FAHAMU NGOMA YA LIZOMBE HUCHEZWA WAKATI GANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Watanzania tumejawa na Mila na tamaduni mbalimbali zenye kuvutia mmno miongoni mwao ni uwepo wa ngoma za asili ambazo hutumika katika shughuli mbalimbali na kuwa kivutio kikubwa mmno leo tuko Songea tukiangazia Ngoma ya Lizombe ngoma hii huchezwa hasa wakati wa mavuno na hutumika kutoa elimu ya maswala mbalimbali sophy Tours imetembelea kirundi cha ngoma ya lizombe fuatilia zaidi.

ความคิดเห็น • 2