Huyu jamaa anaeongea yale nilivyokua Ninayoyawaza mm elimu yetu haimkomboi kijana ajikomboe inamjenga awetegemezi kuajiriwa na sio kutumia elimu yake kujikomboa na kulikomboa taifa
Masufi ndio wakuelezwa hayo Salaf wanafundisha kwa mitaala ya kisasa Masufi ndio wanaokazania barzanji pilau biriani khitma na arobaini na kila mwenye uelewa tofauti njia tofauti kwa dalili ktk Quran na Sunnah basi wanakua maadui
Mbona MATUSI tena msikitini? Unapoyasemea MADHEHEBU ni vyema ukawa na ujuzi nayo. Lkn pia upo uwezekano wa kutumia picha ya uongo inayofanana na ukweli.
Masha allah mungu akuhifadhii
Huyu jamaa anaeongea yale nilivyokua Ninayoyawaza mm elimu yetu haimkomboi kijana ajikomboe inamjenga awetegemezi kuajiriwa na sio kutumia elimu yake kujikomboa na kulikomboa taifa
Nikweli kabisa na ndoo maana wanapi pewa Hela za miladi hazi fanyi kazi za naendeleo .Zina pigwa tu
Masufi ndio wakuelezwa hayo Salaf wanafundisha kwa mitaala ya kisasa
Masufi ndio wanaokazania barzanji pilau biriani khitma na arobaini na kila mwenye uelewa tofauti njia tofauti kwa dalili ktk Quran na Sunnah basi wanakua maadui
Mbona MATUSI tena msikitini?
Unapoyasemea MADHEHEBU ni vyema ukawa na ujuzi nayo.
Lkn pia upo uwezekano wa kutumia picha ya uongo inayofanana na ukweli.