nilikuwa naisubir kwa hamu zote. Asante brother kitale

  • @daudmsekwa8302
    @daudmsekwa8302 วันที่ผ่านมา +1

    Wakwanza leo 😂😂

  • @Mariamsalim-u7t
    @Mariamsalim-u7t วันที่ผ่านมา +2

    Tulio kuwa tuna subili kwa hamu tujuwane

  • @MwanaidiKitogota
    @MwanaidiKitogota 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana kaka

  • @BOB17_OJO
    @BOB17_OJO วันที่ผ่านมา +4

    Kitale this movie if you don't finish it I will catch you there in Tanzania 😂 am BAY OMAR BAY 17 from Tajikistan

  • @furahaamnazo318
    @furahaamnazo318 วันที่ผ่านมา +1

    Picha mzuri sana

  • @Official-sj6kw
    @Official-sj6kw วันที่ผ่านมา +1

    Unyama ni mwingi Aya mm ndo yule funga dimba

  • @blackboe79
    @blackboe79 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ttizo kitale unachelewa sana kutoa mpk missing inisha kwn usitoe Kila siku

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee kama ameenda kijijin kuongeza nguvu nasubiria makombora yaruke chap waaibike😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Khaa mzee Ramadhan Kama itakuwaje unakwenda na nywele zimesha chukuliwa 😢😢😢

  • @godfreykabigi6300
    @godfreykabigi6300 วันที่ผ่านมา

    Sauda utakuja kujutraaaaa maji utaita mmaaaa

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b วันที่ผ่านมา +1

    Mama Aisha kita kuramba sio kitambo😢😢

  • @SaidBwanamkuu-d8j
    @SaidBwanamkuu-d8j วันที่ผ่านมา +1

    Nawafatilia nikiwa qatar hongereni sana

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed วันที่ผ่านมา +1

    Pameanza Kuchangamka Sasa Uku Mzee Kama Na Mjukuu Wake Uku Melina

  • @MwanatumuBwata
    @MwanatumuBwata วันที่ผ่านมา +1

    Mama aisha utakuja kulia ww

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉Musa from Moçambique

  • @MwacheoHanzada
    @MwacheoHanzada วันที่ผ่านมา +4

    Mwaka jana alitolewa melina sadaka mwaka huu ni aisha cz wewe na mmko mukiambiwa hamusikii