Sanda Sanda Hana jipya Umalile Wenga Ubwela kwano Toka namba 1 hadi namba 3 ktk msimamo wa Ligi Kuu NBC yalianza kufukuzwa CRDB BANK FA sasa yameangukia Shirikisho wanazidi kaporomoka. Mna Mhoji Kolo chakavu Hajui hata kujieleza
HUYO MANARA KAJIPENDEKEZA. NENO UBAYA UBWELA KUTOKA ENZI KIITIKIO CHAKE NI UDUGU UMALA. SISI WENYE KABILA LETU NDIO WENYE HATIMILIKI NA NENO HILO NDIO TUNAEJUA KWAMBA UBAYA UHABWELA NDIO HOUMALILA UDUGU.
Sasa kila mchezaji akitoka kwenu mnasema ni mzee, au awashukuru, awashukuru kwa lipi? Watu wanazungumza utafikiri huwa wanatoa hata senti, Yanga, simba hawana hela, timu ya Yanga na simba wanaosaidia yote ni GSM na MO na wadhamini fullstop.
Hakuna mwananchi atakayeiga sanda
Kama mnabuni mmechukua mara ngapi kuliko yanga?
YANGA SC, ILIANZISHWA MWAKA 1935 na baadae wengine walifuata.
Sanda Sanda Hana jipya Umalile Wenga Ubwela kwano
Toka namba 1 hadi namba 3 ktk msimamo wa Ligi Kuu NBC yalianza kufukuzwa CRDB BANK FA sasa yameangukia Shirikisho wanazidi kaporomoka.
Mna Mhoji Kolo chakavu Hajui hata kujieleza
HUYO MANARA KAJIPENDEKEZA. NENO UBAYA UBWELA KUTOKA ENZI KIITIKIO CHAKE NI UDUGU UMALA. SISI WENYE KABILA LETU NDIO WENYE HATIMILIKI NA NENO HILO NDIO TUNAEJUA KWAMBA UBAYA UHABWELA NDIO HOUMALILA UDUGU.
Mtulie sindano iwaingie ileile ya Fei ndo itumike
Kapige mswaki, "KANG'ATA MAVI".
ACHENI KUWAPA URAIA WACHEZAJI WA KIGENI ILI MSAJIRI WACHEZAJI 13 HUO NI UHUNI NA NI BIASHARA YA MAGENDO
Kajambe urare
Angalieni clip ya Manara akitangaza kuwa yupo huru, ndiye aliyesema undugu umala.
Sasa kila mchezaji akitoka kwenu mnasema ni mzee, au awashukuru, awashukuru kwa lipi? Watu wanazungumza utafikiri huwa wanatoa hata senti, Yanga, simba hawana hela, timu ya Yanga na simba wanaosaidia yote ni GSM na MO na wadhamini fullstop.
Mlimalizia ubaya ubwela, MANARA ndo alisema undugu umala.