Mgisa Mtebe - KUNA VITU MUNGU ANA ACHA VIKUPATE ILI UWE NA MSINGI IMARA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
- Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni
mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe
wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya
kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing)
Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka
Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.
Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika
Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya
Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa
Baraka nyingi kwa watu wengi.
Mobile : +255 753 497 655
Website: www.mgisamtebe....
facebook : / mgisa-mtebe
Instagram : www.instagram.com
nimefrai sana nayapenda mafundisho yako nashukuru Mungu nimekupata huku you tube coz nilikuwa nakusikiliza radio furaha
Amen ubarikiwe mtumishi basi kwa nini Mungu huruhusu kubwa halafu a kanyamaza tu...
Mafundisho ya Mgisa yamaniimarisha sana
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Nashukuru Mungu kwa neno hili,mana tumejaribiwa n'a Bwana ametusimamia
Nafurahia mafundisho yameniimarisha sana
Ubarikiwe sana unanijenga sana
Barikiwa sana
if yuh love something set if free
tunasemaga ukilipenda UA haulikati unaliacha likue
Ubarikiwe na Mungu
Amen. Ubarikiwe Mtumishi.
Amen Amen ubarikiwe mnooo
Ameni
Nice message..God is greater
Mwalimu Mungu anaendelea kukutumia kunifundisha mambo mengi. Mungu akuzidishie mafunuo mwalimu
Usikimbie appointment 🤜🏾
barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Amen
Mungu akubariki
Nimependa sana nondo za kiroho ubarikiwe sana
Amina
Barikiwa baba
nimebarikiwa sana
Ukwaata oyeee
Thanks a lot for the msj
Barikia
Point at home
God bless you man of God
+254 ndani
wish we could be getting full message +254 as well ndaani kabisa
Nakupenda unanibariki tuombeane
Napataje somo zima
ubarikiwe
Powerful
Nimejifunza me as university student
Ameeeen
mtumishi yakizidi yanaleta maumivi
Mapenzi ya Bwana HAUYASHAWISHI
Sure,ur blessed
Blessed
dah ni fupi mnoo!!
Barikiwa sana
Amen
Amen
Amen
Mungu akubariki sana mtumishi