SHEIKH NIMEPENDA MAWAIDHA YAKO ..MAWAIDHA YAKO NIMEPATA KUJIFUNZA MUNGU NDIO KILA KITU...NA MAWAIDHA YAKO NIMEPENDA UNAZUNGUMZIA AYAH ZA QUR'ANI...MIMI MAWAIDHA YA MASHEH WETU SIPENDI ZAIDI SANA WANAMTUKUZA VIUMBHE ALIYEWATUKUZA ALLAH..NA KILA KITU NI ALLAH ...ZAIDI SANA ZINASOMEWA MARSHIA...MATAM.. NAWHA...QASIDA..NA MUSHAIRA..LAKINI QUR'AN MWAKA MARA MMOJA MWEZI WA RAMADHANI...TAFADHALI UWAOMBHE MASHEH WETU WAMTUKUZE ALLAH KWA UWINGI NA WATUSOME AYAH ZA QUR'ANI PAMOJA NA TAFSIRI YAKE..AMEEN.
Ahsante shekhe
Maaasha Allah tupe mawaidha kesho utaipata mbele ya Allah
SHEIKH NIMEPENDA MAWAIDHA YAKO ..MAWAIDHA YAKO NIMEPATA KUJIFUNZA MUNGU NDIO KILA KITU...NA MAWAIDHA YAKO NIMEPENDA UNAZUNGUMZIA AYAH ZA QUR'ANI...MIMI MAWAIDHA YA MASHEH WETU SIPENDI ZAIDI SANA WANAMTUKUZA VIUMBHE ALIYEWATUKUZA ALLAH..NA KILA KITU NI ALLAH ...ZAIDI SANA ZINASOMEWA MARSHIA...MATAM.. NAWHA...QASIDA..NA MUSHAIRA..LAKINI QUR'AN MWAKA MARA MMOJA MWEZI WA RAMADHANI...TAFADHALI UWAOMBHE MASHEH WETU WAMTUKUZE ALLAH KWA UWINGI NA WATUSOME AYAH ZA QUR'ANI PAMOJA NA TAFSIRI YAKE..AMEEN.
Aa sheikh . Sheikh ni mnazi WA wapi . . Nashuku ni masjid Jamia moshi