MAELEZO JU YA SURATIL QASAS NO 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Powered by Restream restream.io
    MAELEZO JU YA SURATIL QASAS NO 1

ความคิดเห็น • 16

  • @MSELLEMSWELUMYAHYA
    @MSELLEMSWELUMYAHYA 7 หลายเดือนก่อน

    As Salam aleikum y sheikh mm nimeposa lakini nk mbali je yafaa kuozeshwa online

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 7 หลายเดือนก่อน

      Kama uko na kakako muliozaliwa tumbo moja anawezakuolea Kisha wewe ukienda ndio akaandikisha cheti cha ndoa au babako anaweza kukuolea pia

  • @CalmMoonLanding-bo7mp
    @CalmMoonLanding-bo7mp 7 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum

  • @ummuhammad7571
    @ummuhammad7571 7 หลายเดือนก่อน

    Suala langu
    Mzee ambaye anapoteza fahamu mara anafahamu mara hafahamu na hatambui kufunga jee alipiwe fidia ya sawm?

  • @PRINCESSIZAT
    @PRINCESSIZAT 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh mm nna swali nimetatizika mm nafanya biashara na hapa nlipo wabara wengi ndio wanunuo na ndio inaonipa rizki jee kwa hii Ramadhan nafaa huuzaa

    • @RamadhaniAthumani-d5h
      @RamadhaniAthumani-d5h 7 หลายเดือนก่อน +1

      Biashara gani sasa mbonaa hujasemaa

    • @AishaMohamed-v8f
      @AishaMohamed-v8f 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kma biashara yko n ya halali unaruhusiwa lkn sio kuuza chakula ilhal ww umefunga aikubaliki biashara hio pili kma n chakula unakubaliwa kuuza baada ya muadhn wa magharbi

    • @hamidahamidu16
      @hamidahamidu16 7 หลายเดือนก่อน

      Weye kuna watu wanauza ftari bara barani ambao awawezi kufika kwao mapema wananunua basi tusinge kuwa tuna pika adi tufungue kwanza ​@@AishaMohamed-v8f

    • @musaabudibahero4558
      @musaabudibahero4558 7 หลายเดือนก่อน

      Fzxzzxzźxxzxz​

    • @musaabudibahero4558
      @musaabudibahero4558 7 หลายเดือนก่อน

      Fzxzzxzźxxzxz​

  • @ZainabuMlyatangu
    @ZainabuMlyatangu 7 หลายเดือนก่อน

    Wayuwa

  • @ummuhammad7571
    @ummuhammad7571 7 หลายเดือนก่อน

    Assalam Aleykum