Kindiki amfananisha Gachagua na Barabbas katika uasi dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: www.ntvkenya.c... || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Mlisema praise and worship ilipata mtu active wa saprano📯📯📯😂😂😂😂
Yes he'll be one term mpende msipende.
😂😂
Sijui Wana bishana ni nini one term
Kindiki na Zakayo hawalali kabisa kila siku ni gachagua
Pride comes before a fall guy
Huyu hajui comebacks za riggy g
Mm nangoja😂😂😂
Atajua tu 😂😂😂😂
Hakuna moto atazima gachagua unstoppable tuko pamoja na yeye mpaka mwisho
I just had to mute to read comments juu mwanaume ako na saprano haki siwezi msikiza.
Sai kindiki ndio ameanza kutumwa na ruto kutusi watu exactly how ruto did to riggy g.kindiki you are going home soon
Kwa kweli mambo ya uyu jamaa hakuna,, Heri Gachagua a thousand times,a man that can talk and echo the sense he has spoken bh uku n vitisho tu
kindiki you are a proffesor but in terms of leadership skills, oratory and courage you cannot match gachagua. you are speaking from a point of fear and to please your master
Gachagua is people's Deputy president..... simple
Gachagua destroyed Ruto's 6 day tour in a 15min statement at DAP-K official launch hii ya Kindiki atajibiwa na mzee wa nyumba tano hata siyo kumi
Praise n worship
Msaliti
😮😮pole sana Dp pride comes before a fall
Yeah. Life is getting rough as you say. When will you smoothen it?!!
Only one person can command you na faruk kibeti alikudukuma na kukuchapa kosi... pesa kidogo tu ushasahau mambo ya jana😢😢😢
The soprano man was missing in the choir.Makes sense😂😂😂😂
Na wewe ni Thomas
Praise and worship choir master.😢😢
Praise and worship choir master
WEWE KINDISH WEWE USEME KWA UPOLE AMA ULIE RUTO NI 1 TERM 😭😭😭😭😭
Yes it will be tough we will see who will be...
Vice president,tackle issues achana na keherehere....tell your boss to tackle Sha na shif and corruption....if you don't shape up...Ruto is a one term President
Gachagwa ndio deputy halali si kindiki. .we support gachagwa
Kindiki amepigwa slaps ya forehead na Farouk aongee coz Gachagua aliongea
I support
Why discuss personalities? Discuss development.
Gachagua is the legitimate people's deputy president.
Mtusamehe Gachagua is a juggernaut Chuma ya Zamani hapana tambua
Kindiki I respect you...
Jesus!!!! I can't even compare kindiki to a dog! Dogs have personality, not this man. Flower girl wa Ruto
kofi ili fanya kzi vizuri
This must be an instruction from ruto
But hata yeye ataresighn
Uyu kindiki ni wa nyumbani lkn hii ni kuskumwa anaskumwa ampinge gachagua uyu si mwanasiasa.kitu ingine hawezi gachagua ata afanye nini
Kabisa
Nashangaanga Sana kwani gachagua amekuwa development kila siku ni gachagua si mfanye ata maendeloe kindogo ionekane
A real saprano soloist in Rutos praise and worship of "baba...na baba from Sugoi"...😂😂😂
One term,
KK has spoken well.
Why these guys are so interested on Gachagua
Prides comes before a fall... let's wait 2027....Mungu atatupigania
Sense is chasing you but you seem to be running too fast kindiki
Kindiki wacha mastory mingi umechelewa mzee.
Kindiki is just a Ruto flower girl. Can you now build roads, schools, toilets, prisons ....water pans...since Gachagua is out. Ruto could NOT let Gachagua achieve anything....we are Not idiots, bwana, we have been around since Her Majesty's government.😮😮
Hii ni popo tu mbele ya kivumbi ya gachagua.stare and watch
Si-asa!
That's reckless talk....nonsense
Bure kabisa Kabisa wwe mjinga wwe gakunia wwe flower g
Kumtemgenezea njia wapi😅😅😅😂😂😂
I wish they could listen to the ground. People are utterly disappointed
Kindiki am happy that you always count the days 😅😅 coz ruto is unbelievable he can sleep and dream that you don't feed that position and remove without notice 🫣
Tulitoka ukooo kitamboo
Flowers girls wa kasongo ni kindiki
Kithure kindiki has become a choir master in this regime as well. I am 100%sure that he is not speaking his minds but Ruto's . He has become a flower girl hence MTU wa yes sir.
The ground is rough. Trade with caution.
Let's see you have 1 vote
Huyu kundiki anatumwa na ruto amutusi gachagua but remember you are 🎉🎉🎉 girl for ruto
Kindiki kindly articulate be issue based ...if you want political relevance
Huyu ameadikiwa karatasi na mkubwa ,it's not from his heart😢
Nonsense
Sahi ako nje , what's happening now the country is at ICU soon to be in a mourge .mnatwambia nn
Amtumie miaka mbili vizuri amalize aende
Ata ufanye nini we are not boarding
I think Ile Kofi aliwekelewa ndo ime affect akili yake we don't judge you gachagua will not reply rutos deputy president
Kindiki can only consolidate Tharaka Nithi votes, and it's only because he is a Tharaka. He has to worship zakayo ama aitiwe Farouk.
If you are there for the people you will shut up and work I wish u could be responding with achievements than kurushiana maneno left right and centre
What do you it’s going to be rough seriously
Who elected kindiki???😢😢
Hawa wote tunapeleka home.
Maembe sana,hajielewi huyu
Hii ndio discussion ya development... Jigambe kijane
Don't play politics of the bible...
Huyu haelewi gachagua n mwaki
Choir imepata mfuasi mpya 😂😂😂 2027 is near utajua hujui... Gachagua was more Vocal than you yet he was chased by same government your dancing of😢
Bado siasa aijaanza... wamunyoro atajua hajui😅😅
Nonneses kwani ameita watu kuwambia story ya gachagua na uhuru ata afanye nn Ruto 2027 MUST GO
Gashagua is not a road or hospital 😂😂
Hayo ni mashambulizi kweli?
Only one and that's me
Sasa haka kanaongea ajy ati yah yah yah 😂😂😂
Mbona ikuwe rough!!! I thought it's all about service delivery,,,Rough tuwachie ball
Zakayo ni 1 term lazima muende nyumbani
Gakunia gaka😏😏
GACHAGUA BADO HAJAMUOMGELELEA KINDIKI. KINDIKI ACHA GACHAGUA ASHOSHWE NA WEWE, ATATUAMBIA TU UKWELI KUKUHUSU.
Sasa kam viongozi wanapewa pesa za health halafu wanakula unafikiria mtu anaweza toa pesa zake kusaidia watu halafu wewe unakula viongozi wakenya wamejaa tamaaa ni ufisadi tupu wanakula pesa za umma wamejaa tamaaa
Nakaa nikisahau dp wa Kenya ni yupi jamani
SHAME on him, yeye ni PUPPET
Sasa huyu Kindiki anaongea nini after kupigwa makofi akavaa sunglasses!!!!FUNDA KEINO WEWE KINDIKI,,NA RUTO DINYWA ....IMFIKIE
Sikisa ground
Kidiki where is your prof. Proffesionarism haki farouk afanye kazi yake
praise and worship team of kasongo
This why its always hard for a puppet to woo the masses. If he made this speech with the mandate of the electorate it would have sounded a bit fair. Now he comes out as arrogant but unfortunately that how someone perceived as a stooge always comes across. Even when he was talking about Ndindi Nyoro, his intention was not to belittle Nyoro, but unfortunately as a stooge, that was always how everybody would have perceived.
Mwenzako akinyolewa na chako kitie MAJI Gachagwa alikuwa mtetezi mkuu WA serikali ya Ruto na alikuwa deputy president
Huyu ametoka mbali Na Rai's,,,elewa alikua lawyer wake ICC
Kaongo kamepata mshirikishi na msindikizi.
Sio gachagua anasema ni sisi wananchi so wachaneni na gachagua kabisa
Bure kabisa Kabisa wwe hakuna kitu wwe mjinga
Tunajua ni ruto ametuma saprano choir master
Kindiki urisema rig g ni rafiki yako rakini umeansa kutoa kucha vile umeambiwa hutatomboa rig g jana amesema hujafika hme leo dio ukaita watu wa nyumbani
Low energy, boring and uninspiring speech. The Kindiki team should work on his communication skills to match Gachaguas otherwise this is a losing battle
Correct
Sasa kazi itafanywa lini?
Kindiki kindiki, empty debe do the most noise gacagua amekula nini yako wacha kupiga ndugu yako wachana wageni watakucheka tu.