🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025
  • 🔴#Live: ACT WAZELENDO ZANZIBAR WAKALIA KUTI KAVU - WAAMBIWA WASIINGILIE KAZI ya POLISI/PANGA PANGUA ya SAMIA INAVYOWAPA STRESS VIONGOZI | FRONT PAGE
    ​​MTAALAMU WA TIBA KUTOKA PANGANI,TANGA ALIYEBOBEA KWENYE MATIBABU YA MAGONJWA SUGU MBALIMBALI YANAYOWASUMBUA WATU, ANAPATIKANA.PIGA NAMBA +255 678 121 625WHATSAPP +255 752 388 329
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 11

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  19 วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu unaona kila kinachofanyika katika Zanzibar hiii bas onesha ukubwa wako kwa hawa wanaodhulumu nafs za wenzao kisha wanajifanya kuongeya unafiki

  • @MakameAly
    @MakameAly 18 วันที่ผ่านมา

    Mbeto hana uchungu na mauwaji 😢😢

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 17 วันที่ผ่านมา

    Tatizo huyo mabeto ana mambo ya kisenge sana sababu wamezowea kuuwa raia

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 17 วันที่ผ่านมา

    Ww mchambuzi unachambua nini mbona hueleweki. Bora kakimya

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 17 วันที่ผ่านมา

    Wananchi wameuwawa baada kutekwa wakiwa wazima na afya halafu wataka wananchi wake kimya?Wanakila haki ya kutoa maoni yao

  • @suleimanally1004
    @suleimanally1004 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mkubwa Mungu anajuwa na Mungu ndiye hakimu na hapa duniani tunapita iko siku itafika wewe tumia madaraka YAKO hapa duniani unavyota

  • @MakameAly
    @MakameAly 18 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu mbeto ni muuwaji yy kwani ni polis mbona anaongea basi aachie hao polis wafanye kz zao, kwasababu hata yy ni mwanasiasi ashike adabu yake,na yy aongee wanasiasa wengine wasiongee ebooo

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe bwege unae chambuwa unajuwa hili jambo ninahusiana na roho za binaadam kuuliwa na mamlaka ? Inategenea nani alisemeehili?

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 17 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni nyinyi waandishi wa Habari nyinyi sio wakweli ni waoga sana hamuko tayari kusema ukweli munaogopa vibarua vyenu lakini siku hizi Ascari wamekuwa wauwaji wakubwa na wala hawjali walaniwe wao na vizazi vyao na huyo mobeto njaa tu inamsumbua anajipendekeza kwa sababu hajauliwa jamaa yake shenzi mkubwa kunguni wa unguja ashindwe na Alegre kwa Jina la yesu