Asantee saana mtumishi, mara nyingi saana nakua naota kua navuka mto, Hadi siku moja nikaota navuka mto ambao maji yamenifunika kichwan na marimba makubwa je hiyo inamaana gani
Amen, pastor nimeota dada agu amekaa kitandani kwangu Karibu na dirisha ameshika biblia na anajificha na pazia, alafu nje ya dirisha Kuna Giza mtu anakimbiakimbia, Nini maana ndoto hii
Me nliota et nakula xamak Ikn wakat naanza kula yule xamak akawa et ameoza akaacha kula nlivoach kula t nkaxtuka ucngizn lkn kichwa kiliniuma xana uxk mzm xjajua inamaana gan
Pastor nini maana yakuota umekunywa sumu !?, ile yakuulia kunguni bila ya kujua kama ni sumu baadae mtu aliekupa hicho kichupa ukishikilie anakuuliza umekunywa sumu unamjibu mmh! kumbe ni sumu mm nilijua ni dawa ni nywe nn maana ake!?
Shalom baba nimeota wadogo zangu wanatapika kisha nikaleta maji na kifagiho nikaaza fagia bile bitapishi pembeni nikaona paka mbili ila moja imekuwa imekufa iko natoka damu shingoni
Jambo mtumishi mimi nime ota wa mama watatu na mtoto moja wame fariki kwenye maji naitaji kujuwa 🙏 tafazali mtumishi
Aminaaa aminaaa
Hongera baba
Asantee saana mtumishi, mara nyingi saana nakua naota kua navuka mto,
Hadi siku moja nikaota navuka mto ambao maji yamenifunika kichwan na marimba makubwa je hiyo inamaana gani
Amen 🙏 nko kazi lakini nimeota boss wangu amenichisha kazi akanilpiya teket umefika nyumbn unalia
Ameeeeeeen baba
Amen, pastor nimeota dada agu amekaa kitandani kwangu Karibu na dirisha ameshika biblia na anajificha na pazia, alafu nje ya dirisha Kuna Giza mtu anakimbiakimbia, Nini maana ndoto hii
Aki nimeota nAkula chapati na ex wangu wa shule nanilimaliza inamanisha vipi mchungaji?
Amen 🙏 pastor but naota kiteri kila mara sijui maana yake
Mimi niliota paster akinipea chakula
Asante sana mtumishi, niliota kipika sima nagidheri Ina maacna Gani?
Amina
Me nliota et nakula xamak Ikn wakat naanza kula yule xamak akawa et ameoza akaacha kula nlivoach kula t nkaxtuka ucngizn lkn kichwa kiliniuma xana uxk mzm xjajua inamaana gan
Mm nimeota mzazi alikuja akaniletea chakula na Nazi wakati ana niamsha nilichukia sana
Pastor nini maana yakuota umekunywa sumu !?, ile yakuulia kunguni bila ya kujua kama ni sumu baadae mtu aliekupa hicho kichupa ukishikilie anakuuliza umekunywa sumu unamjibu mmh! kumbe ni sumu mm nilijua ni dawa ni nywe nn maana ake!?
Shalom baba nimeota wadogo zangu wanatapika kisha nikaleta maji na kifagiho nikaaza fagia bile bitapishi pembeni nikaona paka mbili ila moja imekuwa imekufa iko natoka damu shingoni
Ukota unapika nyama
Ukiota unaficha ugali iliooza na MTU alikuomba
Nimeota napika ugali nikionja
Mimi pia