KIJIWENONGWA:WATOTO WAHUKU HAWASIKII NI WATUNDU SANAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • #Kijiwenongwa #Zai_Kijiwenogwa #geahhabibu #GeahTv

ความคิดเห็น • 238

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 2 ปีที่แล้ว +4

    VINGUNGUTI INATOWA WATU JAMANI BURUDANI TU
    DKT KUMBUKA
    MASHALOVE
    ZAI KIJIWE NONGWA
    NK ✊✊✊✊✊

  • @hamzahamisi5510
    @hamzahamisi5510 2 ปีที่แล้ว +9

    Asalam alaeikum warahmatulah tatizo letu uswahilini tu wadekeza Sana watoto wetu

  • @neemantandu4109
    @neemantandu4109 2 ปีที่แล้ว +7

    Da zai utanivunja mbavu zangu😄😄😄😄 nakupenda bure jmn ....na Da Geah anavyocheka mie cna Hali huku😄😄😄😄😄

  • @lightnessmungaya3280
    @lightnessmungaya3280 2 ปีที่แล้ว +6

    Zai unavaaa uhusika wajambo, nakupenda dear

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 ปีที่แล้ว +15

    Jamani yafaa serikali impe ulinzi huyu dada

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว +5

    Ata mm nishawahi toa upepo gari nikiwa mdogo😅😅😅😅😅nishadokoa sana nyama na mamangu alikuwa mkali balaa😅😅😅 watoto wa uswahilini loh😅🤣🤣🤣🤣🤣 zai nakupenda mmy wangu nikiwa na pesa nitakualika kwangu mombasa uje utembee😅😅

    • @Carolbenny
      @Carolbenny 8 หลายเดือนก่อน

      Nimefanya hio ya upepo😂😂😂😂

  • @faridaaloyce3663
    @faridaaloyce3663 2 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda sana huyu dada jamani ❤❤❤❤❤❤

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 2 ปีที่แล้ว +16

    Hahahahaha nampenda sana huyu dada Zai ❤️❤️❤️❤️❤️mie Mcongomani ila Tz ni second motherland 😂😂😂😂😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye ameona pub ya Kijiwenongwa mpe Zai like zake 👋👋

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 ปีที่แล้ว +9

    Nyieeee 😂😂😂😂😂😂zai anapotea akija anakuja na kubwa kuliko

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka wallah da zai mungu anakuona

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahahaha ivi uyu dada anakaa sehem gani vingungut nimpelekee zawad

  • @ruthnalias5579
    @ruthnalias5579 2 ปีที่แล้ว +1

    Love the vibe.she talks so cool.love from kenya

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 2 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 walai zai kila siku nasena MUNGU akuweke maana mimi binafsi unanipa raha sana

  • @alfonsiabruno2310
    @alfonsiabruno2310 2 ปีที่แล้ว +10

    Hahaha..Zai unamastory balaa😅😅🔥

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda bure Da Zai ishi na hiyo chukua ✊🤸🤸🙏🏿🙏🏿

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 ปีที่แล้ว +2

    Shoga angu mwenye kumitpa stress jmn aiiiii nacheka jadi kujisahau walah
    DAda Zai mungu awatunze sana na dada Gea

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 ปีที่แล้ว +2

    Maisha ya uswazi we yaache tu unaona kama porojo lakini ndivyo ilivyo

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani watoto wanataka maombi mtawaua na kipigo

  • @happypius4192
    @happypius4192 2 ปีที่แล้ว +3

    Zai unaniua kwa kicheko😊😊😊😊😊

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 2 ปีที่แล้ว +8

    We love you Zai ❤️❤️

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 ปีที่แล้ว

    Wallah nataman nikiludi nikutane na zai kijiwe nongwa wallah nakupenda mno

  • @fanjafanja4022
    @fanjafanja4022 2 ปีที่แล้ว +1

    NA kumbuka mwak 200 nilivunja mkono mama angu alinipiga mafagia ndio nikapelekwa hosptal nibembea kitanda vilikuwa 2 vimeweka pamoja nimepishan kidog tu mie tena ni kapata bembea

  • @nacrahmakeupartist3640
    @nacrahmakeupartist3640 2 ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅😅zai km zao yaaan I love you so much 😘😘😘

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 2 ปีที่แล้ว +2

    Astaghafirullah mwenyez mungu nijalie kizazi chemaa Maanaa Aibuu

  • @nurathkhamiss5925
    @nurathkhamiss5925 2 ปีที่แล้ว

    Jmn zai naksikiag2 clouds ifm jmn nakupenda Sana zai

  • @aminasuliman2923
    @aminasuliman2923 2 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahia sana story zako yani ndo tumekua ivo waswazi

  • @lolojunior5808
    @lolojunior5808 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada kafanana sana na, dr kumbuka mchunguzeni mtaniamini

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +9

    Zai kwenu nomaaa🙌😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @faridkhamis3910
    @faridkhamis3910 2 ปีที่แล้ว +1

    We love you zai

  • @gracetemba5851
    @gracetemba5851 4 หลายเดือนก่อน +1

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Zai tunakupenda jamani 🥰🥰

  • @asiahtanzania2358
    @asiahtanzania2358 ปีที่แล้ว

    Da Zai Nakupenda mbaka naumwa🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn Zai akaigize KOMBOLELA 🤣🤣🤣

  • @sadatamal3655
    @sadatamal3655 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaha da zai jamani mbavu zangu mie 😂😂😂😂

  • @mwanakombomawazo3297
    @mwanakombomawazo3297 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamn Ninacheka had machoz wwe dada wanimalizia bando

  • @salmangwila8062
    @salmangwila8062 7 หลายเดือนก่อน

    watoto wa huko kiboko,

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 2 ปีที่แล้ว

    Tunamshukuru awwa

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 ปีที่แล้ว +2

    😃😃😃mbavu zangu jamani da zai weweeee

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka bwana muheshimiwa

  • @shabanibongo1339
    @shabanibongo1339 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda kumsikiliza

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 2 ปีที่แล้ว

    Zai I like u

  • @mwanaidibushuti9929
    @mwanaidibushuti9929 2 ปีที่แล้ว +1

    Alafu nguvu zakua siriasi ivi uwa unaitoa wap jamani😂😂😂

  • @aishansanzinfura6861
    @aishansanzinfura6861 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh kwamirungu hiyo nimeshek mpak naonekana chizi

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 ปีที่แล้ว

    Zai unajua kunivunja mbavu.

  • @zainabamran6716
    @zainabamran6716 2 ปีที่แล้ว

    Wajina wangu du sijawai kuacha kucheka

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 2 ปีที่แล้ว +1

    Haki Zai una vitukooo🤣🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 ปีที่แล้ว +2

    Zai wangu mie🥰🥰🥰😂😂😂😂😂

  • @annamduma4009
    @annamduma4009 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Murungu

  • @malkiawakemomba2219
    @malkiawakemomba2219 ปีที่แล้ว

    Weeeee kiboko unambambambaaa

  • @nahimanaashura7658
    @nahimanaashura7658 2 ปีที่แล้ว

    Zai wangu mie

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 ปีที่แล้ว +1

    jaman kwanin nayey asishilik kombolela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gloryysiafu7152
    @gloryysiafu7152 8 หลายเดือนก่อน

    Etc unamkimbiza makalio yanapepea

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 ปีที่แล้ว

    Duuh comed inaiweza aisee

  • @user-gg2ew1fi6u
    @user-gg2ew1fi6u 9 หลายเดือนก่อน

    Duh da zai hapo kwenye moka😅😅😅😅😅

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona huko balaa

  • @simoncharles6475
    @simoncharles6475 2 ปีที่แล้ว

    zai jamani eti unamuona mkono wote kaukunjua

  • @lelah2366
    @lelah2366 2 ปีที่แล้ว

    Jamani ww Dada wanivunja mbavu

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    Haaaaaaa da zaii wewe kiboko ndio watoto

  • @NasraRama
    @NasraRama 4 วันที่ผ่านมา

    😢😢

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 ปีที่แล้ว

    Unaweza kumpiga akasema sijaumia.

  • @blandinagodfrey9825
    @blandinagodfrey9825 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie naipenda nchi yangu

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว

    Kweli zai we we kiboko kwa histori 😁😁

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว

    Zai noma😄😄

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว

    Watoto

  • @haiffamohamed1398
    @haiffamohamed1398 2 ปีที่แล้ว +1

    wa tanzania punguzeni kuzaa

    • @ahmedhamad2410
      @ahmedhamad2410 2 ปีที่แล้ว

      Mhhh

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      Watoto wanatoka kwa Mungu unaweza kumaliza majira Yote Mungu akipanga ingie hata uitoe haitoki ndugu

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 ปีที่แล้ว

    mie nimeiyona hiyo hela haraka sannna kwenye sigiria kifuwani😂

  • @secytete5828
    @secytete5828 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani zai🙌🙌

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 2 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wote wako hivyo, hata wa ushuani🤣🤣🤣

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว

      Mmmh wa ushuani hawakimbizi wazungu bana

  • @mauemy4685
    @mauemy4685 2 ปีที่แล้ว

    Am addicted to this yaani nachekaa

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 ปีที่แล้ว

    Watoto wa kijiwe nongwa sio mchezo😃😃

  • @sherrymeddy6398
    @sherrymeddy6398 2 ปีที่แล้ว

    Da zai 😂😂😂😂 unaju kutufurahisha

  • @pendogodson9880
    @pendogodson9880 ปีที่แล้ว

    et viboko unavomtia mpaka mwenye gar anarudisha hela😂😂😂😂😂

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว

    Zai huishiwi na vituko jmn😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @serahnamayani5012
    @serahnamayani5012 2 ปีที่แล้ว

    Zaiii weee!

  • @amena_allahampekaulthabit1088
    @amena_allahampekaulthabit1088 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ALLAH alivoitaja sasa😅😅😅

    • @aminayusuph2627
      @aminayusuph2627 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂yani nimecheka had basi

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว

    Na nimekuta ii ina masaa 16

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 ปีที่แล้ว

    🤪🤪🤪🔩mama anakata upepo

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 ปีที่แล้ว

    Toto usiseme hongo mecheka mimi jmn 😂😂😂

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 ปีที่แล้ว

    Watoto hao jmn😄😄😄😄😄.

  • @mariamjuma6987
    @mariamjuma6987 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Zai wwee mungu anakuona co kwa kunichekesha huku jmn kha mzugua unanichekesha wewe

  • @vero57
    @vero57 2 ปีที่แล้ว +1

    Zai khaaa!! 😄 🤣🤣🤣

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว

    Jamani yaani UKWELI mtupu

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 ปีที่แล้ว

    kikojoo zai una laana😂😂😂

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣😍zay eti mirungu 🤣🤣🤣🤣

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 10 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka hadi basi

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 2 ปีที่แล้ว +1

    Kijiji hadi kijiji.....matako yanapepea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @pendogodson9880
    @pendogodson9880 ปีที่แล้ว

    et anakukimbiza kijiji n kijiji matako yanakupepea😂😂😂😂😂😂😂😂😂 zai haki nakupenda

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว

    Eti Mama akili huna🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂hatr mma kwa mirungu

  • @bintabou828
    @bintabou828 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbon MLUNGU MLUNGU 😃😂😂😂🙌🔥

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 2 ปีที่แล้ว

    mbavu xangu

  • @tshishimohamed9086
    @tshishimohamed9086 2 ปีที่แล้ว

    🤩🤩🤩

  • @waleedalrashdi6416
    @waleedalrashdi6416 2 ปีที่แล้ว

    Dàa zai ww

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 ปีที่แล้ว

    Zai mm unanivunja mbavu🤣🤣🤣

  • @mamuumamuu7743
    @mamuumamuu7743 2 ปีที่แล้ว

    Jamani zai🤣🤣

  • @zainakwemai3482
    @zainakwemai3482 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha 🤣 Wajna wang Nakupenda buleeeeee

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 2 ปีที่แล้ว +1

      iyo bar sikai😂😂😂😂

  • @swaumuabdallah6886
    @swaumuabdallah6886 2 ปีที่แล้ว

    Kono la jini ngaaa🤣

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada ni chizi hataree