Sehemu ya Pili -Imani ya Jadi Yaibuka Mbeya/Haiamini Uwepo wa Yesu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • BusokeloTv
    KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI
    Email: busokelotv@gmail.com
    Simu: 0762684745 au 0674217445
    Karibu sana

ความคิดเห็น • 71

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 11 วันที่ผ่านมา +4

    2TIMOTHEO4:3-4 "Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yeye uzima ;ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe, watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti,nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli,na kuzigeukia hadithi za uongo."!

  • @jadiyetu786
    @jadiyetu786 12 วันที่ผ่านมา +3

    Msekilizaeni vizuri tu anaongea pwenti acheni ushabiki ndio mtamuelewa

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 8 วันที่ผ่านมา

    Jamaa wanaelewa sana,,,na wanamajibu sahihi

  • @fredgonga
    @fredgonga 13 วันที่ผ่านมา +3

    Raha Sana karne hii 😂😂 SENDE ESUPRIY DEWO OCHI.

  • @wabunifu2
    @wabunifu2 12 วันที่ผ่านมา +2

    AMANI YA YA MUNGU IDUM KWETU IDUM NA KWA WENGINE WOTE PIA
    UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI
    HEKOOOOO KWAKO MWALIM BIAGAN BADAHERE
    HAKIKA ELIMU YA KIUTU KUTOKA KWA ROW WOMINIGE WA 786 NI UKOMBOZI WETU WATU
    ASANTE NA TUENDELEE KUBALIKIWA NA YA MUNGU MWENYE VYOTE

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 9 วันที่ผ่านมา

    Ukiwasikiliza vizuri sana utakuta wana Logic za maana sana . Wanachangamsha Akili kwa kweli .Imani yao inashabihiana sana na Uislamu . Hii imani mtu akiisoma sana na kuifutilia ..........very Logical Teachings . Nimependa sana Logic zao . ISLAM is the SOLUTION . Thanks so much watu wa Jadi .

  • @MovideteMwajombe-vs6wt
    @MovideteMwajombe-vs6wt 10 วันที่ผ่านมา +1

    safi sana watu waambiwe ukweli

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 9 วันที่ผ่านมา +1

    Msiwalaumu hawa wa dini ya jadi. Kuna mmoja wao humo humo atakutana na Yesu mwenyewe na huyo atatumiwa na Yesu mwenyewe kulisambaratisha kundi hilo. Nyie subirini wakati. Mnamkumbuka Sauli wa Tarso? Tuvute subira.

  • @peacejunne5037
    @peacejunne5037 12 วันที่ผ่านมา +1

    pia jadi ni mila au kwa mapana zaidi waweza sema ni mfumo wa maisha ya mtu mweus ambayo ndio njia pekee aliopewa aishi kwayo hivyo suio dini

  • @luganongulika7954
    @luganongulika7954 9 วันที่ผ่านมา

    Wasikilizwe,wana points

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 8 วันที่ผ่านมา

    Mambo yamechangamka,,huwezi kuwatoa kasoro😅😅😅😅

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 11 วันที่ผ่านมา +1

    Aliye kwambia NYOTA NI SAYARI NANI? Ukosefu wa elimu ndo chanzo cha huu ujinga

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 8 วันที่ผ่านมา

    Hiko kitabu kinapatikana wapi na ni bei gani? Mm makazi yangu ni Arusha na Dar es salaam

  • @hardsonbusongoye-oe5sy
    @hardsonbusongoye-oe5sy 13 วันที่ผ่านมา +2

    Njoo kwahoja usije kwamatusi wewe unakuaje naimani yakweli afu unatukana njooo kwahoja wewe sinajiita dini hako inaukwel njooo kwahoja utajuwa umepotenzwa wap naunaishikwavitu gani acheni uwazangu njooeni kwahoja

  • @ummymsami7963
    @ummymsami7963 10 วันที่ผ่านมา

    UKWELI NI UKWELI TU NA UTABAKI KUA UKWELI

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 9 วันที่ผ่านมา

    Tufwilanile😂😂😂😂😂bado hatujathema mpaka tutheme situagile nyali twe ba mandeleni

  • @wilsonclever-b7t
    @wilsonclever-b7t 10 วันที่ผ่านมา

    Nyota ni sayari kwenye mamb ya kiulimwengu na dunia hii siyo sayari

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 12 วันที่ผ่านมา +1

    Siku zaja kweli itatuweka huru

  • @protasmligo4032
    @protasmligo4032 10 วันที่ผ่านมา

    Hekoo sana mwalimu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 12 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 11 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa hawa kwanini huwa WANANG'ANG'ANA NA UKRISTO eti dini za wageni kwani UISLAMU siyo dini ya kuja?? Kwanini hamuichambui hiyo au MNAOGOPA kuuawa?😂

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 10 วันที่ผ่านมา

      Ukristo ndio mpango mzima ndio maana inafatwa fatwa na maneno maneno watu wakate tamaa waiache waende jehanamu ya moto ni mpango wa shetani kuuukashfu ukristo maana anajua ndio pekee njia sahihi ya kumuona MUNGU

  • @winfrydahibrahim2852
    @winfrydahibrahim2852 12 วันที่ผ่านมา

    #JADIYETU ON TH-cam CHANNEL mtaelewa zaidi sio kuleta ubishani bila uelewa.Hekoo

  • @mkushinocha2653
    @mkushinocha2653 10 วันที่ผ่านมา

    Hekoo waalimu

  • @dralexmakalla3871
    @dralexmakalla3871 14 วันที่ผ่านมา

    BANGI MBICHI SIO NZURI KABISAA

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 9 วันที่ผ่านมา

    Hawa jamaa wana akili sana . Kuanzia dakika ya 26 hadi mwisho mwamba kamwaga moto kinoma .kaongea fact ngumu sana kumeza . Mafundisho yao na Namna wanavyoswali ......kunashabihiana sana na Islam. Sasa Wachokonozi wamepata ndugu zao . Hawa jamaa wana Logic za maana sana .

  • @SalumZengula-hu6jp
    @SalumZengula-hu6jp 11 วันที่ผ่านมา

    Hicho kitabu kiwekeni kwenye softcopy

    • @MovideteMwajombe-vs6wt
      @MovideteMwajombe-vs6wt 10 วันที่ผ่านมา

      @@SalumZengula-hu6jp ili iweje nenda ununue upate ukweli wa kiutu

    • @SalumZengula-hu6jp
      @SalumZengula-hu6jp 10 วันที่ผ่านมา

      Ili iwe rahisi kueneza dini ya jadi itakuwa ni vizuri mkifanya hivyo

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 14 วันที่ผ่านมา

    Pengo linaonyesha

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hii ndiyo yenyewe

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 12 วันที่ผ่านมา

    Wachache wene akili ndio watakuelewa

  • @PaulKaisi
    @PaulKaisi 11 วันที่ผ่านมา

    Huu ni wakati wa mwisho wa dunia

    • @MovideteMwajombe-vs6wt
      @MovideteMwajombe-vs6wt 10 วันที่ผ่านมา

      @@PaulKaisi dunia ipi yenye mwisho na ili uwe mwisho kipi imefanya hiyo dunia?

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 11 วันที่ผ่านมา

    Halafu mbona hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kigeni, au chanzo cha jadi yenu ni wapi

    • @ummymsami7963
      @ummymsami7963 10 วันที่ผ่านมา

      Hico ni KIBANTU,na asili yetu sisi Ni UBANTU

    • @henrysizya239
      @henrysizya239 6 วันที่ผ่านมา

      Naomba maana ya maneno hayo kwa kiswahili

  • @ignasikikoti
    @ignasikikoti 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa watu wa imani hii wamepotea mbali sana na Mungu wa kweli.Wanaabudu mungu wasiemjua kabisa miongoni mwa miungu ambayo Mungu katika amri zake aliagiza akisema "msiabudu miungu wengine" na zaidi sana wamebebwa na roho chafu za utafiti ambazo zimewatoa ufahamu na nguvu za ufahamu wa kweli ktk kuelewa tafsiri sahihi ya neno la Mungu wa kweli.

    • @FungoJacobo
      @FungoJacobo 14 วันที่ผ่านมา +2

      @@ignasikikoti mwisho wa siku utakujaga kuujua ukweli ni swala la muda tu

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  14 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢😢😢

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  14 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@FungoJacobo😢😢😢😢

    • @saidchanga5139
      @saidchanga5139 13 วันที่ผ่านมา +2

      ulisha wai kujiuliza kabla ya Dini kufika africa wazee wako walikuwa wanasali vipi??
      leo hii umepata imani ya mapokeo unaona una mjua mungu. kabla hujaponda jambo chukua muda kupima hoja ??

    • @FungoJacobo
      @FungoJacobo 13 วันที่ผ่านมา

      @@saidchanga5139 kwanza unapaswa kujua kuwa dini ni mapokeo ila jadi sio mapokeo,pili unapaswa kujua neno mungu hao walio tafsiri biblia walilitoa wapi,3na kama lilikuwapo afrika lilimaanisha mungu ni kitu gani,4 kama wazee wetu walifanikiwa kulitunza jina mungu bila shaka walijua namna ya kumuabudu mungu na ndo hivi ulivyo waona hao watu wanavyo abudu,( kwa faida tu walio leta hizi dini sio watu wema kwetu ndugu,hao wanataka mali zetu tu kaka utakaa kanisani muda wote wenzio wanachukua madini gesi nk) sisi woote ni wahanga tunatakiwa tuungane tujitoe kwenye utumwa wa fikra ndugu

  • @RapaFata
    @RapaFata 5 วันที่ผ่านมา

    Ninamshukuru Yesu kwa kuniponya baada yakulogwa na wabantu

  • @BenjaminKabebo
    @BenjaminKabebo 10 วันที่ผ่านมา

    Hawa watu wanaoamini kwamba kuna jehanamu ?

  • @ShadrackMgawe
    @ShadrackMgawe 7 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmh! Ni moyo tu?

  • @FungoJacobo
    @FungoJacobo 14 วันที่ผ่านมา +2

    hekoooooo

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  14 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅

  • @yohanangimba5733
    @yohanangimba5733 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hekoo

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  14 วันที่ผ่านมา

      😅😅

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 11 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ROHO YA KUANZISHA MAKANISA BADO INAKUTAFUNA na hapo umeshazeeka sasa.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe Mpumbavu Matendo ya mitume4:12

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  14 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 14 วันที่ผ่านมา

      Usimtukane maana unamtukana mpaka mwanzilishi wa kabila letu ambae hakuwahi kuishi hizi dini zetu mpya za mitume na akina marko,yohana na wengine wengi😅

    • @FungoJacobo
      @FungoJacobo 13 วันที่ผ่านมา

      @@AizackKalenge-ro5rc umenukuu vema sana ila mimi nakwambia hayo ni maneno ya watu tuu na kama unaamini ni maneno ya mungu soma soma isaya 23 : 17 ili ujue kwamba naye huyoo bwana atakuja kufanya ukahaba na falme za tiro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣